jinsia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Nimeshiriki meza ya Bwana Kanisa Wasabato salasala, wanaume wamewaosha miguu wake zao!, kawaida jinsia moja hutawadhana kama alivyofanya Bwana Yesu

    Wadau hamjamboni nyote? Leo nimeshiriki meza ya Bwana (Lords Supper) kama ilivyoagizwa na Bwana wetu Yesu Kristo kama njia ya kumkumbuka. Hata hivyo nimeshuhudia utaratibu mpya kwenye zoezi la kutawadhana/ kuoshana miguu ambao sijawahi kushuhudia hata siku moja ndani ya Kanisa Kawaida watu...
  2. The Boss

    JamiiForums Tanzania Majina ambayo ni moja ...yanatofautishwa na jinsia za watoto...tuweke list

    Nimeona niweke thread tuweke majina ambayo kiuhalisia ni jina moja. .. tofauti ni jinsia Tu ya mtoto anaepewa.. . Twendeni... Joseph/Josephine . Noel / Noela . Shariff/Shariffa.. Aziz/Aziza
  3. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Wanawake kwenye kuanika mwili huwa hawana uoga kulinganisha na wanaume!

    Hii dhana kwamba wanawake huenda wasiwe na hofu kubwa ya kuwa kuuanika mwili kuliko wanaume inaweza kuathiriwa na mchanganyiko wa mambo ya kijamii, kitamaduni, kisaikolojia, na kibiolojia: Mazingira ya Kitamaduni: Katika tamaduni nyingi, wanawake mara nyingi hufanyiwa ubaguzi au kuhukumiwa...
  4. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Duniani kuliwahi kuwa na jinsia ya tatu ukiacha ya me na ke

    Husika na kichwa cha habari hapo juu Ukisoma maandiko kitabu cha mwanzo kwenye habari za nuhu aliyejenga safina maandiko matakatifu ya biblia yanatumbia kuna malaika walimkosea Mungu wakaja Duniani kwa hali ya kimwili walifahamika kama wanefiri , wanefiri wakavutiwa na wanawake...
  5. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Tukatae ndoa za Jinsia moja - Si utamaduni wetu

    1. Kwa pamoja tukatae ndoa za Jinsia moja. Huu si utamaduni wetu wa-Tanzania, ndugu zangu. 2. Pia, apps zinazohamasisha Ushoga zifungiwe. Hizi apps zimekua msiba Kwa vijana (Hasa wanachuo). 3. NGOs, vituo vya watoto yatima na Sober house zifuatiliwe Kwa karibu. Huko ndo agenda za Ushoga...
  6. Mzee Saliboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KWA JINSIA YA KIKE

    kwenu jinsia ya kike, huwa mnajisikiaje mkiulizwa umri wenu?
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mara nyingi wanawake hawaoini kuna tatizo na huzoeana kama mabesti na gays, hii imechangia sana kundi kubwa la gays kuwa watoto wa single mothers.

    wanawake wengi wanaona hakuna tatizo lolote kwa mwanaume kushiriki ama kuwa na viashiria vya mapenzi ya jinsia moja, kwao huchukulia ni sawa tu.. Tumeshajionea mpaka mitandaoni wanaume wanacheza vigodoro na wanasifiwa sana na wanawake, wanawake hawaoni kuna tatizo lolote. Mwanaume anavaa...
  8. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mwanaume akiwa star anatamani muonekano na hulka za jinsia ya kike

    Shalom, Inakuawaje mwanaume anapojiona ni star katika fani mfano music, football, movie, Djs na etc hutumia muda mwingi kujibrand na muonekano wa kike mfano nywele, hereni, kujichubua, vipini, kusuka nywele na etc. Je, wanajukwaa tatizo ni nini ama chachu yake nini. Ni hayo tu Wadiz
  9. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Njia za uzazi wa mpango kwa jinsia isiyo sahihi (contraceptives for wrong gender)

    Uwajibikaji wa uzazi wa Mpango umeweka mzigo usio sawa kwa wanawake, licha ya ukweli wa kibaolojia kwamba wanaume wana uwezo wa kumfanya mwanamke apate ujauzito. Wanawake huzalisha idadi ndogo ya mayai kwa mwezi, (kwa kawaida moja) wakati wanaume hutoa mamilioni ya manii(Shahawa) kwa kufanya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Dira ya Usawa wa Jinsia na Ulinzi wa Mtoto

    Tanzania iko katika wakati muhimu katika historia yake. Dira hii inaangazia hatua zinazoweza kuchukuliwa ili kutokomeza ubaguzi wa kijinsia, kukomesha ndoa za utotoni, utumikishwaji wa watoto, tohara kwa wanawake na unyanyasaji huku tukikuza elimu na mazingira tegemezi kwa watoto wote. Suluhu...
  11. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Peru yapitisha Sheria kuwa Watu waliobadili jinsia wana Ugonjwa wa Akili

    Serikali ya Peru imetangaza kupitisha Sheria kuwa Watu waliobadili jinsia kuwa wana changamoto ya Ugonjwa wa Akili na kuwa wanastahiki Huduma za Afya ya Akili. Shirika la Kutetea Haki za Binaadamu la Human Rights Watch (HRW) limekosoa uamuzi huo wa Serikali na kueleza kuwa haioni kama watu...
  12. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Papa abananishwa kuhusu wapenzi wa jinsia moja katika interview

    Katika video hii papa anapigwa maswali konki kuhusu kubaliki wapenzi wa jinsia moja, ambapo anasikika akikanusha na kusema ni kinyume cha sheria za kanisa, huku akisisitiza kuwa kubalika mtu mmoja mmoja ni sawa, ila sio kubaliki muunganiko wao
  13. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa IGP Wambura, tafadhali fumua muundo wa Dawati la Jinsia nchini.

    Nianze Kwa kumuunga mkono Mbunge wa Viti maalum Iringa Jesca Msambàtavangu juu wa utendaji wa wizara ya Jinsia na watoto pamoja na Idara zake jinsi zilivyojikita kutetea upande mmoja WA wanawake na watoto wa Kike pekee. Afande IGP, ugonjwa huu umelikumba Kwa kiwango kikubwa Dawati lako la jinsia...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa mwaka 2024/25

    Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imewasilisha Bungeni Bajeti ya Tsh. 67,905,259,000 inayotarajiwa kutumiwa na Wizara hiyo katika kipindi cha mwaka 2024/25 Katika wasilisho lake Bungeni, Waziri Dkt. Doroth Gwajima amesema Tsh. 47,487,079,000 kati ya Fedha hizo...
  15. Idd Ninga

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maboresho ya Dawati la Jinsia ndani ya Idara ya Polisi, litaongeza Usalama kwa Watanzania

    Dawati la Jinsia ni kitengo kinachopambana na Ukatili wa kijinsia na ukatili dhidi ya watoto kilichopo ndani ya Idara ya Polisi Tanzania na kitengo hiki hupatikana katika vituo vingi vya polis hapa nchini. Dawati hili mbali na kushughulika na kesi za Ukatili, lakini pia kimekuwa kikitumika kwa...
  16. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya kujihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja Tanzania ni kifungo cha Miaka 30 Jela

    Akijibu swali Bungeni, leo Mei 6, 2024, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu Mwanaidi Khamis amsema Sheria ya Tanzania ipo wazi kwa wanaokutwa na hatia ya Kushiriki mapenzi ya Jinsia moja. "Kitendo cha kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja ni kosa la jinai...
  17. halfcastmangi

    JamiiForums Tanzania Hivi umewahi add rafiki facebook hasa wa jinsia ya kike na ukakutana na hili?

    Wadau hivi umewahi add rafiki wa kike Facebook kutokana na ile friends suggestions halafu ukaja kushangaa kwenye story pale juu katika profile yako unamuona huyo rafiki kaweka story yenye viashiria vya ngono? Huwa unaendelea naye kama friend au unamtoa fasta? Jana nime mu add dada mmoja, aisee...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania KWELI Juhabahari (Clownfish) wana uwezo wa kujibadilisha jinsia kutokea dume na kuwa jike

    Nimekutana na hii mtandaoni kwamba Clownfish wana uwezo wa kujibadilisha jinsia kutokea dume na kuwa jike. Tusaidieni kuihakiki.
  19. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Hongera Dr Gwajima (Mb) waziri wa jinsia kwa kutatua kero kupitia mitandao usichoke tafadhali

    Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, .......napenda kuchukua nafasi hii kumpa mauwa yake waziri wa jinsia na watoto DR Dorothy Gwajima kwa kutatua kero za mtu mmoja mmoja ikiwemo udhalilishaji au ukatili wa kijinsia na kwa watoto pia. Dr huyu amekuwa akifanya hivi kupitia account yake ya X zamani...
  20. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chanzo cha ongezeko la Kataa Ndoa, feminists wanaharibu kizazi kijacho

    Mafeminists wanawaharibu wanawake kisaikolojia, wanawaaminisha wao ni sawa na wanaume, Kitu ambacho hakiwezekani na hawakuumbwa wawe sawa na wanaume, Kwanza... Mwanammke ameumbiwa utii, hana physical power, yaani mfano hata kazi ngumu au vitu vigumu vitamshinda... Na tofauti nyingine nyingi...
Back
Top Bottom