jinsia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wa Mawaziri wa Afrika kuhusu Fedha na Jinsia

    Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa mkutano wa Mawaziri wa Afrika wanaohusika na Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka nchi 22 wanachama wa Jukwaa la Usawa wa Kijinsia (UN Women) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF-Afritac East), utakaofanyika Jijini Dar es Salaam, kuanzia tarehe 15 hadi 17...
  2. Braza Kede

    Ungeishi vipi kama ungekuwa na jinsia tofauti na ya sasa?

    Mara paah unaamka mwenyewe unajikuta una jinsia tofauti na hiyo uliyonayo sasa. Yani kama wewe ulikuwa KE umebadilika kuwa ME na wale ME umekuwa KE. Ungeishi vipi? Ungefanya nini? Haya sasa yuhuuu! Twende kazi
  3. kimsboy

    Watu waliobadili jinsia wanaweza kuwa wazazi wa ubatizo katika Kanisa Katoliki, mashahidi katika harusi za kidini na kubatizwa

    Watu waliobadili jinsia wanaweza kuwa wazazi wa ubatizo katika Kanisa Katoliki, mashahidi katika harusi za kidini na kubatizwa , ofisi ya mafundisho ya Vatikani ilisema Jumatano, ikijibu maswali kutoka kwa askofu. Idara hiyo, inayojulikana kama Dicastery of the Doctrine of the Faith, haikuwa...
  4. Mhaya

    Je, ushoga na mapenzi ya Jinsia moja haiturudishi Sodoma na Gomorrah tukakumbwa na hasira na Mungu (Wrath of GOD)?

    Wengi wetu tunakumbuka historia ya kwenye vitabu vya Dini kuhusu Sodoma na Gomorrah, uovu mkuu uliotawala katika miji hiyo ulikuwa ni Uzinzi na Ushoga ambayo leo tunatafsiri kama mapenzi ya jinsia moja. KATIKA BIBLIA Historia ya Sodoma na Gomora inapatikana katika Kitabu cha Mwanzo (Genesis)...
  5. sky soldier

    Kanisa la Anglikana linaruhusu ndoa za jinsia moja, Inakuwaje kuna watanzania wenzetu bado wanaendelea kwenda ?

    Ni tangu mwezi February mwaka huu kanisa la Anglikana lilipiga kura kufungisha na kuzibariki ndoa za jinsia moja. Nilitegemea kufikia mwezi huu makanisa ya Anglikana hapa Tanzania yawe matupu kwa sababu sisi watanzania tunayapinga mahusiano ya mwanaume kumruhusu mwanaume mwenzake kumuingiza...
  6. Kusini pride

    Rafiki yangu home boy majuu amebadilisha jinsia na kuwa wa kike

    Mwanangu mmoja wa kitambo sana wa mzizima ambaye tulisoma wote shule.ya msingi forodhani then Azania halafu tukakutana nae tena kibaha sekondari ameni Dm leo X ya kwamba amebadilisha jinsia kisa eti maisha magumu Mwanangu long time ago alizamia south Afrika na now day yupo marekani kwahiyo...
  7. LIKUD

    Papa Francis: Hisani ya Kichungaji itumike wapenzi wa jinsia moja wanapowaomba mapadri baraka

    Nafikiri huu ndio wakati wa wakatoliki kusilimu au kurejea kwenye dini za mababu. Sisemi kuwa miongoni mwa waislamu hakuwa watu wanao fanya mambo hayo? La haha! Mambo hayo yanafanywa na watu wa dini zote wakristu kwa waislamu. Tatizo ni pale taasisi kama taasisi ya kidini inapo yatambua...
  8. Nyani Ngabu

    Kumtumia mtu mmoja [Rais Samia] kuwa mwakilishi wa jinsia nzima nchini; ni akili timamu kweli?

    Msimamo wangu unajulikana. Nausimamia bila chembe ya soni. Na ndani kabisa katika kilindi cha moyo wangu, najua kuwa niko sahihi. Tena sahihi kabisa. Lakini kuna suala moja ambalo nimeanza kuliona humu ambalo halinipendezi hata kidogo. Hii habari ya kuuhusisha uwezo duni wa Rais Samia na...
  9. R

    Kwa wanawake; uko huru kutembea peke yako mtaani wakati wa mchana au usiku?

    Wakuu, Kila mtu anapenda akitoka kwenda mahali fulani ajisikie salama na awe huru kutoka sehemu moja au nyingine bila bugudha yoyote. Hii ni changamoto kidogo kwa wasichana/wanawake wanapotoka kwenda sehemu mbalimbali iwe ni kwaajili ya kutafuta riziki au mtoko wa sherehe, huku wakati wa usiku...
  10. Brain Kingdom

    Mungu hakukosea kutenganisha nafasi na majukumu katika muktadha wa jinsia

    Wasalaam, Wanaume na wanawake ni zao la Mungu baba wa mbinguni, aliye muumba wa vitu vyote, ukuu wa Mungu na vielelezo vyake ameumbiwa mwanaume. Hivyo nawakumbusha wanajamii na watu wa mataifa Duniani kuzingatia yote kwa kufuata muundo wake Mungu. Itokeapo ukamfanya mke kuwa Mkuu wa kaya zenu...
  11. malisak

    Je, umemsave vipi kwenye simu mwenzi/mpenzi wako?

    Najaribu kuwaza nakosa majibu sahihi, ni kitu gani kinapeleka wanaume kusave wanawake zao majina ya kiume kwenye simu na wanawake pia halikadhalika. Kwani hata kama mnachepukiana si usave jina lake tu halisi badala ya kuweka majina maalum ya kuonesha uhusiano wenu? kama babe, honey, sweetiee...
  12. BARD AI

    Benki ya Dunia yasitisha Mikopo Mipya ya Uganda kutokana na Sheria ya Kuzuia Mapenzi ya Jinsia Moja

    Taarifa ya WB, imesema uamuzi huo unatokana na Serikali ya Rais Yoweri Museveni kupitisha Sheria inayopingana na wanaojihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja. "Maono yetu ya kutokomeza umaskini yanaweza kufanikiwa ikiwa yatajumuisha kila mtu bila kujali Rangi au Jinsia, Sheria hii inadhoofisha...
  13. Dam55

    Kwanini Mungu hakufinyanga mavumbi ya nchi kuumba mwanamke badala yake akachukua nyama toka kwa Adam?

    Ni swali ambalo nimejiuliza sana kwa wajuvi na wenye Elimu basi mnisaidie majibu tafadhali. Tukisoma maandiko tunaona kuwa Adam aliumbwa kwa mavumbi ya nchi ila ilipokuja kesi ya kuumbwa mwanamke HAWA/EVA mambo yakawa tofauti. Mungu akampa Adam usingizi mzito kisha akatoa nyama ubavuni pa Adam...
  14. Anonymous77

    SoC03 Usawa wa Jinsia, Haki za Wanawake, Watoto, Vijana, na Wazee Tanzania

    Tanzania ni nchi yenye idadi kubwa ya watu, takriban watu milioni 57. Kati ya idadi hiyo, wanawake wanaunda asilimia 51. Hata hivyo, wanawake nchini Tanzania bado wanakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwemo: Ukosefu wa usawa wa kijinsia katika elimu, ajira, na siasa. Ukatili wa kijinsia, ikiwa...
  15. carnage21

    Mwanaume aliebadilisha jinsia na kuwa Miss Uholanzi

    Pichani anaitwa Rikkie Valérie Kolle Mwanaume aliebadilisha Jinsia na kuwa Mwanamke. Huyu Ndio Mshindi wa Miss Uholanzi 2023. N.B: uzi umeandikwa kimakosa ilikua kama taarifa na sio kuhamasisha transgender isues[emoji120][emoji120][emoji120]
  16. Mwl.RCT

    SoC03 Usawa Wa Jinsia, Jamii Yenye Nguvu

    USAWA WA JINSIA, JAMII YENYE NGUVU Imeandikwa na: Mwl.RCT HISTORIA YA USAWA WA JINSIA Usawa wa jinsia ni suala ambalo limekuwa likijadiliwa kwa muda mrefu katika historia ya binadamu. Harakati za usawa wa jinsia zilianza kupata umaarufu duniani kote katika karne ya 19 na 20, wakati wanawake...
  17. Suley2019

    Dhamira (theme) ya mepenzi ya jinsia Moja inapenyezwa kwenye baadhi ya filamu za watoto. Wazazi tuwe makini

    Habari wanajamvi, Filamu za watoto imekuwa miongoni mwa sehemu muhimu sana ya kulea watoto wetu. Filamu hizi zinajumuisha katuni, TV Shows, Filamu za watu halisi na nyinginezo zilizotengenezwa kumlenga mtoto. Sote tunajua kuwa filamu na wahusika wa filamu wamekuwa na Athari kubwa kwenye tabia...
  18. Surya

    Hakuna Mwanaume anayependa Ukaribu na Jinsia ya Kike na sio Malaya

    Fanya tafiti na anza na kujitafiti wewe Mwenyewe. Iko hivi. Twende moja kwa Moja kwenye mahusiano kati ya Mwanaume na Mwanamke ambao wapo kwenye rika linalo endana, wewe mwanaume unaweza tongoza yani anafaa kwa Kilimo cha mbogamboga. Binafsi huwa siwezi kabisa kudumisha urafik na mwanamke...
  19. HERY HERNHO

    Ofisi za ubalozi nchini Japani zaunga mkono mapenzi ya jinsia moja na kuruhusu watu kufukuana vifusi

    Wanadiplomasia kutoka ofisi za ubalozi zaidi ya 12 wanaowakilisha nchi zao huko Japani wameonyesha kuunga mkono jamii ya watu wanaopendelea mapenzi ya jinsia moja ama wanaopenda kifukana nyuma wakiongozwa na USA na mabadiliko ya jinsia wanaojulikana kwa jina la ‘LGBTQ’, kabla ya mkutano wa...
  20. Stephano Mgendanyi

    Hamad Chande: Bajeti Zitazingatia Jinsia

    MHE. HAMAD CHANDE (NAIBU WAZIRI FEDHA) - BAJETI ZITAZINGATIA JINSIA Serikali imeeleza kuwa Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya mwaka 2023/24 umetoa maelekezo kwa Maafisa Masuuli kuzingatia masuala ya Jinsia, wakati wa uandaaji, uwasilishaji, utekelezaji, ufuatiliaji na tathmini pamoja...
Back
Top Bottom