Mada inajieleza. Lile jiwe la Tanzanite limewekwa wapi na linatunzwa na Nani?
Kama lipo litahifadhiwa hadi lini? Kama halipo Lili kwenda wapi baada ya kifo cha mpendwa wetu?
Hivi mnajua nyinyi maccm na vibaraka wa kumchafua mpigania haki na rasilimali za Tanzania kujaribu kumchafua JPM ni sawa na mtu kuweka mguu wake kwenye pango la siafu?
Mtu aliyekuwa mkweli kutoka moyoni mwake, sote tunakumbuka ile skendo ya Madini yetu ambayo yalidakwa Kenya na kisha...
TISS ya Diwani Athumani ndio walau ilitulia, kutekana kukaisha, mambo ya hovyo hovyo yakapungua, hata Jiwe naye akapunguza machachari.
Tofauti na Ile ya kipilimba na wenzake walioshughulika kwelikweli na akina Mdude na wengine.
Ni TISS ya Diwani Athumani, pamoja na taasisi nyingine...
Tupate habari kamili. Katika jambo ambalo limeonesha kushangaza baadhi ya watu na wenyeji kutoshangaa sana ni tukio la kisayansi ambalo limetokea baada ya mtoto mmoja kurusha jiwe kwa mbwa na hatimaye mkono huo kuganda.
Tukio hilo limetoka Katika Kijiji cha Nansio Wilaya ya Ukere Mkoa wa Mara...
Kijana huyo ambae hajafahamika majina alimponda mbwa na jiwe jana usiku majira ya saa 2 usiku.
Tukio hilo la kustaajabisha liliyokea/limetokea Ukerewe Nansio maeneo ya Bakwata (Musoma road) mwisho wa lami.
Picha kukujia punde
Habari wadau,
Nina kiwanja changu kimepimwa na manispaa ya Ubungo.
Jirani yangu naepakana nae ameamua kujenga msingi wa ukuta wake kati kati ya jiwe linalotutenganisha..
Je, yupo sahihi? Sheria ya Ardhi inaruhusu hili kutokea?
Wataalamu na wazoefu naombeni ushauri
Tazama picha. Kiwanja...
Kiti hiki ndicho alichoketi Bi. Elizabeth II wakati anatawazwa kuwa Malkia wa Uingereza mnamo mwaka 1953. Kimetumika kutawazia wafalme na malkia waliotawala dola ya uingereza tangu mwaka 1300. Kinaitwa kiti cha mfalme Edward "King Edward's Chair".
Ukiangalia vizuri hapo kitini, utaona kuna...
Nimekuwa nikijiuliza sayansi iliyoko katika lile jiwe ambalo watu hutumia mara waumwapo na Nyoka. Unaliweka sehemu husika na linanyonya sumu mpaka linapodondoka. Ni sayansi gani hapo inayofanya kazi? Wenye uzoefu please.
Lakini pia ile bangili ambayo husemekana inampumbaza nyoka. Inafanyaje...
Rejea headline ya Raia Mwema ya tarehe 24 August, 2022. Deus Kakoko alikuwa "Untouchable" kipindi cha Magufuli kutokana na kuwa msiri wake tangu akiwa Regional Manager wa TANROADS enzi za awamu ya 4.
Wakati wa Mwendazake hata PM Majaliwa amewahi kugonga mwamba kwa hiki kisiki.
Soma na hizi...
Mwanaakiolojia Sam Osmanagich maarufu kwa jina la “Bosnia indiana jones" alitamka kuwa jiwe la Bosnia ni jiwe la ajabu katika Bara la Ulaya , ambapo alieleza amefanya utafiti wa jiwe kwa miaka 15 , mwaka 2016 jiwe la Bosnia liligunduliwa katika.
Jiwe hilo lina upana wa mita 3 ambapo...
Wanafunzi kuelewa wanachojifunza.
Mnamo mwaka 2011, nilikuwa miongoni mwa wanafunzi 80 tuliokuwa tukisoma masomo ya sayansi katika shule fulani ya sekondari mkoani Tabora. Sikuwa miongoni mwa wanafunzi bora katika darasa lile.
Na wala sikuwa muulizaji sana wa maswali. Inawezekana hiyo ilikuwa...
CHANGAMOTO KWENYE MFUMO WA ELIMU NCHINI TANZANIA.
Utangulizi
Siku za nyuma nikiwa kidato cha kwanza, katika Shule ya Sekondari Uluguru, tuliwahi kuwekewa mada ya kujadili kwa hoja. Mada hiyo ni maarufu kidogo miongoni mwa wanafunzi waliowahi kupitia elimu ya sekondari, ”Education is better...
Serukamba, Hawa Ghasia, Vicky Kamata, Dr. Kafumu, Adadi Rajabu na Andrew Chenge, hawa wote walikuwa wenyeviti wa kamati za kudumu za bunge 2015-2020 (isipokuwa Vicky yeye alikuwa makamu mwenyekiti)
Uchaguzi wa 2020 majina yao yalikatwa na jiwe pale Lumumba japokuwa waliongoza ktk kura za maoni...
tunaendelea kutoka thread namba 2.
Pesa ni mfano mmojawapo mzuri wa nadhaharia inayoitwa “Tinkerbell effect”. Ambayo inajaribu kuelezea kwamba baadhi ya vitu vipo kwa sababu tu ya watu kuamini vitu hivyo. Watu wengi wanavyozidi kuamini kuwa pesa ina thamani sana na hakuna maisha bila pesa basi...
Kwa wingi wa changamoto hizo na kuendelea kukua kwa kasi kwa hizo changamoto bila shaka lazima kutakuwa na sehemu moja ambayo ndio mzizi mkuu wa matatizo mengine yote.
Kuna usemi usemao, “Kama una changamoto nyingi zinakuandama kwa wakati mmoja, tuliza akili yako vizuri, kwani suluhisho la...
UTANGULIZI
PAMOJA na uwezo mkubwa alionao mwanadamu wa kutatua changamoto mbalimbali katika mazingira yanayomzunguka, Watanzania wameshindwa kutatua changamoto za msingi ambazo ndiyo msingi mkuu wa maisha ya mwanadamu ulimwenguni.
Si Watanzania wote wenye uwezo wa kutafakari na kuwaza nini...
Mnatapeli ili iweje? Mnataka kuonyesha kuwa mnakubalika? Kwa nini jiwe la msingi mnaandika kwa peni inayofutika? Sababu mnataka kudanganya.
Hili jengo ni mali yenu? Huko misungwi? Semeni kweli tusijetukawaumbua acheni uongo
Watetezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.
Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?
Kama alikuwa anakubalika kwannini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.