jpm

  1. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Ya Magufuli kujirudia, anahisi kuwa ndiye Rais wa Nchi. Atumia fursa ya Rais Samia kuwa nje kikazi

    Wakati Mh Samia Suluhu yupo nje ya nchi kikazi , Paul Makonda anatumia ziara zake ambazo zimepewa jina la 'OPERESHENI CHAFUA MBOWE" kujijenga kisiasa na siyo kujenga chama wala bosi wake , yaani mwenyekiti wa chama. RC na WAZIRI hawana mamlaka hata ya kumfukuza mtu kazi. Ila wanaweza...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa mtizamo wa Malasusa hata Serikali ikiua raia wake hawezi kukemea kwa sababu hajalelewa hivyo. Alikaa kimya wakati wa Magufuli hata sasa aendelee

    Unapokuwa na kiongozi wa kidini asiyejali malengo ya Mungu kuwaleta wanadamu Duniani ni hasara kwa kanisa. Ukimsikiliza Askofu Malasusa na ukifuatilia namna ambavyo amekuwa akitekeleza majukumu yake utabaini wazi kwamba siyo kiongozi wa kidini bali ni mtu aliyekaa kwenye dini kama Sehemu yake...
  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tambueni Makonda kupita mule alipopita Magufuli ni kwa sababu Watanzania wanahitaji matokeo chanya

    Watanzania wanahitaji kuona reli ya Sgr kutoka Dar mpaka Mwanza inafanya kazi hii ni kwa sababu ughali wa maisha utapungua sababu mizigo na abiria watasafiri kwa bei rahisi. Bwawa la JHNP linazalisha umeme na umeme haukatiki hovyo. Bei ya umme ishuke na umeme usiwe anasa. Raia wanyonge...
  4. F

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Sukari yafika shilingi 5,000 kwa kilo moja

    Kilo ya sukari Tz imefika Tshs.5,000/, nadhani serikali inatakiwa itoe tamko kutupatia walaji mwongozo wa kufuata kutoka kwenye anguko hili. Sababu tunayopewa ni dhaifu kwamba mashamba ya miwa yamefurika maji wakati TMA ilitoa tahadhari miezi 2 kabla ya mvua kushuka. Nadhani ni Tz pekee ambako...
  5. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliingilia ajenda ya kupunguza watu duniani

    IJUWE AJENDA YA KUPUNGUZA IDADI YA WATU DUNIANI HADI IFIKAPO 2030 NA CHAPA YA 666 JPM alivyohamasisha watu kutotumia UZAZI WA MPANGO, KUTOTUMIA CHANJO, KUHAMASISHA WATU WAZALIANE, ALIKUWA ANAENDA KINYUME NA AJENDA ZA FREEMASON. AJENDA IJULIKANAYO KAMA, (21--2030), YA FREEMASONS KUTOKA MWAKA...
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Daktari wa Magufuli akiwa Kiongozi na uhusika wake katika afya ya Rais

    Najiuliza sana hili swali ni nani alikuwa Daktari wa Rais Magufuli kipindi yupo Madarakani. Na alimpata wapi? Au alipendekezewa na nani?
  7. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Bila kujali kelele na yaliyosemwa juu ya Hayati Magufuli, kuna ulazima wa haraka sana kumpata mwingine wa aina yake

    Hata kama staandika matarajio yenu, kifupi ni kwamba, Tanzania inahitaji tena na kwa haraka mno mtu mwenye mfanano na hayati JPM, Tuambizane ukweli, ni nani miongoni mwenu ambaye anaweza kuwa Rais wa nchi, wananchi wake wakalemewa na ukali wa maisha namna hii akaendelea kuwaonea huruma...
  8. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu inakata hela bila mtu kujiunga na huduma yoyote. Haya mambo wakati wa Hayati Magufuli hayakuwepo

    Huo ndio ukweli. Kuna mambo ya ajabu sana yanaendelea kwa sasa hapa nchini. Nadhani wahusika wanatamani watunyang'anye hata kidogo tulichonacho tubaki hatuna kitu. Gharama za maisha zipo juu na bado mitandao ya simu inakata hela kwa kisingizio cha ulikopa au ulijiunga na huduma fulani wakati...
  9. raisiajaye

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Kenya iliyokataliwa na Hayati Magufuli yaletwa nchini

    Rais Samia wanasiasa wabaya wamekuwekea mtego mwingine hatari sana, wameleta kampuni toka Kenya yenye masilahi na wao inayomilikiwa na Mkenya Andrew Chege kwa kushirikiana na baadhi ya wanasiasa wa Tanzania Kampuni iliyokataliwa na JPM yarudishwa kinyemela (Safari tech) ya Kenya Wametapeli...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wakenya walitamani Hayati Magufuli angekuwa Rais wao, wamempata Ruto

    Ndugu zangu wana JF, ni matumaini yangu mko sawa kabisa. Rejea kichwa cha mada chahusika. Hawa majirani zetu walitamani sana Hayati JPM angekuwa Rais wao enzi za uhai wake. Binafsi naona kama maombi yao yamejibiwa na Mungu kawajalia kumpata William Samoei Ruto, ambaye ana sifa karibia sawa...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Hayati Magufuli angekuwa hai hali ingekuwaje mpaka sasa

    Kipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu. Hali ya mabank au financial system ilikwa paralysed na mabank kibao yakafunga biashara mf bank ya...
  12. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania 2025 ndani ya CCM ni team Lowassa + team Magufuli vs. Team Msoga

    Mwenyekiti alijaribu kuwaleta karibu team Msoga na kuwatimua team JPM, lakini akausoma mchezo kuwa vijana wa Msoga wana ambitions kubwa mno hiyo 2025, akizembea hata yeye anawekwa pembeni. Vilevile ushawishi wa JPM bado ni mkubwa mno kwenye siasa za nchi hii. Uelekeo wa sasa ni mwenyekiti...
  13. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Tulionya tukapuuzwa, tukashauri wapinzani, basi wao wachukue nafasi ya upepo wa JPM, wakatuita kila aina ya majina!

    Kinachokwenda kutokea CCM, ni kuwajengea imani wote waliokuwa na hasira juu ya kutukanwa na kubagazwa kwa aliyekuwa kipenzi cha Watanzania wengi hayati John Pombe Magufuli Mabadiriko yanayofanywa na CCM, ni mpango madhubuti ya kuinasa tena kanda ya ziwa kisiasa na kuendelea kuwa mtaji wao...
  14. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Nondo za Luhaga Mpina, ndio maana Mzalendo namba moja hayati JPM alimkubali sana

    "Tuna kiwanda cha Esther Bioscience Africa kinazalisha chanjo lakini chanjo nyingi tunaagiza nje ya nchi, tuna viwanda vya viuatilifu lakini bado viuatilifu tunaagiza nje ya nchi. Tukisema tunalinda viwanda kwa hapa tunavilindaje?" Luhaga Mpina, Mbunge wa jimbo la Kisesa
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mnaoiua Chato kwa kuelekeza hata majengo ya umma yasitumike mnamkomoa JPM au mnawakomoa Watanzania?

    Ofisi Nyingi za serikali zilizokamilika hazina watumishi badala yake watumishi wamerundikana kwenye ofisi zao za zamani wakisubiri hadi waelekezwe kuhamia. Taasisi za fedha zimehamisha watendaji huku hospitali ikitelekezwa kwa kukosa wataalam . Uwanja wa ndege unaoweza kuhudumia abiria wa...
  16. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM mbona mnamug'unya maneno wakati genge linalotuibia mali zetu mnalijua?

    Bungeni mnalalama kama vile nyie sio chombo kuiwajibisha serikali. Lakini ukweli upo wazi kuwa genge linalowaibia watanzaia kila uchwao mlalijua. Mbaya zaidi mnajua wazi lilifurahia waziwazi kifo cha hayati JPM. Kumbe hili genge lilifurahia kupata mwanya wa kuwaibia watanganyika.
  17. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Mahitaji ya watanzania ni yaleyale Makonda ukiyatimiza haya kijiji unachukua, Hayati Magufuli alipendwa kwa Haya

    Sina mengi ya kusema ila Makonda ukiweza kutatua kero za wananchi on spot, kurudisha uwajibikaji kwenye ofisi za umma maana waajiriwa wote na watumishi wote wapo kwa udhamini wa CCM so unaweza kuvimba nao, huduma muhimu ziboreshwe, ikiwemo shule, hospitali, miundombinu ya maji, barabara na umeme...
  18. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Video: Hayati Magufuli alitupa siri kwanini alipokuwepo hapakuwa na mgao, ni kwanini tunasahau haraka namna hii?

    Watu wanauliza, kwanini awamu ya JPM ya Kalemani haikuwa na mgao? Jibu hilo hapo anatupa mwamba yeye mwenyewe... https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa mtetezi wa wanyonge kweli au alikuwa na lengo la kuwafanya watanzania wote wawe wanyonge?

    Ni kipindi chake ndo machinga(wanyonge) walikuwa wengi na wanaongezeka daily na hakuna mpango mkakati wowote wa kuwapunguza kwa kupanua sector binafsi mana serikali ilikataa kabisa kuajiri kisa Barbara. Sector binafsi ilikufa kabisa au iikuwa inapumulia mashine kiasi ambacho wote waliokuwa...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliwakomaza vyema CHADEMA sasa wametambua umuhimu wa kupinga ufisadi ili kulinda rasilimali za umma

    Hawa jamaa sasa wamekomaa kisiasa. Maana juu ya sakata la Bandari na mkataba tata wamekomaa. Huko nyuma walitaka kuleta siasa za kisanii wakadhani hayati Magufuli anapenda janjajanja. Alipowatosa wakaanza kuwa pingapinga. Wananchi wakadharau na kuwaona wapigaji tu. Ila sasa baada ya kubanwa na...
Back
Top Bottom