jeshi

  1. 6 Pack

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jeshi la Kenya dhidi ya M23: Je, Kenya itaweza kufanya kile ilichofanya Tanzania mwaka 2013?

    Inakuaje brothers and sisters, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Leo ndio siku ya mwisho waliopewa waasi wa Congo ili kusalimisha silaha zao kwa serikali, kinyume na hapo hatua kali za kijeshi zitachukuliwa kwa kundi lolote la waasi ambalo limekaidi amri hiyo. Na oparation hiyo...
  2. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto aweka wazi kwamba jeshi la EAC litalazimisha amani ya kudumu DRC

    Hamna haja ya kuendelea kuzungushana DRC, muda umefika wa kulazimisha amani, hutaki sepa.... Na ukizingua unakumbana na mkung'uto.. Kenyan President William Ruto on Monday said the East African Community (EAC) troops deployed in the Democratic Republic of Congo would ‘enforce peace’, not ‘keep’...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Utoaji wa hewa chafu wa jeshi la Marekani wachangia mabadiliko ya tabianchi duniani

    Mkutano wa 27 wa Nchi Wanachama wa Makubaliano ya Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi unafanyika nchini Misri, na pande mbalimbali zinajadiliana jinsi ya kukabiliana na changamoto zinaozidi kuongezeka za mabadiliko ya tabianchi duniani. Nje ya mkutano huo, utoaji wa hewa chafu wa...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Marekani lakamata meli ya Iran iliyosheheni mabomu

    Inapaswa tuwe na mbabe mmoja tu basi... The U.S. Fifth Fleet has indicated in a statement that the 'USS The Sullivans' and a Coast Guard ship intercepted the vessel during the day on November 8 "while transiting international waters". Thus, it has indicated that another U.S. ship and bomb...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ikungi Walipwa Fidia na Jeshi Milioni 243.7

    IKUNGI WALIPWA FIDIA NA JESHI MILIONI 243.7 Serikali kupitia wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa imetoa fidia ya fedha kiasi cha shilingi milioni 243.7 kwa ajili ya wananchi 160 wa vijiji vya choda na mkiwa wilaya ya Ikungi Akizungumza wakati wa kikao cha utoaji wa taarifa za mapokezi...
  6. Chikenpox

    JamiiForums Tanzania Tataizo la jeshi letu siasa zimekuwa nyingi na pia wanaenda wasomi waliofaulu vizuri ambapo wanasaka vyeo tu

    Jeshi letu ni full starehe tu na kuchukua wake za watu. Ndo mana hata mzazi anafurahi sana mwanae anapochaguliwa kwenda jeshi siku hizi. Zamani kazi ya jeshi kila mtu alikuwa aniogopa na ukichaguliwa huko watu wanakusikitikia lakini siku hizi ni kinyume chake. Imagine mtu ana div one tena PCB...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kijana aajiriwe sawa, Je, Jeshi la uokozi waende wapi?

    Unajiuliza, huyu kijana anayepewa ajira kwenye Jeshi la wanamaji, Jana asingekuwepo kungetokea nini ili hali jeshi la uokozi lipo tu tangu nchi ipate Uhuru! Kwa nini wasifukuzwe kazi kwanza hao waliokuwepo Jana na kazi ilikuwa ni yao?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kijana aliyeongoza Uokoaji atafutiwe nafasi Jeshi la uokozi

    Ni agizo kutoka kwa Rais Samia, Amiri Jeshi Mkuu, ameagiza Waziri wa Mambo ya Ndani Masauni kuanza mchakato wa ajira ya huyo kijana mara moja. Kijana huyu ndiyo alizamia na kwenda kufungua mlango wa ndege na hatimaye abiria 24 wa Precision Air iliyozama kuokolewa. Source: TBC ====== Waziri...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Jeshi la nchi Moja ni Goi Goi katika Kukabiliana na Majanga je, litaweza Kupambana na Jeshi lenye Uweledi na Uzalendo la Rwanda?

    Ujumbe wangu muhimu kwa hilo Jeshi ( nimelisahau ) kwa sasa ni kwamba liachane na Kujimwambafai kwa kufanya Mazoezi ya Ardhi na Anga Ili Kuitisha Rwanda ya Shujaa Rais Paul Kagame. Na pia niwaombe Wakufunzi wa Makomandoo wa hilo Jeshi ( nililolisahau kwa sasa ) kuwa liachane na Utoto wa kila...
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Jeshi la Wananchi lifanyiwe Maboresho makubwa upande wa Kamandi ya Wanamaji

    Kipindi cha Majanga ndicho kipindi sahihi zaidi cha kupima uwezo wa jeshi husika katika ubora na vifaa Zimetokea ajali nyingi za maji hapa Tanzania kuanzia Mv Bukoba, Vivuko Kigamboni, Zanzibar , Mwanza na sasa imetokea ajali ya ndege ziwani Bukoba Napenda tu kusema tuna jeshi la maji lisilo...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Jeshi la wapiganaji limezidiwa vibaya mno, tunakoelekea litampa adui mgongo.

    Kwema Wakuu! Tathmini yangu inaniambia katika mapambano yanayoendelea Jeshi la wapiganaji limepigwa vibaya mno na Kama Hali itaendelea hivi basi wapiganaji watamuachia Adui Yao mgongo. Kuna namna nyingi ya kupigana na adui yako lakini namna nzuri zaidi ni kumpiga kiongozi Mkuu, huyo...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Zimamoto lakanusha Ndege ya Precision Air kuangushwa kwa ajili ya mazoezi

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kutoka Mkoa wa Kagera limethibitisha kuwa Ndege ya Shirika la Precision Air imepata ajali na kuanguka kwenye Ziwa Victoria wakati ikijaribu kutua na tukio hilo ni kweli. Zimamoto zimekanusha taarifa za uvumi kuwa ndege hiyo imeangushwa kwa majaribio ya mazoezi ya...
  13. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Kwanini jeshi la Kenya linajiunga na mzozo wa DRC

    Zaidi ya watu 100,000 wamekimbia makazi yao na makumi ya wengine wameuawa baada ya mapigano kuzuka kati ya wanajeshi wa Jamhuriya Kidemokrasia yaCongo na kundi la waasi wa M23, katika moja ya migogoro mirefu na mbaya zaidi duniani. Sasa, vikosi vya Kenya vinajiunga na vita kusaidia jeshi la...
  14. 5

    JamiiForums Tanzania Ndege 8 za Shaheed zaangushwa na jeshi la Ukraine

    Mkuu wa jimbo la Dnepropetrovsk Valentin Reznichenko amesema kwamba, mifumo ya kulinda anga ya Ukraine iliangusha ndege nane zisizo na rubani za shaheed , katika jimbo la Dnepropetrovsk . Kulingana na Reznichenko, zote ziliangushwa katika eneo la Nikopol.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa alipongeza Jeshi kwa zoezi la Dragon Fly

    WAZIRI BASHUNGWA ALIPONGEZA JESHI KWA ZOEZI LA DRAGON FLY Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Bashungwa Mb) amepongeza mafanikio Zoezi la Kamandi ya Jeshi la Anga lijulikanalo kama ‘Dragonfly’ linalofanyika eneo la Mitwero mkoani Lindi. Ameyasema hayo wakati...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Mauaji ya wakulima na wafugaji, IGP Wambura aagiza askari wapishe uchunguzi

    IGP Camillus Wambura ametoa maagizo hayo kutokana na watu wawili kuuawa kwa silaha za moto na wawili kujeruhiwa wakati Polisi wakizuia vurugu Kijiji cha Ikwambi Kata ya Mofu, Wilaya ya Kilombero, Oktoba 23, 2022. IGP Wambura amesema “Nimeunda Tume Huru kuchunguza vurugu zinazotokea, lengo kujua...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kujiunga na kazi ya jeshi

    Habari za kazi wapendwa... Mimi ni binti nna umri wa miaka 24 Elimu yangu nina Degree ya maendeleo ya jamii. Natamani kujiunga na jeshi kwasababu napenda kua mwanajeshi sana Kabla sijajiunga nna hofu kutokana na story za mitaani kuhusu kazi au mafunzo ya jeshi kuwa magumu wengine wanasema...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Ukraine limekwama tena, waomba silaha

    Katika hotuba yake ya usiku wa kuamkila leo raisi Zelensky amesema jeshi lake liko kwenye mapambano makali karibu na njia za kuelekea Sloviansk na Kramatosk eneo la Bakhmut, ambalo ni jimbo la viwanda la Donbas. Kabla ya tangazo hilo hapo juzi askari hao wa Zelensky walikuwa wakilalamika...
  19. 5

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Ukraine sasa waingia Luhansky kwa mara kwanza tokea Urusi avamie

    Hizi ndio miongoni mwa habari za leo Majeshi ya Ukrean waingia Luhansk kukomboa kwa mara ya kwanza toka Urusi ivamie nchi hiyo. Itakumbukwa juzi Jumamosi walichukua Mji wa Lyman ambao ndio Hub ya usafiri Russia walikuwa wanautumia kupitisha vifaa vyao mbali mbali kwa ajili ya vita, silaha...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa alivyoanza kazi Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Lugha Bashungwa ameripoti rasmi Wizarani na kulakiwa na Watumishi wa Wizara, wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara, Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe. Mapokezi hayo yamefanyika tarehe 04 Oktoba, 2022, mbele ya Jengo Kuu eneo la Mtumba. Mara baada ya...
Back
Top Bottom