jiwe

  1. G Sam

    JamiiForums Tanzania Mlipuko wa COVID19: Watanzania tujiandae kuonja joto ya jiwe kwa mataifa ya wenzetu, serikali yetu inaweza kuwa sehemu ya matatizo!

    Nimelazimika kuandika bandiko hili baada ya statements kadhaa zinazotoka kwenye mataifa mengine zikionyesha kuwa watanzania wamekuwa wakipita kuvuka mipaka na baadhi yao kwenda kuwa sasa ni chanzo cha matatizo ndani ya mataifa hayo. Ni jana tu mtendaji mkuu wa wizara ya afya ya Kenya alitoka na...
  2. Chibudee

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akitembelea maeneo yenye mawe ndani ya Ikulu ya Chamwino, Dodoma

    Mzee anasahau Corona kidogo anakula bata chamwino
  3. A

    JamiiForums Tanzania Habari njema kwa wapenzi wa Nokia

    Kama tulivoona ujio mpya wa Nokia na Android. Mnamo mwaka 2017 walianza na Android 7 Nougat ambapo walianza na Nokia 1. Nokia 2 , Nokia 3, Nokia 5, Nokia 6 Nokia 8 nk Kisha zikatoka upgrade yake kidogo nikimaanisha Kisha mwaka 2018 zilitoka kama Nokia 2.1, 3.1,5.1 , 6.1 ,7.1 , 8.1 Baadae...
  4. Daisy Llilies

    JamiiForums Tanzania Tuliotekeleza agizo za mtukufu Jiwe la kufyatua katika miaka hii minne tukutane hapa

    Nimebahatika kama kupata wawili tangu tamko litokee. Mmoja yuko njiani.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Chato, Geita: Rais Magufuli afungua jengo la Mahakama ya Wilaya na kuweka jiwe la msingi jengo la Zimamoto

    leo Jumatano Desemba 18, 2019 Rais wa Tanzania, John Magufuli amehudhuria hafla ya uzinduzi wa jengo la Mahakama ya Wilaya ya Chato na uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo la Zimamoto na Uokoaji la Wilaya ya Chato mkoani Geita. Haya ni baadhi ya yaliojiri kwa ufupi. Prof. Ibrahim Juma...
  6. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Uwekaji Jiwe la Msingi miradi ya Ujenzi wa Meli Mpya , Chelezo na Ukarabati wa M.V Victoria na M.V Butiama katika Ziwa Victoria

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anaweka Jiwe la Msingi miradi ya Ujenzi wa Meli Mpya , Chelezo na Ukarabati wa M.V Victoria na M.V Butiama katika Ziwa Victoria Jijini Mwanza. Sherehe zinazofanyika Katika Bandari ya Igogo Jijini Mwanza.
  7. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kufanya ziara ya siku mbili mjini Kahama

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo Novemba 26, 2019 anatarajiwa kuwa na ziara ya kikazi ya siku mbili katika halmashauri ya mji wa Kahama mkoani Shinyanga. Akizungumzia ujio wa Rais Magufuli mkuu wa wilaya ya Kahama Anamringi Macha amesema Rais...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda akutana na Viongozi wa madhehebu na Taasisi za dini, asema anayoyafanya Rais Magufuli yanazidi maelekezo ya ilani ya CCM

    Ni katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere. Karibu! Kardinali Pengo na Sheikh wa mkoa kwa niaba ya Mufti wanauombea mkutano huo. Sasa viongozi wa dini wanaangalia mkanda wa video unaomuonyesha RC Makonda akitolea ufafanuzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo. ====== Mkuu wa Mkoa wa Dar...
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Jiwe la kupondea viungo jikoni

    Kifaa hiki ni kawaida kukikuta kwenye majiko hasa ya wenye nazo. Jiwe hili licha ya kuwa ni urembo mzuri pia hudumu kwa miaka mingi. Historia inatuonyesha walioanza kutumia jiwe kupondea viungo na dawa walikuwa ni Wamisri wa kale. Baadae Wagiriki pia waliiga utaratibu huu hasa matabibu na...
  10. Kaka Pekee

    JamiiForums Tanzania Mchora Katuni Gado Buana...ha ha ha!

    'GADO' Godfrey Mwampembwa ni Mchora katuni mwingine ambaye Namkubali sana na sanaa yake ya Uhakika na Kufikirisha. Kwa kazi zake zaidi cheki hapa Tovuti ya Gado Toons
  11. Dive

    JamiiForums Tanzania Jinsi picha la kurudia chaguzi Tanzania linavyochezwa

    Watanzania tutazame picha linalolechezwa la kuumalizia mbali upinzani. Ukiangalia wafuatao wamejiuzulu uanachama wao bila sababu mujarabu na chaguzi za wabunge na madiwani zimerudiwa. Akina Mwita Waitara wa jimbo la Ukonga, mbunge wa Monduli, mbunge wa Kinondoni, mbunge wa Liwale. Hii inatupa...
Back
Top Bottom