Mpo wapi kutetea usawa au udhalilishaji wa kijinsia...?
https://www.jamiiforums.com/attachments/screenshot_20220717-142338-png.2294154/?hash=9d3296f54684a35f03edc143af85da70
Muangalie hapo Billnas alivyotupia kavaa kwa heshima na stara nzuri... Vazi ambalo akiingia popote atapokelewa kwa...
Kwa kawaida Ukraine ilikuwa na msimamo kama wa Urusi wa kutokuruhusu ndoa za jinsia moja. Lakini mabeberu wa nchi za magharibi wametumia kipindi hiki ambacho Ukraine inataka kuingia kwenye Umoja wa nchi za Ulaya EU, na iendelee kupata misaada ya kijeshi katika vita yake na Urusi, kuibana ukraine...
Wanajamii mambo sio mambo, leo nitawapasha habari juu ya sumu ya kuulia magugu Atrazine.
Hii sumu inatumiwa sana na wakulima katika kuua magugu katika mashamba makubwa ya mazao mbalimbali: miwa, mahindi. Sasa kwa nini hii sumu ni Nongwa?
Mwaka 2010, Dr. Tyrone Hayes alifanya utafiti kwa Vyura...
Shule ya Sekondari Nyakasura iliyoko Magharibi mwa Uganda imekuwa gumzo baada ya wanafunzi wa kiume wa nchi hiyo kuvaa sketi ikiwa ni sare ya shule hiyo ambayo imeanzisha tangu Mwaka 1926.
Mkuu wa shule hiyo amesema mavazi yanayoonekana sio sketi bali ni mavazi ya heshima yaliyokuwa yanavaliwa...
Idara ya Operesheni za Amani imesema mlinda amani wa Zimbabwe atapokea Tuzo ya Umoja wa Mataifa ya Mtetezi wa Jinsia wa Kijeshi ya mwaka 2021.
Mwangalizi wa Kijeshi Meja Winnet Zharare mwenye umri wa miaka 39, alifanyakazi Bentiu, Sudan Kusini hadi mwaka 2022 na atapokea tuzo hiyo kutoka kwa...
Ndugu waombaji wa ajira za muda SENSA 2022, tunapaswa kuhuuisha (update) taarifa zetu za Jinsia.
Naona ni kipengele kipya kimeongezwa hivi karibuni.
Login ili ku-update kila la kheri.
Mazungumzo yanayohusu ukosefu wa usawa wa kijinsia katika sehemu kubwa ya dunia ni ngumu kuepukika. Hata hivyo, katika miaka ya hivi karibuni wanawake wamekuwa wakipambana zaidi kuliko hapo awali ili haki yao ya kuonekana na kutendewa kwa usawa izingatiwe na kutekelezwa.
Ukosefu wa usawa wa...
Hivi Siku Hizi bado kuna Jinsia au Rika lina Hulka ya kuwa na Aibu kweli au Ndio Ule Mshipa ushakosa kazi,Siku Hizi Mi binafsi mpaka Naogopa navyokodolewa huko kitaa!!
Mwanamuziki wa bendi ya Sauti Sol, Willis Austin Chimano ameweka wazi kwamba kwa sasa hayupo tayari kupata mtoto.
Chimano ambaye takriban miezi mitatu iliyopita alikiri kuwa shoga amesema kwamba kupata mtoto ni jukumu kubwa ambalo bado hayuko tayari kulichukua.
"Kwa sasa bado nakua. Kupata...
Nimesikia kwamba wamachinga wamewekwa kwenye wizara inayoshughulikia wanawake,wazee, watoto na kundi Maalumu (walemavu).
Nafahamu kuna baadhi ya wamachinga wachache ni walemavu na wanaweza kufall kwenye hiyo wizara kusaidiwa.
Nafahamu pia sio walemavu wote hawajiwezi kuna baadhi yao wachache...
Wazungu waliotuletea dini, huko kwao makanisa yanageuzwa kuwa bar.
Wengi wameacha kusali, hawaendi tena makanisani, ule moto wa injili uliokuwa ukiwaka ndani yao sasa umepoa kabisa, na jivu lake limekuwa la baridi kabisa.
Huku kwetu Tanzania, wengi hawaendi kanisani labda kwasababu ya ubize na...
kumekua na mafundisho ya jinsi ya kupanga kupata mtoto mwenye jinsia ya kike au kiume,
Mojawapo ya theory kubwa ni ile inayosema mwanaume akikutana na mwanamke kuanzia siku ya 11-13 tangu alipoingia bleed basi kuna uwezekano wa kupata mtoto wa kike,na kama itaanzia siku ya 14-17,basi kuna...
Jamani kuna hii wizara mpya aliyopewa Dorothy Gwajima, inaitwa wizara ya wanawake, jinsia na MAKUNDI MAALU MU.
Je, hayo makundi maalumu yanayowekwa pamoja na wanawake na jinsia ni yapi hayo?
Isije ikawa ni mashoga na wasagaji na waliobadilisha jinsia! Ni vizuri ikawekwa wazi mapema.
Huko...
Sijui kama ni waandishi wetu au ndio mpango ila Maendeleo hayachagui jinsia
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote
KAZI IENDELEE
Rais Samia Suluhu Hassan, anaendelea kutakata na kuitakatisha Tanzania. Amejibu ombi la muda mrefu la watu wengi, kuhusu kuitenganisha Wiazara ya Afya na idara nyingi zilizokuwa chini yake.
Rais amesema sasa Wizara ya Afya itashughulika na Afya pekee, kisha Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na...
Hili swala tunalijadili, tunaona vijana wa kiume wanavyoharibika lakini uneshawahi kifikiria likikitokoea kwa mtoto wako utafanya nini?
Kuna mtu ninamfahamu amepata mental break down baada ya kufahamu kijana wake ana boyfriend.
Mwanachama wa bendi ya afro-pop nchini Kenya Sauti Sol amejitokeza kama mpenzi wa jinsia moja.
Tamko la hadharani la Chimano lilikuja alipokuwa akielezea wazo la wimbo wake mpya, Friday Feeling, ambapo aliwashirikisha wanajamii wa LGBT.
"Hakuna kujificha tena," aliambia vyombo vya habari vya...
Ukatili dhidi ya Mtoto wa kike huwakatisha tamaa maelfu ya mabinti kuzifikia ndoto zao. Eneo la vyuo vikuu ni sehemu hatari zaidi ambako bado hakujatiliwa mkazo unaostahiri.
Serikali ipeleke dawati la jinsia kwa vyuo vyote ili kumsaidia Mtoto wa kike, kwa hali ya sasa anayehusika na kesi zote...
Kuna mabadiliko makubwa sana ya kasi katika tasnia ya mavazi hasa kwa mabrazameni na wadada wa kisasa.
Mavazi yanafanana kwa ukaribu sana kiasi kwamba inanipa tabu kujua jinsia hadi niangalie kifua kama anamaziwa au hana.
Vijana mjitahidi kupunguza kuigana wadada na wakaka. Mnasababisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.