Jeshi la Ukraine sasa waingia Luhansky kwa mara kwanza tokea Urusi avamie

5525

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
5,412
6,273
Hizi ndio miongoni mwa habari za leo Majeshi ya Ukrean waingia Luhansk kukomboa kwa mara ya kwanza toka Urusi ivamie nchi hiyo.

Itakumbukwa juzi Jumamosi walichukua Mji wa Lyman ambao ndio Hub ya usafiri Russia walikuwa wanautumia kupitisha vifaa vyao mbali mbali kwa ajili ya vita, silaha, mafuta kwa ajili ya operation nk

6DF8B38E-C7A7-4C87-A575-ED65DD4CCFF8.jpeg
 
Ile Kura iliyopigwa ya kujiunga na Russia inasaidia nini?

Kwa mtanzamo wangu naona Putin kajipiga kitanzi mwenyewe Kwa kuivamia Ukraine Kwanza amepoteza wanajeshi wengi,silaha,ndege za kivita na pesa nyingi kwenye vita hii isiyo na faida kwake.

wananchi wake wamekimbia Russia Hali ya uchumi imeshuka na biashara nyingi hazifanyiki yaani Kwa kifupi ni kama Putin amechanganyikiwa hivi.
 
Safi Sana, tusubiri tuone dikteta akiitetea ardhi yake mpya ya Luhansk....Slava Ukraine....
1954 lee van cliff dudus
Hizi ndio miongoni mwa habari za leo Majeshi ya Ukrean waingia Luhansk kukomboa kwa mara ya kwanza toka Urusi ivamie nchi hiyo.

Itakumbukwa juzi Jumamosi walichukua Mji wa Lyman ambao ndio Hub ya usafiri Russia walikuwa wanautumia kupitisha vifaa vyao mbali mbali kwa ajili ya vita, silaha, mafuta kwa ajili ya operation nk

View attachment 2378439
MK254 Frank Wanjiru T14 Armata
 
Ile Kura iliyopigwa ya kujiunga na Russia inasaidia nini...
Jeshi la Mrusi bado hawajaingia vitamins na Al Massod ya Israel wamethibitisha hayo wanao pigana ni wale wafuasi wake kule Ukraine dalili hii hapa na si Al mossad Peke yake wanasema hayo pia kuna nchi za Europe zimekiri hayo
 
Na bado ,kipondo kinatembezwa Tu , Kwani hao waliopo Ukraine sio wanajeshi WA Russia ?
dogo zele anawapelekea moto balaaaa
 
Back
Top Bottom