jiwe

  1. Zero Conscious

    JamiiForums Tanzania Uombaji kazi za Ualimu hali ni tete, sehemu anahitajika mmoja wameomba watu zaidi ya elfu moja

    Habarini za wakati huu. Kama tunavyofahamu zoezi la utumaji wa maombi ya Ajira linaelekea kutamatika lakini kiukweli Hali inatisha. Kwa wale ndugu zangu walimu mtakuwa mmeona kwenye shule mlizoomba idadi ya walimu wanaohitajika na namba ya watu waliotuma kuiwania nafasi hiyo. Kuna wakati...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Zitto aachwe aendelee kung'ata jiwe tuone ataishia wapi!

    Hahaha hahaaa Zitto unang'ata jiwe kwa kutumia meno? Eneweyi! Watu husema, Mchwa nao ulijaribu kutafuna mwamba, naweye Zitto unajaribu kutafuna mwamba siyo? Jiwe halitafuniki mzee! Ni kina nyie nyie mliokuwa mkisema kila makusanyo ya mwezi (TRA) ilikuwa ni data za Kupikwa Mara hooh...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Madini imesema inafuatilia jiwe la bilioni 240 linalopigwa mnada Dubai, yasema ilipata taarifa mtandaoni

    Leo wa mbunge Mkinga, Dastan Kitandula ameuliza bungeni kuhusu jiwe la Tanzania linalopigwa mnada Dubai, Uarabuni. Naibu waziri wa madini amesema nao waliona mtandaoni na wanafatilia. ===== Dansatan Kitandula: Mheshimiwa spika, jiwe la ruby lenye uzito wa kilo 2.8 lipo kwenye maonesho kwasasa...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Nyambura Moremi; Mwanasayansi bora aliyefutwa kazi na Rais Magufuli kwa kusimamia ukweli kuhusu vipimo vya virusi vya Corona

    Mama Samia amejibainisha kama Rais anayeheshimu utaalamu. Samia ni tofauti na JPM, JPM japo alisoma sayansi mpaka PhD (kama ni kweli) aliyofundishwa na waalimu wake yote aliyakataa akiwa Rais. Nyambura Moremi ndiye alikuwa akishughulika na kupima virusi vya corona, na kutoa kwake taarifa za...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ripoti hii ya CAG asilimia kubwa ni ya enzi ya utawala wa Jiwe, ulijaa upigaji

    Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe. Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Heko kwa Kufuzu, ila kwa Mpira 'mbovu' tuliocheza na kwa Timu tunayoenda Kukutana nayo, tukifuzu Nusu Fainali mnizamishe Baharini na Jiwe

    Tusheherekee zetu tu kwa Kushinda jana na Kufuzu huko Robo Fainali ya CAFCC na kupata hicho Kitita cha Shilingi Milioni Mia Nane ( 800,000,000/= Tsh) Ila kwa Mpira mbovu niliouona Jana huku Beki Onyango, Beki Tshabalala, Viungo Mkude na Kanoute na Washambuliaji Morrison na Sakho wakionyesha...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Bondia Hassan Mwakinyo arusha jiwe gizani, aponda mabondia wanaolipwa Sh milioni 5

    Bondia Hassan Mwakinyo ametoa kauli ambayo ni wazi inaonyesha anarusha ‘dongo’ sehemu. Wale mnaojua someni hapa kisha muone kijembe hiki kinamuhusu nani? “Bongo bwana Boxer unajulikana mikoa 5 tu Tanzania umeshaanza kuvimba mabega!! Eti unajiona kila mtu Una muweza ikipigwa hesabu yako tangu...
  8. Gemini Are Forever

    JamiiForums Tanzania Hili ni jiwe gani?

    Habari wakuu, Kwa anayefahamu hili ni jiwe gani? Nimeokota pembezoni mwa mlima wanapochimba udongo (BORROW PIT) wa ujenzi wa reli ya SGR Dodoma huku.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nukuu ya hotuba Shaka Hamdu Shaka katika uwekaji jiwe la msingi ofisi ya CCM wilaya Musoma Vijijini - 02 Februari 2022

    NUKUU YA HOTUBA YA KATIBU MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KATIKA UWEKAJI JIWE LA MSINGI OFISI YA CCM WILAYA MUSOMA VIJIJINI 02 FEBRUARI 2022 "Uamuzi wa kuanza kuyaunganisha Mataifa ya Tanganyika na Zanzibar baadae vikaungana TANU na ASP Februari 5 Mwaka 1977 laiti hatua hizo zisingefanyika kwa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere aliipenda nchi siyo CCM

    Kama ilivyokuwa kwa Mwalimu Nyerere mapenzi yake yalikuwa kwa nchi siyo CCM. Ukipenda nchi utakuwa mzalendo kwa dhati yako. Huwezi kutumwa kufanya ujambazi, ubakaji, utekaji, utesaji, wizi, udhwalimu nk, nawe ukakubali na hata kuja kujitetea mahakamani kuwa ulikuwa mtumwa tu. Kwa hakika hii ni...
  11. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania Hii kesi ya ugaidi inatumika kupiga ndege wawili kwa jiwe moja, ila mmoja ndiyo analengwa zaidi

    Hii kesi ya ugaidi inatumika kupiga ndege wawili kwa jiwe moja, ila mmoja ndiyo analengwa zaidi, kwa bahati mbaya mshika manati ndiyo anapoteza zaidi. Nakumbuka miaka ya 2000 kuja 2005 ilikuwa ukipita mitaani chama kilichokuwa kwenye headlines ni CCM. Ndicho chama kilichokuwa kinatrend sana...
  12. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tukipeleka umeme vijijini, tutaua ndege wawili kwa jiwe moja kwa kupata nishati ya umeme na tutatengeneza fursa nyingi zitokanazo na umeme

    Na Elivius Athanas. 0745937016. Umeme ni nishati muhimu sana katika karne hii ya leo. Shughuli nyingi za majumbani, viwandani, ofisini na sehemu zingine, zinategemea sana nishati hii ili kufanya kazi. Matumizi yake ni mengi mno na umuhimu wake hauelezeki. Heko kwa Serikali ilijitahidi na...
  13. waukweli100

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa madini

    Wataalam wa madini hili ni jiwe gani
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Maandamano yaendelea kushika kazi Afrika Kusini kufuatia kukamatwa kwa Jacob Zuma

    Mamia ya watu wamekamatwa nchini Afrika Kusini huku ghasia zikienea kufuatia kufungwa jela kwa rais wa zamani Jacob Zuma. Waandamanaji wanaomuunga mkono Zuma kwanza waliingia mitaani baada ya kiongozi huyo wa zamani (79) kujisalimisha kwa mamlaka Jumatano ili kuanza kifungo cha miezi 15...
  15. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA haya mnayoyafanya ndio yalipelekea tukaletewa Hayati Magufuli

    Amani iwe nanyi nyote. Naomba niwakumbushe udugu wangu chadema, awamu ya nne mlipiga sana kelele kuwa kuna ufisadi, nchi haikuwa na Rais tunahitaji Rais Dikteta naomba niseme ukweli niliungana na CHADEMA, na katika uchaguzi niliisaidia kweli kweli kwa mapenzi ya kutoka moyoni Mungu si Athumani...
  16. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Jiwe baada ya Jiwe: BASATA isipoingilia hii vita ya hizi lebo 3 Wasanii wengine 3 watasahaulika

    Naona kina baraka prince, Nay wa mitego na wengine wmetoa kazi zao ila kwa hizi fujo zinazofanywa na WCB, Konde ganf na kiba wasanii wengine wanapata wakati mgumu sana kuvuma. Rapcha kutoka bongo records alivuma na Lisa ila hii vita ya vigogo ilipoanza katupwa
  17. Area 56

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Shinyanga lavamia eneo ambalo Mbowe alipanga kuweka jiwe la msingi wa ofisi ya CHADEMA

    Mapema leo, jeshi la polisi mkoani Shinyanga limevamia katika eneo ambalo Mwenyekiti wa Chama hiko alikuwa aweke jiwe la msingi ili kuzindua ujenzi wa ofisi za CHADEMA. My take: Nyani wapya msitu wa zamani
  18. magasi jnr

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua kama jiwe hili lina dhahabu

    Jamani msaada, nahitaji kujua kama jiwe hili kwenye (picha hapo chini) kama lina dhahabu. Naomba kuwasilisha.
  19. hamis77

    JamiiForums Tanzania Lifahamu jiwe la Moabu(MOABITE STONE)

    Moabu , "Mbegu ya baba"; ni jina la kihistoria la eneo la milimani upande wa mashariki wa Bahari ya Chumvi ndani ya nchi ya kisasa ya Yordani. Ilikuwako kati ya Edomu upande wa kusini na Amoni upande wa kaskazini. Zamani eneo hilo lilikuwa ufalme wa Wamoabu. Mji wake mkuu uliitwa Diboni na...
  20. Utopologist

    JamiiForums Tanzania Huyu mwamba apewe tuzo maalum kwa kupandisha happiness index ya taifa

Back
Top Bottom