Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,568
- 5,674
Sijajua kama nimeweka huu uzi katika jukwaa sahihi ila ninaamini kabisa kwamba kuna Maofisa ambao wanapita humu ambao wanao uwezo wa kuliweka hili mezani na kulijadili kwa kina kwa kuzingatia mazingira yanvyobadilika.
Kumeibuka aina mbalimbali za uhalifu kama vile Cyber Crimes na pia kumekuwa na tuhuma pia za Chemical warfare and Biological Warfare. Katika hilo tumeona mengi yakitokea ikiwamo kushambuliwa au kudukuliwa kwa mifumo ya serikali, kutengenezwa kwa virusi hatara kama COVID 19 na attacks kama hizo.
Hii ina maana kwamba dunia imebadilika, kama ambavyo zamani sisi tulizoea vita za Mapanga na Mashoka na wenzetu wakaja na Bunduki na Mabomu tutambue kwamba sasa Nature ya vita inaenda ikabadilika. Mambo ya Drone Warfare, Chemical and Biological Weapon na Cyber Warfare ni mambo ambayo tayari yapo duniani na kama taifa lazima tuanze kujipanga kaika hili.
Maoni yangu binafsi ni kuundwa kwa Technological Warfare Command ambayo itahusika na kulinda taifa letu dhidi ya Technological Attacks kama Vile Cybe Attacks, Chemical Attacks etc na pia kufanya tafiti kwa ajili ya kufanya similar attacks kwa maadui zetu.
Kama ambavyo pesa zinatumika kuwalisha maafisa na kuwakimbiza mchaka mchaka kila siku asubuhi nafikiri inaweza tengwa Pesa kwa ajili ya kuwawezesha hawa Askari wetu waweze kujifunza kuhusu Technological Warfare na kufanya Tafiti kuhusu Technological Warfare. Baadhi ya mambo watakayogundua kama yana tija kwa taifa yanaweza achiwa kutumia katika matumizi ya RAIA.
Ni fikra zangu kwamba wazo hili litatazamwa kwa miwani ya kijeshi na mabadiliko yanayoendelea dunia