Ni kweli mshahara Hayati Magufuli ulikuwa 9M?

Logikos

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
12,484
19,517
Kama mlipa Kodi ni vema kuangalia watumishi wetu tunawalipa kiasi gani hususan sasa hivi ugumu wa maisha umepanda huenda ni wakati wa kufunga mkanda... Ukizingatia Rais anapewa kila kitu (magari, nyumba n.k.)

Sasa katika pita pita zangu nikaona hii....

Magufuli, who was elected president in 2015 on a pledge to tackle corruption, made the disclosure during a speech broadcast live on state television on Tuesday.

“My salary is nine million (Tanzanian Shillings). I have not increased my salary and I will not increase it. Because my obligation is to serve Tanzanians first.

Ingawa hili likanitia shaka kwmba mshahara wa Rais ulishuka lini Sababu.....

Magufuli’s salary is a third of what former president Jakaya Kikwete was reported to be earning during his ten-year tenure as leader of East Africa’s most populous country.

Sasa kama hapo juu JPM alisema kwamba hajaongeza mshahara wake na hataongeza inamaanisha anaweza kujiongezea... Ndio hapo najiuliza; Huyu wa Sasa tunamlipa ngapi ?
 
Milion tisini

Samia lzm alambe Mia nne kwa mwezi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Milioni 9 (9,000,000/=) kwa mwezi 108,000,000/= kwa mwaka... Lakini kama Jakaya alikuwa anapata zaidi ya mara tatu ya hio (kabla ya marupurupu) huoni kwamba huenda alidanganya au alishusha (na kama alishusha alishusha lini na kwa nini)?

Binafsi nataka transparency hata kama wanajilipa 100,000,000/= tujue
 
Tunajadili mshahara wa marehemu😅😅
You miss the point big time.... (Jakaya alikuwa mara tatu ya JPM) Why wa JPM ulishuka lini ? JPM alisema hawezi kuongeza (Kudos kwake ) sababu anatumikia wananchi (Safi Kabisa) sasa kama anaweza kujiongezea na kuna hio loophole Je wa sasa tunamlipa ngapi ?

Issue sio mshahara issue ni transparency na tunacholipa kama kinaweza kuongezeka willy nilly sio sawa...;
 
Unakosea sana kuwaamini wanasiasa. Mtu yoyote hawezi kukutajia mshahara wake halisi
Sijamaani nimeuliza na sababu hakuna transparency nimechukua yardstick ya kilishosemwa JK anapokea na JPM alichosema anapokea...

Je unaona ni sawa sisi walipaji (tunaotoa ajira) hatujui wafanyakazi wetu wanapokea kiasi gani ? Na je ni nani anawapangia hio mishahara Kama ni wabunge na wenyewe wanapangiana bila kutuhusisha huoni wanaweza kwenda mwendo wa scratch my back and I will scratch yours ?
 
Kwani mkataba wa ajira zao unasemaje🤓
Masharti ya kazi ya Rais Sheria ya 1984 Na.15 ib.9 43.-
(1) Rais atalipwa mshahara na malipo meingineyo, na atakapostaafu atapokea malipo ya uzeeni, kiinua mgongo au posho, kadri itakavyoamuliwa na Bunge, na mshahara, malipo hayo mengineyo, malipo ya uzeeni na kiinua mgongo hicho, vyote vitatokana na Mfuko Mkuu wa Hazina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano na vitatolewa kwa mujibu wa masharti ya ibara hii. (2) Mshahara na malipo mengineyo yote ya Rais havitapunguzwa wakati Rais atakapokuwa bado ameshika madaraka yake kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii
 
Utakuwa zezeta kama ulimwamini Magu, yaani RC alipwe 6M halafu Rais alipwe 9M??

Mshahara wa Rais ni 90M+
Kwa Mwezi ? Ndio Hata wakiamua anaweza akalipwa 4M alafu marupurupu mara mia moja ya hio pesa Point yangu kubwa sio kumuamini JPM bali ni transparency ambayo haipo; Inabidi tujue tunamlipa Rais kiasi gani ?
 
Kama mlipa Kodi ni vema kuangalia watumishi wetu tunawalipa kiasi gani hususan sasa hivi ugumu wa maisha umepanda huenda ni wakati wa kufunga mkanda... Ukizingatia Rais anapewa kila kitu (magari, nyumba n.k.)

Sasa katika pita pita zangu nikaona hii....

Magufuli, who was elected president in 2015 on a pledge to tackle corruption, made the disclosure during a speech broadcast live on state television on Tuesday.

“My salary is nine million (Tanzanian Shillings). I have not increased my salary and I will not increase it. Because my obligation is to serve Tanzanians first.

Ingawa hili likanitia shaka kwmba mshahara wa Rais ulishuka lini Sababu.

Magufuli’s salary is a third of what former president Jakaya Kikwete was reported to be earning during his ten-year tenure as leader of East Africa’s most populous country.

Sasa kama hapo juu JPM alisema kwamba hajaongeza mshahara wake na hataongeza inamaanisha anaweza kujiongezea... Ndio hapo najiuliza; Huyu wa Sasa tunamlipa ngapi ?
TUMIA AKILI NA WEWE
 
Rais yoyote analipwa 108M kwa mwezi kwa Tanzania. , na benefits kedekede
Kila unapomuona Rais popote pale ana allowance yake not let than 7 to 10M

Anaefuata ni Gavana wa Benki kuu kwa mwezi ni 78M
JPM alikuwa Mzushi
 
Mil 9 angewezaje kugawa njiani kirahisi vile ?
Hivi unajua unaweza usichukue mshahara hata sumni lakini ukachukua pengine zaidi ya hizo ? (Hio ni Immaterial ya Hoja zangu za msingi ambazo ni hizi:-
  • Kama JK ilikuwa reported anachukua zaidi ya mara tatu ya hio 9m je ilishuka lini
  • Kama alisema hawezi kupandisha je inamaanisha anaweza kupandisha willy nilly na huyu wa sasa inawezekana akajipandishia willy nilly
Kwahio hapo utaona kuna umuhimu wa transparency sababu kama watu tunafunga mikanda kitaa ni vema tukajua watumishi wetu tunawalipa kiasi gani hususan kama tunawahudumia kila kitu na uzeeni wana guarantee ya kuendelea kuhudumiwa...

Kwanini nimetumia JPM (yeye ndio yardstick ya ambaye atleast alisema anapokea ngapi) Mbili ukitaka kula na vipofu ni bora kuonyesha wewe upo nao kuliko kuishi outlandishly wakati unawakamua kwa matozo (huenda wakaacha kulipa hizo tozo willingly)
 
Back
Top Bottom