jumla

  1. D

    JamiiForums Tanzania SOLD: Duka limeshauzwa, Asanteni kwa ushirikiano wenu

    Habari ndugu zangu, nauza duka langu lililopo Tandika double kibin sokoni, duka ni la vyakula na vitu mbali mbali mfano sukari, ngano, mafuta, sabuni na nk lenye mtaji wa sh 20,000,000. Biashara Ni nzuri Sana na ofisi ni nzuri ila mimi nahama makazi; nahamisha familia namfuata mume wangu...
  2. D

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Duka la jumla la Vyakula

    Babari ndugu zangu,nauza duka langu lililopo tandika dable kibin sokoni,duka Ni la vyakula na vitu mbali mbali mfano sukar,ngano,mafuta,sabuni na nk lenye mtaji wa sh 20,000,000. Biashara Ni nzuri Sana na ofisi Ni nzuri ila Mimi nahama makazi; nahamisha familia namfuata mume wangu. Hutojuta...
  3. Riz king

    JamiiForums Tanzania GE2020 Niliingiza jumla ya Tsh laki 8 kwa watia nia hawa Nkenge lakini nikawasaliti sandukuni

    1 Dr Mazima huyu jamaa anaelimu ndogo yaani ni AMO lakini ni mbinafsi na roho ya ujuha sana nilikula laki mbili yake baada ya wapambe wake watatu walio nifata kwa nyakati tofauti na kunigea kitita hicho. Ila tabia zake za kudharau watu, shule ndogo kichwani na ujuha ndo vilisababisha nikaitafuna...
  4. BAK

    JamiiForums Tanzania NEC igeni CCM jinsi ya kuhesabu kura. CCM mmeonyesha mfano

    Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, ameagiza kwamba kura za maoni za Ubunge, uwakilishi na udiwani zinazoanza leo zihesabiwe hadharani kama ilivyokuwa wakati kuhesabu kura za Wagombea Urais wa Zanzibar.
  5. Cannabis

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Visa 59 vya Corona vyaongezeka nchini Kenya, Jumla ya idadi ni 4797

    Serikali ya Kenya imetangaza visa vipya 59 vya maambukizi ya virusi vya corona. Hayo yalisemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya nchini Kenya Dr. Mercy Mwangangi ambapo alifananua kuwa idadi hiyo imepatikana baada ya kupima sampuli 2354 na kupungua kwa idadi ya visa vipya haimaanishi kuwa ugonjwa...
  6. roselina john

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Mawazo kwa wenye uzoefu wa kununua na kuuza mchele wa Jumla nataka nijiajiri mtoto wa kike

    Habari ndugu zangu, Ninawasalimu kwa jina lake bwana wetu Nimejaliwa kukusanya shilling 5M kutokana na nilivyokuwa najikusanya kwenye kimshahara changu kwa mwaka sasa, Naona maisha ya kuajiriwa siyo, Nikaamua niwaze kuanza uuzaji wa mchele kutoka mbeya au Ifakara, Nataka niende Jumamosi...
  7. RAKI BIG

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bell pepper ( pilipili hoho) kwenye soko la jumla inauzwaje?

    Niaje wakuu. Naomba kujuzwa kama kuna anae jua pilipili hoho kwenye soko la jumla inauzwaje na kwa kipimo kipi either kwa gunia kwa kilo au kwa kuuza hoho moja moja kama ilivo soko la machungwa ya jumla?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Wapi nitanunua simu kwa bei ya jumla

    Habari zenu wadau wa jukwaa la biashara. Mdau mwenzenu nimewaza sana biashara ya kufanya baada ya kudunduliza kwa mda mrefu sana Tsh 10 millions na nikakopa 10 million jumla nna 20 million, nimeona nifanye biashara ya kuuza simu. Mpango wangu ni huu. Soko/Frame: Arusha mjini. Brand: Samsung...
  9. Influenza

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Visa vipya 21 vya COVID19 vyaongezeka. Jumla ya visa yafikia 248

    Wizara ya Afya Uganda imetangaza ongezeko la Wagonjwa 21 wote wakiwa raia wa Uganda na wamepatikana baada ya sampuli 1,071 kupimwa katika mipaka ya nchi hiyo Wagonjwa hao wamepatikana katika mipaka ya Elegu (Visa 17) na Mutukula (Visa 3) na Malaba (Kisa 1). Pia, sampuli 253 za kutoka katika...
  10. Influenza

    JamiiForums Tanzania Uganda: Visa 24 vya madereva wa malori vyaongezeka, wakiwemo Watanzania 6. Jumla ya visa vya COVID19 vyafikia 227

    Jana, Mei 16, 2020 Uganda imetangaza visa vipya 24 vya COVID19 vimeongezeka na vyote vikiwa ni vya Madereva wa Malori na kufanya jumla ya visa kufikia 227 Wizara imesema jumla ya sampuli 2,598 zimepimwa kati ya hizo; 2,044 ni za Madereva wa malori na 554 ni za Wakazi wa Uganda ambapo zote 554...
  11. Removers

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa wenye Majina ya asili

    Habarini za asubuhi wakuu. Ni desturi iliyopo kwa baadhi ya makabila na hata wazazi kuwapa wanao majina ya asili ,naweza kuita majina ya kiukoo.. Wale wote wenye majina ya asili naomba mtupe pamoja na Maana ya Hilo jina uliloitwa au ulilompa mtoto wako..japo baadhi huwa yanaleta ukakasii...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy awe anatangaza Jumla Kuu baada ya kila Waziri Hamad Rashid anapotangaza wagonjwa wapya

    Jana nilishangaa kumsikia mtangazaji wa BBC akitangaza Tanzania sasa ina wagonjwa 299 wa Corona. Nikajiuliza idadi hiyo imefika lini wakati waziri Ummy Mwalimu mara ya mwisho alitutangazia idadi ya wagonjwa 284 kama sikosei. Msamaria mwema akaniambia idadi ya wagonjwa 299 imeinclude wagonjwa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Je, huruhusiwi kufanya mtihani wa kidato cha sita kama school candidates kama huna jumla ya total points kwa O Level?

    Habari wana JF. Leo nilikuwa kwenye daladala asubuhi nikasikia mama mmoja analalamika kuwa mwanae amesajiliwa kama private candidate kwenye mtihani wa form six. Sababu anasema kuwa mwanaye hajafikisha points 25 kwa matokeo yake ya form four pamoja na kurisiti, kurisiti, yaani ukichukua jumla...
  14. polokwane

    JamiiForums Tanzania Wapi vyoto vya mtumba kwa jumla vinapatika au belo la vyombo vya mtumba

    Kuna shemeji yangu anapenda biashara ya vyombo vya mtumba sasa hajui wapi atapata mzigo anampango wa kufungua duka la vyombo vya mtumba tuuu.
  15. cantona55

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kuuza magazeti kwa kilo

    ......
  16. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania USA: COVID-19 Update 3/3/2020; Jumla ya wagonjwa 272,998, maambukizi mapya 28048, waliokufa Leo +934 Jumla ya Vifo 7004

    Kwa tathmini ya Taifa kubwa LA Marekani lililoelemewa na CORONA Sisi mataifa machanga tunahitaji maombi ya mwenyezi Mung u Nawapa pole Sana Binadamu wenzangu Wamarekani nawaombeni sasa binadamu wenzetu mjifunze kuwa adui yetu si sisi kwa sisi binadamu adui yetu ni yule asiyeonekana Marekani...
  17. Johnyy

    JamiiForums Tanzania Natafuta masoko ya jumla

    Hlw wana jf, natanguliza shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa nafasi ya uhai, mimi ni kijana mkulima wa papai za kisasa mbegu ya karina na malkia miche 400 shamba lipo Tanita Kibaha. Kwa mawasiliano waweza nichek Whatsapp au kunipigia kwa namba 0686301689 mbarikiwe sana
  18. Premij canoon

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 20. Nahitaji kufanya biashara ya spare za pikipiki kwa jumla na rejareja

    Salaam wanajukwaa, Pole na mitikasi na mihangaiko ya kila siku, natumai sote ni wazima wa afya njema. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, katika uhangaikaji nimefanikiwa kufikisha kiasi cha milioni ishirini (20,000,000), nahitaji kufanya biashara ya spare za pikipiki kwa jumla na reja reja...
  19. Pilato2006

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    Wana JF, nataka kufanya kilimo cha mapapai ila nahitaji mbegu za muda mfupi kuzaa ili nianze kuvuna mapema. Naomba msaada wa yafuatayo 1 Wapi nitapata mbegu fupi za muda mfupi kuanza kuzaa? 2. Nikitaka kupanda spacing iwe kiasi gani toka mche hadi mche? Asanteni sana hii ni katika kuhangaika...
Back
Top Bottom