SOLD: Duka limeshauzwa, Asanteni kwa ushirikiano wenu

Status
Not open for further replies.

director Zion

Member
Jan 2, 2017
67
30
Habari ndugu zangu, nauza duka langu lililopo Tandika double kibin sokoni, duka ni la vyakula na vitu mbali mbali mfano sukari, ngano, mafuta, sabuni na nk lenye mtaji wa sh 20,000,000.

Biashara Ni nzuri Sana na ofisi ni nzuri ila mimi nahama makazi; nahamisha familia namfuata mume wangu.

Hutojuta, mimi mwenyewe naliuza huku roho inaniuma...

Changamkieni fursa utanishukuru baadaye....

Mawasiliano yangu Ni 0656 052164 kwa aliye serious tu ...ahsante
FB_IMG_1597335370351.jpg
FB_IMG_1597335370351.jpg
FB_IMG_1597335359699.jpg
 

Attachments

  • FB_IMG_1597335343931.jpg
    FB_IMG_1597335343931.jpg
    55.8 KB · Views: 5
Usiliuze duka kama linafanya vizuri. Watu wako ulaya wanamiliki maduka bongo, usiogope.

Tafuta mtu mkabidhi huo mtaji aendelee nao awe anakupa kiasi mtakachokubaliana kila mwezi. Huku mtaji wako ukiwa palepale pia ukiongezeka

Mimi naweza hilo kwa uaminifu kabisa.
 
Bhabari ndugu zangu,nauza duka langu lililopo tandika dable kibin sokoni,duka Ni la vyakula na vitu mbali mbali mfano sukar,ngano,mafuta,sabuni na nk lenye mtaji wa sh 20,000,000.

Biashara Ni nzuri Sana na ofisi Ni nzuri ila Mimi nahama makazi; nahamisha familia namfuata mume wangu.

Hutojuta, mi mwenyewe naliuza huku roho inaniuma...

Changamkieni fursa utanishukuru baadaye....

Mawasiliano yangu Ni 0656 052164 kwa aliye serious tu ...ahsante
Mkuu upo wapi ni pm tuzungumzee kidogo usiuze duka
 
Usiliuze duka kama linafanya vizuri. Watu wako ulaya wanamiliki maduka bongo, usiogope.

Tafuta mtu mkabidhi huo mtaji aendelee nao awe anakupa kiasi mtakachokubaliana kila mwezi. Huku mtaji wako ukiwa palepale pia ukiongezeka

Mimi naweza hilo kwa uaminifu kabisa.
Nikweli,ila biashara Kama hii inahitaji ukaribu wa karibu sana
 
Moyo unatamani lakini hapa tu mwenye nyumba tangu tarehe moja nimemzimia cm
 
Mtaji wa 20m
Kwa sasa imebaki mtaji wa sh ngapi? Na kodi imebaki ya miezi mingapi?
Lakini vitu ulivyo piga picha havina thamani ya 20m.
Mil 20 ndo thamani ya duka,yaan bidhaa, Kuna store haipo kwenye pic hapo,kod Ni laki na nusu kwa mwezi inayoisha mwenz wa Tisa.ahsante
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom