jwtz

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni jeshi la ulinzi wa wananchi nchini Tanzania linalolinda na kutetea maslahi ya Taifa la Tanzania.
  1. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Hawa wamba ni kikosi cha nini pale JWTZ?

    Kuuliza siyo ujinga hao wamba ni kikosi kinachohusika na nini pale TPDF? Hatari!
  2. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Majeshi yetu yana Maoni gani kwenye Sakata la Bandari?

    Tupo katika kipindi ambacho ugaidi unakua na kusambaa na kushika taswira ya janga la kidunia. Ni dhahiri kuwa ubinafsishwaji wa bandari unaweza kuwa na athari za Kiulinzi na za kiusalama kwa nchi yetu kwani itapunguza mamlaka za bandari hivyo hata uwezo wa ukaguzi wa shehena huwenda utapunguwa...
  3. 4

    JamiiForums Tanzania Napendekeza eneo la Tanganyika walilopewa Zanzimbar wapewe sasa JWTZ

    Sina maneno mengi wakuu , Nawasalimu katika yeye atupae pumzi ya kila siku, na naenda kwenye mada Ndugu zangu ,kwa mjibu wa clip inayozunguka mitandaon toka Ikulu ya Zanzibar ni kwamba watanganyika tumepigwa na kitu kizito sana, na kwa kua inasemekana hii ardhi walipewa, lakini sasa wamejisahau...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Basi la Saratoga apigwa na Askari wa JWTZ

    Dereva wa basi la Saratoga linalofanya safari kutoka Dar es Salaam kwenda Kigoma, Yasini Shabani (45), ameshambuliwa kwa kupigwa maeneo mbalimbali ya mwilini na Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), anayejulikana kwa jina la Emmanuel Peleka baada ya basi hilo kulipita gari la JWTZ katika...
  5. USSR

    JamiiForums Tanzania JWTZ kutumwa tena DRC, Rais wa DRC asema kikosi cha Afrika mashariki kinashirikiana na M23 kuimaliza DRC

    Rais wa congo yuko mjini Gaborone kwa ziara ya kikazi na leo amesema kikosi cha Afrika mashariki kilichopelekwa nchini mwake hakijafanya lolote la maana na kimeanza kushirikiana na waasi wa M23 na ameziomba nchi za SADC zisaidie. Mh Rais Samia Suluhu Hassan yupo mjini Windhoek na ameombwa...
  6. chuchu2020

    JamiiForums Tanzania Miradi ya kimkakati ya nishati kuimarishiwa ulinzi

    MIRADI YA KIMKAKATI YA NISHATI KUIMARISHIWA ULINZI Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Bashungwa wamekutana kwa ajili ya kupanga mikakati ya kuimarisha ulinzi kwenye miradi ya kimkakati inayosimamiwa na Wizara ya Nishati. Kikao...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa jinsi ya kutuma maombi JWTZ kwa njia ya barua pepe (email)

    Habari wakuu, Nilikua naomba msaada wa jinsi ya kutuma maombi JWTZ kwa njia ya Email. Naomba mnielekeze jinsi ya kutuma unavyo upload barua na viambata vyote. Asanteni.
  8. Central Zone

    JamiiForums Tanzania JWTZ na Serikali waache kudanganya/Kuhadaa Vijana

    Hili swala la la nafasi za kujiunga na Jeshi la ulinzi la wananchi Tanzania ni kuwadanganya na kuwahadaa watoto wa maskini Rais na watu wako chini ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga taifa Bashungwa mngeachana nalo tu hili swala, Kwa jinsi mnavyotaka kujisafisha na kujikosha kwa...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Watu Wengine katika Jamii ni wa Kawaida tu, ila huhisiwa kuwa ni kutoka TISS au JWTZ?

    Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Comments zenu mkiwa ni Wataalam, Wabobezi na Mangwena. Asanteni.
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania CDF General Mkunda naomba Interview ya Mazoezi yafuatayo itumike kwa Vijana watakaoomba Ajira zenu Mpya JWTZ

    Na nakuomba CDF Jenerali Mkunda kama Waombaji Ajira Wote katika Tangazo lenu wakiyashindwa haya Mazoezi yafuatayo muachane nao na mbaki na wale tu Watakaoweza ( walio Fiti ) kabisa 1. Wakimbie kwa Kuuzunguka Uwanja wa Mkapa mara 75 kwa Spidi kama za Winga teleza wa Yanga SC Tuisila Kisinda. 2...
  11. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza nafasi za kujiunga na Jeshi kwa Vijana ambao wametumikia au wamefanya mafunzo ya kujitolea katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa miaka miwili kisha wakarejeshwa majumbani. Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano, Luteni Kanali...
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Askari wa JWTZ kizimbani kwa kukaidi amri halali ya askari wa Usalama Barabarani

    Habari zenu ndugu, Kutoka Dar, askari wa JWTZ apandishwa Kizimbani Kwa Kukaidi Amri Halali ya Askari Trafiki wakati akitekeleza Wajibu wake. Hii safi sana, lazima ieleweke kwamba utii wa Sheria bila shurti ni Kwa Kila raia bila kujali hadhi wala vyeo. Askari Jeshi hasa JKT mara nyingi Huwa...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Muliro: Msiogope kuomba lifti kwenye Difenda

    "Kuna mtu alishawahi kuomba lift kwenye Difenda hakupewa? Kwanini wanapanda watuhumiwa tu? Kwa mfano Difenda linakwenda Bunju, Tegeta, Kunduchu, Kitunda au Mwanagati, Kivule analiona kabisa limeandikwa Polisi na wewe unakwenda maeneo hayo kwanini usilisimamishe ukaomba lift?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kazi hii ya kuwaua, kuwafyeka na kuwatokomeza magaidi wa M23 ipewe JWTZ peke Yao

    SIKU mbili baada ya Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Ulimwenguni Papa Francis kumaliza ziara yake Barani Afrika: katika nchi za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Sudan Kusini, wakuu wa nchi za Afrika Mashariki wamekutana Bunjumbura kujadili Hali ya mambo DRC hususan Mashariki mwa nchi...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa wanajeshi wa Urusi wameuawa 127,000 hiyo ni mara nne ya JWTZ

    Kwa minajili ya Wikipedia, active personell wa JWTZ ni 28,000 sasa ukizingatia wanajeshi wa Urusi wameuawa 127,000 hiyo ni mara nne ya JWTZ, au kama vipi hapo ina maana wamefyekwa idadi ya ukijumlisha KDF, JWTZ, UDF, RDF n.k. Jameni licha la hasara yote hiyo, Urusi wameambulia kugombania kamji...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Askari wa JWTZ aliyemuita Polisi 'paka' wakati akitimiza majukumu yake afutwe kazi

    Kuna clip inasambaa kwa kasi mitandaoni ikimuonesha askari wa usalama barabarani akifanya kazi yake lkn askari wa JWTZ anaingilia kazi ya polisi. Hata polisi alipompa onyo yule askari wa JWTZ kuwa aache kufanya hivyo yule askari alijibu "huwezi kunionya mm paka wewe". Kwa utovu huu wa nidhamu...
  17. Athuman Mintangah

    JamiiForums Tanzania Uzi kwa waliosoma shule za jeshi-form 1&6

    Shule kama; Jitegemee Airwing Makongo Bwawani Kizuka n.k. Share your experiences and other infos.
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awatunuku Kamisheni wanafunzi wa JWTZ Monduli, leo Novemba 26, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi Kundi la 03/19 - Shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 69/21 Refu Pamoja na Mahafali ya tatu ya Shahada ya Sayansi ya Kijeshi Kundi la 03/19 katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) - Monduli...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi imepoteza wanajeshi 100,000. Hiyo ni sawa na ukijumuisha JWTZ, KDF, UPDF, RDF na uche

    Mpaka sasa Urusi imepoteza idadi ya wanajeshi sawia na active personel wote wa EAC na uchee.....na wameambulia asilimia 15% ya Ukraine ambayo na yenyewe inawatokea puani wanaikimbia... Russia's announced retreat from Kherson, a regional capital in southern Ukraine that it seized early in the...
  20. G Sam

    JamiiForums Tanzania Wale Askari polisi na Wanajeshi waliokuwa wamesiama pembeni wakiwaangalia wananchi wakivuta ndege kwa kamba ni Watanzania?

    Nimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana. Nimeangalia hiyo video na kuwaona askari kadhaa wa Jeshi la Polisi pamoja na Wanajeshi wakiwa wamesimama pembeni "Wanaangalia" tukio. Swali langu ni moja tu: Je, wale ni Watanzania?
Back
Top Bottom