Hivi ni kweli Palestina hawana Jeshi?

Black BackUp

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
631
1,000
Hellow,

Wakuu naomba kujuzwa kuhusu habari hii tajwa hapo juu ama kama kuna threads ilishawai kuzungumzia Palestina pamoja army power yake tafadhali.

Kuna mahala nilisikia kwamba Palestina hawana Jeshi zaidi ya Jeshi la Polisi pamoja na intelligence na kitengo cha kumlinda Rais.

Wajuzi wa Mambo naomba mtiririke

Karibuni
 

Vladmir Putina

JF-Expert Member
Jun 20, 2020
723
1,000
Kwanza kabisa lazma ujue kuwa kwa sasa palestina siyo nchi, bali ndiyo inapigania kwenye umoja wa mataifa ili ipewe title ama kutambuliwa kama nchi

Ndiyo maana kwa sasa huitwa "Mamlaka ya palestina" na siyo "nchi ya palestina".

Nchi yao walishanyang'anywa na wayahudi (Israel) tangu tar 14 mwezi May mwaka 1948 (siku ambayo israel ilijitangazia uhuru wao kam taifa rasmi).

Kwa hiyo, kwa sasa jeshi rasmi yaani (national army) hakuna.

Ila tu kuna kikundi cha wapiganaji cha "Hamasi" ndo hutumika kama jeshi la palestina ambapo kikundi hcho cha wapalestina cha hamasi hutazamwa na israel kama kundi la kigaidi maana huwalenga wayahudi.
 

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
28,844
2,000
Kwanza kabisa lazma ujue kuw kwa sasa palestina cyo nchi, bali ndo inapigania kwenye umoja wa mataifa ili ipewe title ama kutambuliwa kama nchi, ndo maan kwa sasa huitwa "Mamlaka ya palestina" na c "nchi yq palestina, nchi yao walishanyangwanywa na wayahudi (Israel) tangu tar 14 mwez may mwaka 1948 (cku ambayo israel ilijitangazia uhuru wao kam taifa rasm).kwa hiyo sasa kwa sasa jeshi rasmi yaani national army hakuna ila tu kikundi cha wapiganajia cha H
"Hamasi" ndo hutumika kama jesh la palestina ambapo kikundi hcho cha wapalestin cha hamasi hutazamwa na israel kam kund la kigaidi maan huwalenga wayahudi
Mkuu.
Umejibu hoja vizuri sana
 

BabuMwerevu

JF-Expert Member
Feb 11, 2017
908
1,000
Nakumbuka kuna kitu kilikuwa kinaitwa -PLA-Palestine Liberation Army kikiwa sambamba na PLO kiliishia wapi kama hawana jeshi
 

smaki

JF-Expert Member
Jan 23, 2019
2,422
2,000
Nakumbuka kuna kitu kilikuwa kinaitwa -PLA-Palestine Liberation Army kikiwa sambamba na PLO kiliishia wapi kama hawana jeshi
cha George Habash. Na rafkiye Wadi hadaddi? Kilinyongwa kitaalamu sana kile na wa mwisho kunyongwa

yuko gerezani anapumulia mashine huenda kesha kufa.simsikii siku hizi.Watanzania wengi walijiunga wakaishia kukaa huko huko! Hata sirikali haiwadai kurudi.

Wapalestina walidhurumu na wao wanadhurumiwa. Hawa wa sasa wanatunza kumbukumbu za kibiblia lkn wapalestina walibomoa eti waliita ni kufruu!
Sasa wanafutika
 

Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
37,420
2,000
Palestine ina maana nyingi,,maana inajumuisha hadi israel,kwani kabla ya 1948 iliijulikana kama palestine ikiwa chini ya udhamini wa Uingereza,,yaani umoja wa mataifa baada ya vita vya pili vya dunia iliipa uingereza kwa niaba yake ili kuitawala kabla ya kupata uhuru,
So raia wa wa palestine wenye asili ya kiyahudi(palestine jews? Wakaanzisha mapambano ya kujitenga na hatimae kujitangazia uhuru 1948, ndiposa pakaweko na israel ndani ya eneo la palestine,
Hii ilipelekea waarabu waliokuwa wakiishi maeneo hayo wajulikane rasmi sasa kama wapalestine,yaani wakazi wa palestine,
Palestiner ya leo imegawika sehemu kuu 2,
Western bank na gaza,,
Western bank wana jeshi la polis,,
Gaza wana jeshi lao la Hamas,
Wapalestine wa israel,walioko miji ya jerusalem,nazaret,bethelehem wanajulikana kama israel arabs
 

Proved

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,279
2,000
Palestine ina maana nyingi,,maana inajumuisha hadi israel,kwani kabla ya 1948 iliijulikana kama palestine ikiwa chini ya udhamini wa Uingereza,,yaani umoja wa mataifa baada ya vita vya pili vya dunia iliipa uingereza kwa niaba yake ili kuitawala kabla ya kupata uhuru,
So raia wa wa palestine wenye asili ya kiyahudi(palestine jews? Wakaanzisha mapambano ya kujitenga na hatimae kujitangazia uhuru 1948, ndiposa pakaweko na israel ndani ya eneo la palestine,
Hii ilipelekea waarabu waliokuwa wakiishi maeneo hayo wajulikane rasmi sasa kama wapalestine,yaani wakazi wa palestine,
Palestiner ya leo imegawika sehemu kuu 2,
Western bank na gaza,,
Western bank wana jeshi la polis,,
Gaza wana jeshi lao la Hamas,
Wapalestine wa israel,walioko miji ya jerusalem,nazaret,bethelehem wanajulikana kama israel arabs
Sasa mbona wanataka kuwepo mataifa mawili hapo yaani taifa la Israel na taifa la Palestina?

Ina maana hawa jamaa (Palestina) sio taifa?
 

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
2,824
2,000
Ndo mana Ina raisi
Sio nchi Palestine na Wala Haina jeshi.
Eneo wanaloishi wapalestina linaitwa West Bank ambalo Israel wametandaza majeshi yao kila mahali
Eneo hilo lina utawala wake unaoitwa Palestinian authority (PA) ambayo ni kama serikali lakini haina nguvu.

Pia wapo Wapalestina wanaoishi Gaza ambao kundi linaloongoza eneo Hilo ni Hamas
 

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
2,824
2,000
Kwanza kabisa lazma ujue kuw kwa sasa palestina cyo nchi, bali ndo inapigania kwenye umoja wa mataifa ili ipewe title ama kutambuliwa kama nchi, ndo maan kwa sasa huitwa "Mamlaka ya palestina" na c "nchi yq palestina, nchi yao walishanyangwanywa na wayahudi (Israel) tangu tar 14 mwez may mwaka 1948 (cku ambayo israel ilijitangazia uhuru wao kam taifa rasm).

Kwahiyo sasa kwa sasa jeshi rasmi yaani national army hakuna ila tu kikundi cha wapiganajia cha "Hamasi" ndo hutumika kama jesh la palestina ambapo kikundi hcho cha wapalestin cha hamasi hutazamwa na israel kam kund la kigaidi maan huwalenga wayahudi.
Hamas wapo Gaza tu mkuu, eneo kubwa la West Bank ambalo ndio Lina Wapalestina wengi hao Hamas hawana mamlaka
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom