USA: COVID-19 Update 3/3/2020; Jumla ya wagonjwa 272,998, maambukizi mapya 28048, waliokufa Leo +934 Jumla ya Vifo 7004

Corticopontine

JF-Expert Member
Sep 20, 2019
664
1,272
Kwa tathmini ya Taifa kubwa LA Marekani lililoelemewa na CORONA Sisi mataifa machanga tunahitaji maombi ya mwenyezi Mung u

Nawapa pole Sana Binadamu wenzangu Wamarekani nawaombeni sasa binadamu wenzetu mjifunze kuwa adui yetu si sisi kwa sisi binadamu adui yetu ni yule asiyeonekana

Marekani kiranja wa adui yenu si Osama, wala Sadam wala Gaddafi au Mugabe bali CORONA VIRUS ni mfano wa adui halali wa mwanadamu

Marekani badilisha Sera zako za kisiasa Duniani kutokee Mapinduzi makubwa ya kukabiliana na adui asiyeonekana
.
Marekani CORONA ameilazimisha Dunia kutoandamana amelazimisha Dunia kufuata Sera za kijamaa ninajua wazi banda ya CORONA siasa za maandamano zitapoa kwa muda
 
I've already say no God can help in this game! If isn't nature is beating us just know this there's someone behind this!
We have everything we need to have,and our intelligence is where the answer it is!!

Nature will always remain the meaning of our existence and vice versa.
 
Dah!.. huu ugonjwa hatari sana tusiache kufuata ushauri tuliopewa na wataalamu wetu wa afya.
 
Back
Top Bottom