Hayati Magufuli alipozuia chakula kisiuzwe nje mlikebehi, sasa mmeonja joto ya jiwe na kusalimu amri

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Bashe fungua mipaka. Bashe wewe ni jembe. Mama amekupa rungu ili wakulima wapate pesa.

Hii nini sasa?

20230613_190804.jpg


====

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Tamasha la Utamaduni la Bulabo Mkoani Mwanza leo June 13,2023 ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kuwaomba Wakulima kuhifadhi chakula na kutouza nje.

"Ndani ya Taifa let sasa akiba ya chakula ipo kama Tani laki 2 hadi laki 2 na Elfu 50 kwa kuanzia mwaka huu mavuno yaliyoanza tunakwenda kumwaga fedha kununua chakula, tunataka kuwa na hifadhi ya chakula Tani laki 5 kwa mwaka huu tunaoanzia, Nchi yetu iwe na Tani laki 5 tutakazohifadhi kwenye maghala yetu, nimeshampa kibali Waziri wa Kilimo a Waziri wa Fedha atoe fedha tuanze kununua mazao sasa"

"Niwaombe sana Wakulima mazao tusivushe kwenda nje tusubiri Wizara inakuja kununua mazao ili tuweke kwenye hifadhi, naziomba Familia zote za Wakulima waweke chakula cha kutosha kwa ajili yao, nitoe wito kwa Wakulima kutunza chakula cha kutosha, kuweka akiba ya chakula kwa matumizi va Familia na tusiuze chakula nie kibakie ndani kwa matumizi yetu, litakapokuja suala la uhaba wa chakula Tanzania tuwe tume iweka vizuri hauna shida ya chakula"

"Narudia tena tukumbuke kuweka akiba ya chakula, najua Ndugu zanguwa kisukuma mavuno hava tukishauza na bei zipo nzuri sasa wakina Baba tutakimbilia kuongeza nyumba za pili, mwenye mbili anakwenda ya tatu, si vibaya hatuna wivu hatukatai lakini mnapokumbuka kuongeza nyumba mkumbuke kuongeza a mashamba ili tuvune zaidi tuongeze chakula zaidi"

Chanzo: Millard Ayo
 
Bashe fungua mipaka

Bashe wewe ni jembe.

Mama amekupa rungu ili wakulima wapate pesa.

Hii nini sasaView attachment 2656339
Mahali serikali ilipandisha gharama za maisha ni kuruhusu vyakula kwenda nje kwa kigezo mkulima apate pesa,unawalinda wakulima wachache unaumiza walaji wengi,kama ni kufaidisha wakulima basi serikali ingeangalia kupunguza gharama za kilimo tu.
 
utala
Kila tapishi lazima walilambe hawa. Walifikiri mwenzao alikuwa chizi. Anaingizwa mkenge na jamaa yetu vasco.u
utalamba wewe mpaka mavi ya yule mfu wenu siyo watu wenye akili. Na kule kusini aliwafanyaje au kwasababu wale siyo wasukuma. Mama hajazuia mtu kuuza chakula amewashauri kuweka akiba ya kutosha ya chakula au waiuzie serikali ili ije kuwauzia kwa bei nafuu. Tunajua mnawashwa sana na mizimu ya yule mshamba wenu
 
utala

utalamba wewe mpaka mavi ya yule mfu wenu siyo watu wenye akili. Na kule kusini aliwafanyaje au kwasababu wale siyo wasukuma. Mama hajazuia mtu kuuza chakula amewashauri kuweka akiba ya kutosha ya chakula au waiuzie serikali ili ije kuwauzia kwa bei nafuu. Tunajua mnawashwa sana na mizimu ya yule mshamba wenu
Umepanic.
 
Back
Top Bottom