Maandalizi kwa ajiri ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Sgr kati ya Mwanza na Isaka yamekamilika. Na jiwe la msingi litawekwa wakati wowote na rais wa JMT, SSH.
Ziara ya kukagua maandalizi hayo imefanywa na waziri wa ujenzi Leonard Chamuriho akiwa na naibu wake Mwita Mwikabe na maandalizi...
Wakuu Kuna hili jiwe nimeliokota hapa nyumbani. Kwa muonekano ni Kama quartz maana lina ule mchongoko wa quartz Ila lina rangi nyeusi na siyo transparent. Ni black quartz au ni kitu gani?
Hakuna kitu kinauma kama majuto,majuto yanauma zaidi sababu yanakuja baada ya muda kupita. Hakuna aliewahi kurudisha nyuma muda akafanikiwa. Nyakati za Yesu alipingwa sana japo alisaidia wengi, aliponya wengi lakini bado alionekana si kitu. Baada ya kufa ndio walijua kuwa hakika alikua mwana wa...
Tukio liko mubashara TBC, Channel ten na ITV.
Up dates;
Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi na sasa anapiga picha ya pamoja na viongozi wa mkoa na wilaya.
Rais Magufuli amewashukuru viongozi hao kwa utekelezaji mzuri wa ilani ya CCM na ameagana nao na kuondoka.
Maendeleo hayana vyama!
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Kwanza kabisa ninaomba kuanza kwa kunukuu maneno machache ya waziri wa mambo ya nje mzee wetu professor Palamagamba Kabudi. Pia kabla ya yote ikumbukwe ninaandika haya nikiwa sina "vested interest" undugu, ujamaa wala urafiki na...
Wakuu habari ya asubuhi,
Hili jiwe ni aina gani, lina rangi ya kijani, ni duara kama goroli ukilipiga mwanga ndani kama lina majimaji na linatoa mwanga wa kijani.
Je ni madini,ama ni goroli ya aina gani? Wataalam mnaojua mambo haya mnifafanulie.
Picha za Hospitali ya Rufaa ya Kanda -Chato mkoani Geita ambayo imewekwa jiwe la msingi na Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili Chato mkoani Geita leo tarehe 11 Januari 2021.
Wakuu,
Hili ni bandiko la ushauri kwa mam;laka husika lakini kuwekwa kwenye mjadala kuhusu jiwe kubwa la aina yake ambalo linatumika kama utambulisho wa jiji la Mwanza.
Jiwe hili liko pembezoni mwa mwa ufukwe wa ziwa Viktoria karibu na feri ya Kamanga na sambamba na barabara ya Nasser...
Jiwe lililoanguka kutoka juu ya anga lambadilisha muuza majeneza kuwa milionea
CHANZO CHA PICHA,JOSUA HUTAGALUNG
Maelezo ya picha,
Josua Hutagalung akishikilia jiwe lililoangukia nyumba yake kutoka juu ya anga
Fuatilia moja ya simulizi ambayo imegonga vichwa vya habari duniani siku za hivi...
Kwa jinsi anavyoipiga kwa sasa kila anapopita ni kama anaiweka kichochezi hivi, kwa sababu hadi sasa ni kweli Korona ipo na Ulaya na marekani hari bado ni tete.
Yeye anazungumzia mambo yaliyopita kuwa vingozi wetu walikimbia bungeni mara kujilokudouni hii anatuchafua sana, na kibaya zaidi...
Rais Magufuli leo akiwa na mgeni wake, Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera wanaweka jiwe la msingi kituo kikuu cha mabasi ya mikoani inayoendelea kujengwa eneo la Mbezi Louis, Dar es Salaam.
===
MAGUFULI: Mkataba ulikuwa umalizike mwezi wa saba, leo ni mwezi wa kumi na waziri alikuwa...
MAPEMA Juma hili tumesikia baadhi ya vyama vya siasa nchini vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa 2020 vikitoa maneno makali dhidi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kile ambacho wao wanasema kuwa Tume imekosa meno dhidi ya wanaokiuka Maaduili ya Uchaguzi.
Mgombea Urais kupitia Chama cha...
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Baada ya kufuatilia kampeni za jiwe na kutambua kuwa baada ya Bukoba alielekea Biharamulo, ilitegemewa asingeacha kwenda Ngara ili pia aione barabara ile pendwa ya Rusahunga - Rusumo.
Binafsi kwa makusudi mazima ku share uzoefu...
Hivi tukiongelea ubabe, ununda, kiasi kwa akianzisha varangati hakuna msanii mwenzake atakayemuweza..yaani ukimchokoza tu anafunga mtaa.
Huku mtaani kuna hawa jamaa wanatajwa sana
Zola D
Kalapina
Nay wa Mitego
Profesa Jay
Chid Benz
Dudu Baya
bou nako
p funky
fido Vato
lord eyes
Wewe unahisi...
Habari wanaJamiiForums,
Mchimbaji mdogo wa Madini ya Tanzanite Ndugu, Saniniu Laizer amesema anatarajia kupata mawe makubwa zaidi ya Madini ya Tanzanite kwa sababu mwamba anaochimba sasa umekwenda chini sana.
Laizer ameahidi kuyauza Serikalini mawe hayo pindi atakapoyapata kwani yeye ni...
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo imewapitisha Tundu Antipas Lissu Lazaro Nyalandu na Dr Mayrose Majige kusaka nafasi ya kuwania Urais Tanzania.
Katika kikao chake cha Kamati Kuu kilichomalizika usiku mnene majina hayo Leo yataletwa ndani ya Baraza Kuu ambao watakata mzizi wa...
Historia ya Mvumbuzi wa madini ya Tanzanite.
Marehe mzee Jumanne Mhero Ngoma, Mtoto Wa Mfugaji. Alizaliwa Katika Kijiji Cha Marwa, Wilaya Same Mkoa Wa Kilimanjaro, Wazazi Wake Walihamia Mererani Wakitokea Kijiji Cha Marwa Kwa Ajili Ya Kutafuta Malisho Ya Mifugo Yetu.
Alipokuwa Mdogo, Alikuwa...
Tukio hili liko mubashara Clouds tv na Channel ten.
Viongozi wengi wamehudhuria wakiongozwa na Dotto Biteko waziri wa madini.
Wengine ni Dr Mpango waziri wa fedha, CDF General Mabeyo, IGP Sirro na wengine wengi.
Mwenye mzigo si mwingine ni yule yule mchimbaji mdogo Laizer na uzito wa hii...
Na Malisa GJ
Saniniu Laizer mchimbaji mdogo wa madini huko Mererani ameamka Bilionea baada ya kupata mawe mawili ya Tanzanite moja lenye uzito wa 9.2KGs na jingine 5.8KGs yenye thamani ya TZS 7.8 Bilioni.
Watu wengi wanajadili kuhusu Tanzania kumpata Bilionea mpya. Ni jambo zuri lakini kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.