jpm

  1. GLOBALIST

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wangu Meseji ya CDF Mabeyo kuhusu kifo cha Hayati Magufuli

    Nimeona maandiko kadhaa yenye kumsifu aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo baada ya mahojiano yake ya video na Daily News Digital kuhusu namna alivyo-play role yake katika dakika za majeruhi za uhai wa Rais wa Awamu ya Tano, Dkt. John Pombe Magufuli...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Jesca Magufuli achangia Ujenzi Nyumba ya Katibu UVCCM Wilaya ya Chato. Asisitiza Kumuenzi Hayati Magufuli

    "Mimi nikasema si vibaya nikajumuika na vijana wenzangu (UVCCM) Wilaya ya Chato katika ujenzi wa nyumba ya Katibu wa UVCCM Wilaya ya Chato na kuhakikisha inakamilika, nikasema nichangie kidogo nilichobarikiwa kuhakikisha kazi za Chama na pia siyo mwisho, nitaendelea kuchangia zaidi na zaidi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mkumbukeni Hayati Magufuli

    Ndugu watanzania wenzangu, leo ni siku tulipotangaziwa kuzimika kwa nuru ya ukombozi wa watanzania. Tuunganane pamoja kuomba Mungu awaibue akina Hayati Magufuli wengi maelfu kwa mamilioni hasa tunapoelekea kufanya chaguzi za serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025. Kila mtanzania kwa sasa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi wengi wa kisiasa wanapost picha wakiwa na Hayati Magufuli lakini wanahofia kuposti hotuba zake, au zinawachoma?

    Viongozi wote nilipopitia post zao kwa miaka mitatu tangu atutoke Hayati Magufuli wamejikita kutuma picha zake na siyo hotuba zake. Hali hii ni tofauti na kumbukizi ya Nyerere na Mkapa ambapo sauti yake usikika zaidi. Kifalsafa nini chanzo cha kutopostiwa kwa hotuba zake mitandaoni kwa wingi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ni viongozi gani waliaminiwa na JPM na ndani ya miaka mitatu tayari wamemsaliti kwa kauli na matendo?

    Kuna watu JPM aliwaamini akawateua na kuwapa madaraka kama wasaidizi wake. Leo ni miaka mitatu tangu kifo chake. Katika kumbukizi hii napenda kufungua mjadala wakuchambua viongozi waliokuwa wanamsifia JPM akiwa hai na sasa ameondoka wamegeuka na kuanza kudhihaki. Kiongozi mmoja wapo aliyewahi...
  6. Mayor Quimby

    JamiiForums Tanzania Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani. Sasa cha kushangaza Mabeyo pamoja na kujitahidi kutabasamu ila chozi lilimshinda nguvu kwa sekunde kadhaa ameonekana akibubijikwa...
  7. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Nchi inaweza kusahau uwepo wa kina Membe na wenginewe wengi ila si kwa watu kama Magufuli n.k

    Watu huja na watu hupotea! Lakini watu hao hao wengine huendelea kuishi kwa maana ya yale waliyowahi kuyafanya na kuyaacha kama mnara wa kumubukumbu zao kwenye vizazi na vizazi Watanzania wasipomuenzi Magufuli, Waganda watamuenzi pindi wanapokuwa wakiliona bomba la mafuta kuyoka Hoima kuja...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Huwa nashangaa sana CHADEMA kumuona Putin shujaa halafu wanamkandia Magufuli!

    CHADEMA wao wanasema wanataka demokrasia wakati wa siasa lakini Bado wanamuona Putin kama mfano. Hii ni contradiction kabisa. Ona anavyoua wapinzani wake. Ameua Navanyi Akiwa gerezani ili tu agombee peke yake. Karibu wapinzani wake wote kaau wote hata prigogzin kamuua. Anataka kufia madarakani...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kauli za LATRA kuhusu namba za magari, kuelekea 17 Machi zimelenga kumhujumu Mama?

    Kumekuwa na matamko tata kutokea LATRA kuhusu magari yenye namba D na E kufanywa ndiyo yaliyo magari pekee. Hali hii si ya kuvumiliwa hata kidogo. Kesho itakuwa gari kuingia Dar na labda hata kuthubutu tu kuwapo Tanzania ni F na G peke yake. Nani ajuaye? Ni kawaida kwa wanaojidhania kuwa wako...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alijifunza wapi kuvumilia wanaomkosoa na kutweza utu wake? Uvumilivu wake una baraka kwa Taifa au aachana nao?

    Hayati Magufuli alikuwa ni mwafrika tena mwenye mfumo dume. Alikuwa baba ambaye amekuzwa katika kusema ukweli na kushinikiza kutendeka kila anachotaka yeye. Alikuwa mzazi asiyependa kukosolewa na kila aliye nyanyuka kumkosoa alichapwa na kuambiwa acha utovu wa nidhamu. Tuliokulia kwenye familia...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao

    Naomba nisimuwekee maneno Makamba. Maneno aliyoyazungumza ni tuhuma nzito kwa utawala wa Rais Magufuli.
  12. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Mnataka kumbebesha Hayati Magufuli madhambi yenu?

    Hivi mnataka tuamini kuwa Uchaguzi Tanzania miaka yote ulikuwa unafanyika vizuri, kwa Amani, na bila makadokado ya Chama tawala na wapambe wake? Kwamba kufika 2020 mambo yakaharibika? Yaani, tuamini JPM na timu yake walivuruga uchaguzi ili washinde 2020? Kabla ya hapo mambo yalikuwa powa...
  13. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Bora Taifa liwe na Rais kama Hayati Magufuli kuliko kuwa na Rais anayeruhusu maandamano ‘uchwara’ huku ufisadi ukitamalaki

    Ok tumeandamana Mwanza, Dar Mbeya na Arusha nini cha maana taifa limepata? Kuingilia msafara wa Biteko? Leo hii hali ni mbaya sana. Maana pesa za umma zinachotwa hovyo na hakuna cha maana kikifanyika. Mpaka waziri mkuu Majaliwa anazunguka nchi nzima kuibua madudu. Mbona wakati wa JPM haya...
  14. Madwari Madwari

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji afunguka kutekwa kwake kipindi cha Hayati Magufuli

    Mtangazaji : Tumeongelea vitu vingi sana kuhusu wewe. Watazamaji wengi watakaoangalia hii video wanajua kuwa kutekwa kwako ndio stori wanaihitaji kuisikia . Kuhusu kutekwa nyara naomba utuelezee A-Z ilikuwaje ? Mo Dewji: Kwa miaka mingi nimekuwa na ratiba ya kuamka na Kwenda Gym saa kumi na...
  15. Logikos

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mshahara Hayati Magufuli ulikuwa 9M?

    Kama mlipa Kodi ni vema kuangalia watumishi wetu tunawalipa kiasi gani hususan sasa hivi ugumu wa maisha umepanda huenda ni wakati wa kufunga mkanda... Ukizingatia Rais anapewa kila kitu (magari, nyumba n.k.) Sasa katika pita pita zangu nikaona hii.... Magufuli, who was elected president in...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa Hayati Magufuli enzi za uhai wake kama Waziri, sijawahi kuona waziri mwingine aliyeacha alama kwa ufanyaji kazi uliotukuka

    Kweli kabisa nasema ukweli, kila wizara alikowekwa hayati Magufuli alifanya wandazi. Leo umeme shida kila kona ya nchi mpaka hospitali zinakatiwa umeme, mwingine akasema eti winchi ya kunyanyua mitambo haijafika na wakati huo anakula perdiem kila anapotembelea BWAWA LA NYERERE. Leo sukari...
  17. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mafisadi wa CCM hawataki mradi wa JNHPP ukamilike kwa makusudi. Angekuwepo Hayati Magufuli ungekuwa umekamilika

    Mambo mengi yanaendelelea nyuma ya pazia huko. Kuna dili la majenereta lilipigwa. Lipo Jenerereta la dharula lilinunuliwa bil 20. Mahindra tech? Kuna watu wanataka wapewe tenda za kuzarisha umeme. Kwa nini tuhangaike kama mradi unaweza kukamilika kwa wakati?
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wakati JPM alijenga uwanja mkubwa wa kimataifa wa ndege Chato, ambao hakuna ndege inayotua zaidi ya kunguru, shule ya wanafunzi 1500 haina choo

    Ni hapo hapo Chato. Aliwajengea uwanja wa ndege ambazo hata nauli hawana, bado wanatumia punda. Pia baada ya kuwajengea uwanja huo, watoto wa wana chato wanaknya vichakani. Kalemani atupishe, tangu JPM aondoke,hakuna alilofanya
  19. Izizimba

    JamiiForums Tanzania Waliomponda Magufuli ndio hao hao wanaolamika umeme kukatika

    Sisi binadamu ni viumbe wa hovyo kabisa, just imagine kipindi cha JPM wanasiasa na baadhi ya Wananchi walivyokuwa wanamtukana Magufuli lakini saizi hao hao ndio wanaolalamikia ugumu wa maisha na kukatika umeme mara kwa mara. Tulimkosea sana JPM hii dhambi itatutafuna milele. Suluhisho ni kutubu.
  20. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

    Salaam, Shalom!! Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli vilivyotelekezwa. Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO, 1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI. 2. UZALENDO. 3. UCHAPAKAZI. 4. MAONO/VISION. Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu...
Back
Top Bottom