jinsia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lyaka Mlima Jr

    Maajabu ya Tanzania

    Ni Tanzania pekee ambayo watu wake ni wavivu wa kufikiri na kuwaza, nchi ambayo watu wake wanachagua kiongozi kwa sababu wamehongwa kilo moja ya chumvi halafu wamiwa hawana uhakika wa kupata hela ya mboga na ugali. Nchi ambayo watu wake wanapenda sana uongo kuliko ukweli. Ni nchi ambayo watu...
  2. Erythrocyte

    Jinsia haijawahi kuwa kigezo cha uongozi. Kigezo kikuu ni uwezo wa mtu, waacheni wananchi waamue wenyewe

    Nimeona ni vema jambo hili liwekwe wazi ili kuondoa upotoshaji maana tayari kuna wapotoshaji wameanza kazi yao. Uongozi na hasa uongozi wa Juu kama Urais, unaendeshwa kwa utaratibu uliowekwa ndani ya Katiba ya nchi, hauendeshwi kwa kutumia jinsia, kigezo hicho hakuna, Suruali au dela la mtu...
  3. R

    Urafiki kati ya Jinsia Tofauti

    🔏 Urafiki unawezekana bila ngono? Naomba kuyaweka mezani Maswali Haya: Je, rafiki ni nani? Ili mtu awe rafiki yako mambo gani ni ya msingi kutimia? Je, rafiki wa jinsia iliyop tofauti na yako ana tofauti gani na rafiki wa jinsia yako? Je, kuna uwezekano wowote wa kuwa na urafiki na mtu wa...
  4. G-Mdadisi

    Wanaharakati wapitia Sera ya Jinsia na Ujumuishi ya ZEC

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI- 12, July 2021 Wadau / wanaharakati watetezi wa haki za Wanawake, Vijana na Watoto wamependekeza Tume ya Maadili ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ishirikishe wajumbe wengine kutoka sekta mbali mbali zikiwamo asasi za kiraia ili kuangalia, kujadili, kushauri na...
  5. Miss Zomboko

    Serikali: Kuna kundi kubwa la watoto wenye jinsia mbili, lakini wanafichwa na wazazi na kushindwa kupatiwa matibabu

    MAMLAKA ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), imesema kuna kundi kubwa la watoto wenye jinsia mbili, lakini wanafichwa na wazazi, hivyo kushindwa kupatiwa matibabu. Kutokana na hatua hiyo, jamii imetakiwa kuacha imani potofu na kutumia fursa zilizopo katika mamlaka hiyo, ili watoto...
  6. Kurunzi

    Mapadre wa kikatoliki Ujerumani wanaokaidi maagizo ya Kanisa na Kubariki mahusiano ya wapenzi wa jinsia moja

    Mapadre wa kikatoliki Ujerumani wanaokaidi maagizo ya kanisa na kubariki mahusiano ya wapenzi wa jinsia moja. Baraka hizi hutolewea chini ya kampeni inayosema''mapenzi yanashinda''CHANZO CHA PICHA,EPA-EFE Kanisa katoliki nchini Ujerumani limeendelea kuonyesha kukaidi maagizo ya makao makuu ya...
  7. mr mkiki

    Spika Ndugai: Katiba na sheria hazina jinsia

    Nina maswali machache sana. Kwanini Tulia Ackson alilidanganya Bunge na umma wa Watanzania kuwa ofisi ya Bunge haijapokea barua ya kuwafukuza Uanachama Wabunge wa Covid-19 wakati kiuhalisia waliipokea barua tangu Novemba? Ndugai anaongelea natural justice: Alimfuta Lissu ubunge, alimpa natural...
  8. Mshana Jr

    Pepo la ngono lina jinsia mbili

    Achana na jini mahaba nazungumzia pepo...jini mahaba hutulizana sehemu moja na kwa sehemu kubwa jinsia yake ni kiumeni...kamwe huwezi kukuta jini mahaba lina pepo la ngono... Jini mahaba linachukia uchafu, linachukia jhanaba, linapenda sana usafi, halipendi kuchanganya ama kuchangia penzi na...
Back
Top Bottom