jiwe

  1. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hivi baada ya kuibuka Kizinkazi Chatolite ya Jiwe inaendeleaje na baada ya Kizi tungojee Songea?

    Karibu marais waliopita, ni Magufuli pekee aliyetumia raslimali za umma kujenga kwao. Siku hizi nasikia Kizinkazi. Je baada ya hapo, tutegemee Songea kwa Nchimbi? Je hii ni haki kwa mikoa ambayo haijawahi na wala haitatoa marais? Kwanini viongozi wetu hawakujifunza toka Gbadolite na Yamoussokro...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kifo Cha dereva, kimewavuruga waliobakia, Unatamani kugombea Ili iweje?

    Salaam, Shalom! Ulianza safari na dereva , dereva akafia njiani, akawekwa kondakta amalizie safari ya kilometa tano zilizobaki. Hivi tunavyoongea, dereva Yuko njiani kwenda kuvunja nyumba Ile ya maamuzi ya ukoo. Dereva ambaye ameshika usukani ,amefikisha jumla kilometa kumi za safari. Na...
  3. Doji MD

    JamiiForums Tanzania Hivi kipindi cha corona asingekua jiwe hali ingekuaje?

    Kwema wakuu, Najaribu kuwaza tu hata hili deni lingekuaje, hali ya jamii pia Na vipi kuhusu nyanda zingine. Nawaza tu usichukulie serious sana
  4. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Mfalme Belshaza (aliyerithi kiti cha Ufalme toka kwa Nebukadreza) alimuudhi Mungu (Mene mene Tekeli na Perezi) - Danieli 5:25

    Mfalme Belshaza alimuudhi Mungu pale alipotumia vyombo vya Hekaluni. MENE, MENE TEKELI NA PEREZI (Danieli 5:25) Tutubu tuipuke hukumu ya milele. https://www.youtube.com/watch?v=rrOaRJTqx1k
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania IDF wakijivinjari kwenye mitaa ya Jenin ole wako urushe jiwe umekwisha!

    Askari wa Israel wakiwa kwenye mitaa ya Jenin usiku huu hapo wako kwenye mission ya kwenda kulikamata Gaidi.
  6. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Jiwe halijawahi kushindwa dhidi ya nazi!

    Mwanasheria mmoja alimuuzia kisima cha maji mwalimu. Lakini baada ya kupita siku mbili, mwanasheria yule alirudi kwa Mwalimu aliyemuuzia kisima na kumwambia: "Ndugu, nimekuuzia kisima; ila siyo maji yaliyomo katika kisima. Hivyo, kama unataka kutumia hayo maji itakupasa kulipia ziada ya pesa"...
  7. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Waafrika: Anayeabudu jiwe ili abarikiwe anamcheka anayeabudu mti Kwa kuamini atabarikiwa

    Wakuu, Utakuta Mwafrika anayesafiri kilometa za kutosha kwenda saudia arabia kusujudu lile jiwe jeusi "kimondo" ili abarikiwe, amekaa anamcheka anayevaa kipande Cha mti shingoni "rozali" kwa kuamini atabarikiwa. Ila Cha ajabu hao wote wawili wakikutana pamoja, Wanamcheka sana yule anaeabudu...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kazi na Utu: hii slogan itawaondoa watu waliotumiwa kudhalilisha utu kazini

    Slogani hii inaenda kuleta ubinadamu, utu, upendo, heshima katika kazi. Ushalilishaji, uonevu, ukandamizaji katika kazi sasa umefikia mwisho. Iwe katika kilimo, bei nzuri ya mazao, viwandani na ma ofisini, udhalilishaji ukome, mambo ya kusimama jukwaani kudhalilisha watumishi au...
  9. X

    JamiiForums Tanzania China vs U.S Trade War: Walmart kampuni ya Marekani yaanza kuonja joto la jiwe la tariffs za Trump kwa bidhaa za China

    Walmart kampuni ya kimataifa inamilikiwa na Walton family inashikilia rekodi ya kuwa muajiri mkubwa zaidi duniani ikiwa imeajiri watu zaidi ya milioni 2 katika nchi tofauti tofauti, na ina stores zaidi ya 10,000 sehemu mbalimbali duniani. Biashara yao kubwa ni kuuza bidhaa za aina tofauti...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo - Pangani - Tanga na Daraja la Mto Pangani (M 525)

    RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI BARABARA YA BAGAMOYO - PANGANI - TANGA NA DARAJA LA MTO PANGANI (M 525) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo (Makurunge) - Pangani - Tanga: sehemu ya Mkange...
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametimiza ndoto ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi. Mradi huo unatarajiwa kuwanufaisha Wananchi zaidi ya 20,000 Wilayani Korogwe. Mradi huo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Tundu Lissu ni Jiwe walilokataa Waashi

    Kwa hakika, Tundu Lissu ana Power na ushawishi mkubwa sana. Kuchaguliwa tu, majoka yameanza kutoka mashimoni na kuanza kurandaranda mitaani. Sipati picha Lissu atakapoanza kazi rasmi.
  13. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kama CCM wanadhani ya CHADEMA ni comedy na wanashadadia, basi wasubirie mchelea mwana hubeba jiwe

    Huu moto wa CHADEMA ni Kuni za moto wa kijani ndani ya CCM kati ya Tanganyika na Zanzibar. Tutaongea lugha moja ya kupindua meza na kurejesha mamlaka na kufanya marekebisho ya katiba haraka sana. Embe chini ya mnazi haitatokea Tena. Sio mimi ni malaika wa bwana wameona mbali. Pang Fung Mi
  14. Knock life

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere umeua ndege wawili kwa jiwe moja

    Hongera Sana Yericko Nyerere. Mpaka sasa umeua Biashara yako ya vitabu , maana watu wameshaanika Elimu yako na Kuonekana hauna Elimu inayoeleweka hivyo wamesema wanaenda kuchoma vitabu vyako vilivyojaa uongo . Pili umeaua Credibility yako na watu waliokuwa wanakupa Kazi za Urundi umeme . Huu...
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafsi Jiwe Mwili Binadamu Hadaa ya Dunia kwenye Mapenzi

    Nguvu za kiume ni pesa na nguvu za kike kiuno na joto la samosa, nyakati hizi za mapenzi na maokoto tambua hilo, mwaga mpe chake mwambie tembea, funga mlango. Mimi sio mwenyeji wako umekuja kibiashara ondoka kibiashara, Binadamu ni mwili sio nafsi. Ondoka kama ulivyokuja sina muda. Ubwela...
  16. babukijana

    JamiiForums Tanzania Jiwe gani hili?

    Jiwe gani hili wakuu, nilikua natafuna karanga toka kanda yakati nikalikuta humo. Nisije nikatupa neema Mungu amenitumia kimyakimya. Ni rangi ya brown light ugoro kabisa,limechongeka pembetatu 🔻,gram si chini ya 25. Wataalam njoeni hapa.
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Azizi Ki aliona jiwe akipiga penati

    Taarifa Rasmi ya Yanga kupitia msemaji wake. My Take Hivi huyu jamaa anawaonaje fans wa Yanga?
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Aweka Jiwe la Msingi Shule ya Sekondari Jakaya Kikwete - Chalinze

    BASHUNGWA AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI JAKAYA KIKWETE - CHALINZE Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Dira ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuongeza idadi ya Shule za Msingi na...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa aweka Jiwe la Msingi Shule ya Sekondari Msangani, ampongeza Rais Samia

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari ya Msangani Government katika kata ya Msangani iliyopo Halmashauri ya Mji wa kibaha Mkoani Pwani ambapo Serikali imetoa kiasi cha shilingi Milioni 528.9 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Naomba kujuzwa hii ni aina gani ya jiwe

    Naomba kujuzwa, hii ni aina gani ya jiwe?
Back
Top Bottom