jiwe

  1. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Joto ya jiwe ATM haijatema, Dar es Salaam joto lipo kati ya 33°c na 34°c

    Kiwango cha joto mchana wa leo jijini Dar es Salaam kimefika kati ya 33°c na 34°c, hiki ni kiwango cha juu sana kwa jiji hili, chukua tahadhari usinywe bia mchana huu kuepuka kupoteza maji mwilini.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania iliwahi kuwa na Rais jiwe kweli kweli

    Nchi yetu iliwahi kuwa na kiongozi mahiri kweli kweli. Walikuwepo kabla yake, wakaja baada yake, na huenda watakuja na wengine, lakini itatuchukua muda mrefu sana kumpata kiongozi mwenye kaliba ya Hayati JPM.
  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hii picha inatuambia nini? Kwamba Tanzania is full of nepotism? Rais na mkwe wake wanaweka jiwe la msingi!

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi Ujenzi wa Ofisi za Halmashauri ya Masasi Mkoani Mtwara tarehe 16 Septemba, 2023.
  4. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Maaskofu huwa hawarushi jiwe gizani!

    Kuna watu huwa wanasema maaskofu wanapiga kelele. Wanapinga hiki na hiki, subiri nikwambie, ninavojua hawa jamaa ni intelligent enough. Wanajua in/out zote na huwezi kuwachenga kwa lolote lile. Na wakishasemea jambo huwa hawarudi mara kwa mara ila wewe mwenyewe utaona matokeo. They never speak...
  5. ONJO

    JamiiForums Tanzania Unabii juu ya tawara zote duniani,Tanzania kuwa jiwe kuu la pembeni.

    . Sauti ya kilio na maombolezo ilisikika watu wasikubali kufarijiwa kwa kuwa hayupo tena,amelala. Siku zikapita,miezi ikapita,na hatimae mwaka ukapita nisielewe maana ya fumbo hili!.Nikijiuliza kwanini ardhi imekubali kumpokea wakati bado tunamwitaji? Nikiwa katika usingizi,tazama nilikuwa...
  6. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi ni Mchanganyiko wa Mdude + Lissu. Je Alikuwa Wapi Wakati wa Hayati Magufuli?

    Ni wazi hakuna ubishi Man of The Moment (MOTM) kwa sasa ni Wakili Boniface Mwabukusi kutokana na namna alivyolibeba suala la Bandari/DP WORLD kwa mabega mawili. Wanasiasa na Wanaharakati wengi wameongea kama kina Lissu, Mbowe, Slaa, Tibaijuka, Shivji, Binti Sarungi, Madeleka na Nshala. Lakini...
  7. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Eti mtoto asipofikisha wastani haendelei. Private school dawa yao jiwe

    Nimewapa mtoto hajui kusoma Wala kuandika .. mmemfundisha mmeshindwa mm nahusika vpi na mtoto hakuwa amesoma popote na ni Miata saba naenda nane Ni hakika walimu wanastahil kupewa mitihani(interview) Shule za private Zina walimu wabovu kupindukia
  8. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Heko Rais Samia umetupa jiwe gizani wakapambane nalo!

    Wizi mkubwa unaofanyika bandarini kwa asilimia 75-80 hufanywa na baadhi ya viongozi waandamizi tena wenye heshima kubwa serikalini. Kufunga mkataba huu kutaboresha na kufunga baadhi ya njia za wizi kabisa. Asante mama umenena na wezi kisayansi maana wengine ni watu wazito kabisa. Mifumo yote...
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alipozuia chakula kisiuzwe nje mlikebehi, sasa mmeonja joto ya jiwe na kusalimu amri

    Bashe fungua mipaka. Bashe wewe ni jembe. Mama amekupa rungu ili wakulima wapate pesa. Hii nini sasa? ==== Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Tamasha la Utamaduni la Bulabo Mkoani Mwanza leo June 13,2023 ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kuwaomba...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari: Hayati Magufuli apewe maua yake

    Mnyonge mnyongeni haki yake apewe. "Pamoja na ubinadamu wako nabii jiwe upumzike kwa amani."
  11. kavulata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anachofanya Fei Toto Sasa kwa Hersi ni kulijambia jiwe

    Mwl wangu wa shule ya msingi alinichapia hadithi ya fisi, mfupa na jiwe. Alisema, siku moja fisi mwenye njaa Kali alikiona kitu cheupe mbali kabisa akidhani kuwa ulikuwa ni mfupa unaofaa kula na kuponya njaa yake kali. Pamoja na njaa yake alikimbia umbali mrefu kuufuata "mfupa" aliouona kwa...
  12. Area 56

    JamiiForums Tanzania Kwanini hayati Magufuli alijiita jiwe?

    Bado naendelea kumkumbuka Rais wetu wa awamu ya tano, Field Marshall John Pombe Magufuli. Hakika maisha yake yaliwagusa watanzania wengi sana na hata kuondoka kwake kumeacha simanzi kubwa sana. Enzi za uhai wake, hayati Magufuli alikuwa na majina mengi ya utani, kama vile Tingatinga, Chuma...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Mpango aweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa barabara ya Mianzini - Olemringaringa - Ngaramtoni Juu na Olemringaringa - Sambasha - Timbolo

    Katika kuboresha miundombinu ya barabara, Serikali kupitia TANROADS imeendelea kutekeleza miradi kabambe na muhimu ya Maendeleo ya barabara Sehemu mbalimbali Nchini, ikiwemo katika Jiji la Arusha, ambapo Makamu wa Rais Dkt Phillip Isdor Mpango ameweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa barabara ya...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo ambayo Babu zetu walitusihi tuyafuate kwenye mahusiano lakini tuliyapuuza sasa tunaonja joto la Jiwe

    Kwema Wakuu! Nashukuru Kwa sababu mpaka sasa Nina mialiko mitatu ya Idi, nawashukuru wote mlionialika. Nirejee kwenye mada. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, Hii ni orodha ya mambo tuliokatazwa na kusisitizwa na Wazee wetu linapokuja suala la mahusiano ya ndoa, sasa Vijana wanapiga mayowe...
  15. USSR

    JamiiForums Tanzania Musoma: Mtoto afariki na kugeuka jiwe

    Hii dunia ni ngumu kuielewa na kila siku kuna jipya, mtoto amekufa na kugeuka kuwa jiwe, huyu mama alizaa watoto mapacha mtoto mmoja amefariki na mwingine bado yupo. Tukio limetokea ukweni na tayari ndugu wa mke wameamua kuondoka na ndugu yao (mama mfiwa) na mtoto wake aliyebakia hai. Chanzo...
  16. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara, jiwe la chumvi

    Kwako bwana Mwikwabwe Mwita, kiranja mkuu wa Azania zamani, mwenyekiti wa kitivo cha sayansi UDSM zamani, Rais wa DARUSO zamani, mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa TANGA zamani, mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa kivule CHADEMA zamani. Mbunge wa ukonga CHADEMA zamani, mbunge wa Ukonga CCM na sasa wa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Kama jiwe alikuwa na ubaya wowote Ni chama chake ndio kinawajibika 100@%

    Watu wengi tunajaribu kurubuniwa eti kuwa mwamba Ni mbaya ,Ni mtu mbaya ,Mimi ninachowaza Ni kuwa kama kwa namna yoyote alikuwa na ubaya wowote Ni chama kilichomsimamisha kimesababisha hayo,hakina mfumo madhubuti badala yake wapo radhi kufanya lolote mradi malengo yenu yatimie,nafahamu...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Did this man deserve to be President? He was remorseless and senseless

    He spread dismay, anger and created rifts amongst brothers and sisters of the same nation who differ in ideologies. There is a time when he barked out at Abdallah Bulembo (his then campaign manager), simply because Bulembo's daughter (MP special seats) had intimate friendship with Zitto Kabwe...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Lissu anakuwa na nguvu pale panapokuwa na Siasa za mapambano (confrontational politics), zilikuwepo enzi ya Magufuli, Sasa hazipo, kapoteza relevancy

    Lissu ni mwanasiasa anaye shine/anayeng'aa pale panapokuwa na Siasa za mapambano, Siasa hizo zilikuwepo enzi ya jiwe, yule Mzee wa Chato. Kwa Sasa ni SSH, hana Siasa hizo za piga nikupige. Ndio maana baada ya ujio wa Lissu, ndani ya muda mfupi "amechuja" na umaarufu wake umechuja kwa asilimia...
  20. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio nyayo vikanyagio vya Nabii Ibrahim, Jiwe dogo la mraba (Maqam Ibrahim) lililohusishwa na Ibrahim katika ujenzi wa Al-Kaaba

    Maqam Ibrāhīm ni 'kikanyagio cha Nabii Ibrahim' ni jiwe dogo la mraba lililohusishwa na Ibrahim, Ismail (Ishmaeli) na ujenzi wao wa Al-Kaaba ambapo sasa ni Msikiti Mkuu wa Mecca katika eneo la Hejazi la Saudi Arabia. Chapa kwenye jiwe ilitoka kwenye miguu ya Ibrahimu. Ilionekana pale Ibrahim...
Back
Top Bottom