jeshi

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Aliyetoa taarifa juu ya dhuluma ya vitambulisho Zanzibar akamatwa na Polisi

    ZANZIBAR: ALIYELALAMIKIA ZOEZI LA VITAMBULISHO AKAMATWA NA POLISI Mkazi wa Jundamiti Kiwani Kisiwani Pemba, Abdalla Khamis Muhammed (Tuba) anashikiliwa na Polisi Mkoa wa Kusini Pemba kwa madai ya kufanya uchochezi baada ya kudai kitambulisho cha Mzanzibar Mkaazi. Mohammed ni miongoni mwa...
  2. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Adaiwa kumuua mtoto wake na kumzika

    MKAZI wa Kijiji cha Sekedidi, wilayani Kishapu, mkoani Shinyanga, Lucia Mahazi (42), anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kiume wa siku mbili na kisha kumzika, kwa madai ya kutelekezwa na mwanamume aliyempa ujauzito. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari jana...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Magereza yote kuwekwa vifaa vya upekuzi, CCTV

    JESHI la Magereza linakusudia kuongeza vifaa vya upekuzi magerezani na kufunga kamera za usalama za CCTV, ili kubaini vitendo viovu vinavyofanyika ndani ya magereza hayo. Hayo yalisemwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakati ikijibu swali la Mbunge Viti Maalumu, Rukia Kassim Ahmed (CUF)...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lapiga marufuku mikusanyiko kwenye sikukuu ya Eid

    Jeshi la polisi limesema kuwa sikukuu ya Eid el Fitri itasherehekewa huku dunia ikiwa imekumbwa na ugonjwa wa Corona, hivyo wananchi wanatakiwa kuchukua tahadhari. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Msemji wa jeshi la polisi, David Misime imeeleza kuwa jeshi polisi linatoa wito na...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania JESHI la Polisi mkoani Mbeya limeanza kupambana na wanaokaidi maelekezo ya wataalamu wa Afya katika mapambano dhidi ya COVID-19

    Na Thompson Mpanji,Mbeya. JESHI la Polisi mkoani Mbeya limeanza kupambana na wanaokaidi maelekezo ya wataalamu wa Afya katika mapambano dhidi ya COVID-19. Mwandishi wa Habari hizi ameshuhudia Baadhi ya Askari wa Jeshi hilo Kikosi cha Usalama Barabarani katika vituo vya Nane...
  6. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna pikipiki na bajaji zinazotumia umeme wa jua. Hivi askari wa usalama barabarani wana taarifa na pikipiki hizo?

    Katika hali isiyo ya kawaida inasemekana Jeshi la Polisi limelala usingizi wa PONO [samaki huyu hulala usingizi wiki mbili mfulilizo kwenye matumbawe]. Hali hiyo imekuja baada ya uwepo wa PIKIPIKI, VESPER NA BAISKELI za kisasa zenye kutumia umeme wa jua na umeme wa maji ambazo huchajiwa. Swali...
  7. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Vita vya Kagera 1979: Kwanini Jeshi letu lilipitia mipaka ya Sudan badala ya kukatiza hapo kati kufika Kampala?

    Tulizunguka sana. Arua, Kasese, portfot na kwingine kabla ya kufika Kampala. Swali ni kwanini tulizunguka sana badala ya kukatisha tu na kufika hapo kampala na kumtimua huyu nduli?
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Jeshi la polisi lamshikilia mkazi mmoja baada ya kumkuta anamiliki silaha kinyume cha sheria

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linamshikilia Mohamed s/o Kassim miaka 47, mkazi wa Mbagala kwa tuhuma za kumiliki silaha aina fatih 13turukye Pisto yenye No, TZ C.A.R 1053515 ikiwa na magazine yake isiyokua na risasi kinyume cha sheria. Mnamo tarehe 07/04/2020 saa 12:30 jioni...
  9. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Ni kweli CORONA ni hatari tena hatari sana tuunganeni na Amiri jeshi mkuu wetu kwenye hii Vita kila mmoja wetu awe chachu ya Mabadiliko be the change

    Ni kweli tangu nijitambue hapa Duniani kwa kuwa na ufahamu sijawahi kuona hofu kama hii inapamba moto Duniani, inaitisha DUNIA kiasi hiki kweli hofu imetawala lakini lazima tuishinde Nawaombeni vijana wa kitanzania huu si wakati wa kuimba nyimbo za vyama, dini, hadhi au kabila huyu mdudu ni...
  10. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Jeshi moja mara tatu,lipi ni muhimu

    Angalizo napenda kuulizia na kuzungumzia muundo wa majeshi mengi au yote Duniani.Siulizii kwa jeshi la nchi moja tu. Mara nyingi nchi nyingi zina jeshi moja lililogawanyika mara mbili au tatu. je mgawanyiko huu ni lazima? Jeshi la nchi kavu jeshi la angani jeshi la maji je ni lazima kila...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Askari wa kiume wa Jeshi la Magereza Tanzania wakiwa kazini

  12. C

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mambosasa na Jeshi la Polisi wasaidieni wananchi wa Kitunda Nyantila katika wimbi hili la uporaji

    Inasikitisha sana kuona watanzania wenzetu wakiishi maisha ya hofu kana kwamba hawapo nchini mwao, kule Kitunda kuna sehemu inaitwa Nyantila ambapo maduka zaidi ya 20 yamebomolewa na kuibiwa siku tatu zilizopita. Na yakaporwa tena jana, vijana wanapora adharani na wanaogopwa, watu wanakabwa saa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Wanawake kuwa jeshi kubwa la kisiasa haimaanishi kwamba watangulizwe mbele vitani haijulikani na adui atawatanguliza nani mstari wa mbele

    Nakubaliana kabisa na kauli ya mh Mbowe ambaye ni chairman wa Chadema kwamba Wanawake ni jeshi kubwa na ninaamini kabisa mh Mbowe aliitoa kauli hii kwa minajili ya kisiasa. Lakini ni vema wanawake wa Bawacha na wengine wote wakatambua kuwa wao ni jeshi kubwa kwenye mambo ya Hamasa na kupiga...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mpaka sasa Tanzania (Bara&Visiwani) hatuna mgonjwa wa Corona. Nawasihi watanzania kuchukua hadhari

    Rais Magufuli ameishukuru serikali ya Germany kwa msaada walioutoa kujenga karakana hiyo ya kisasa. Pia Rais Magufuli amempa balozi barua maalumu ya shukrani kwa counvillor Mikael wa Germany. Kadharika Rais Magufuli ametumia fursa hiyo kuwataka watanzania wajihadhari na ugonjwa huo hatari. Rais...
  15. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Nalipenda sana Jeshi langu la JWTZ ila nilichokiona jana pale TPDF Golf Club getini kabisa hakikuwa cha kiungwana

    Ilikuwa ni mida ya Saa 5 asubuhi kuelekea Saa 6 mchana ambapo Mzukulu nilikuwa napita zangu ndipo nikashikwa na butwaa hadi Masikitiko makubwa baada ya kuona Kijana (nadhani alikuwa nae ni Askari) akiwa amelazwa chini katika Geti la Kuingilia TPDF Golf Club huku amebebeshwa bonge la chuma na...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lazuia Mkutano wa ndani wa Bavicha Sengerema

    Hii hapa nukuu ya Rais Mstaafu Dr Jakaya Kikwete kwa wanaccm mwaka 2012
  17. Influenza

    JamiiForums Tanzania Misri yamnyonga Afisa wa Jeshi wa zamani aliyeasi na kuongoza Kundi la Waasi la Ansar Bayt al-Maqdis

    Aliyekuwa afisa wa ngazi ya juu katika jeshi la Misri Hisham al-Ashmaw, amenyongwa hii jana baada ya kupewa hukumu hiyo kutokana na kuhusika na mashambulio kadhaa Taarifa ya kunyongwa kwa al-Ashmawy imetolewa na msemaji wa jeshi la nchi hiyo Ashmawy aliyekuwa afisa wa kikosi maalumu cha...
  18. Alexandry Nemesi

    JamiiForums Tanzania Mbowe mbaroni akidaiwa kutoa maneno yanayoashiria uchochezi, kuamsha hisia na chuki dhidi ya Serikali na Polisi. Aachiwa kwa dhamana

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mh.Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi Wilayani Hai mara baada ya kumaliza kuhutubia Mkutano wa hadhani Jimboni Hai Leo. Sababu ya kukamtwa kwake bado haijajulikana. ====== CHADEMA imesema Mwenyekiti wake na Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Mbowe amekamatwa na...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Polisi wakihakikisha Usalama wa katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara

    Polisi wakihakikisha Usalama wa Katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara mapema leo hii. Je, inawezekana kwa Katibu Mkuu wa chama cha upinzani mathalani CHADEMA, John Mnyika kusindikizwa hivi?
  20. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Mapambano dhidi ya nzige: China yaandaa jeshi la bata laki moja (100,000) kukabiliana na nzige Bilioni 4

    Wakati Kenya ikitumiia mabilioni ya shilingi kununua sumu ya kupulizia nzige na kukodi ndege kadhaa, wenzetu China wana wazo lingine kabisa, wao wameamua kuajiri bata laki moja na kuwapeleka eneo la tukio wapambane na nzige. Watu husema China haijawahi kuishiwa mawazo mapya, hii imedhihirisha...
Back
Top Bottom