malisak
JF-Expert Member
- Mar 16, 2006
- 694
- 772
Najaribu kuwaza nakosa majibu sahihi, ni kitu gani kinapeleka wanaume kusave wanawake zao majina ya kiume kwenye simu na wanawake pia halikadhalika.
Kwani hata kama mnachepukiana si usave jina lake tu halisi badala ya kuweka majina maalum ya kuonesha uhusiano wenu? kama babe, honey, sweetiee n.k. si msave tu JUMA, JOSE, TINA au MWAJUMA?
Kila nikitafakari nakosa mantiki ya watu kufanya hivyo. Je, siku ukigundua mpenzi wako amekusave tofauti kwenye simu utajisikia na kumuelewaje?