jeshi

  1. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Kwanini jeshi la Kenya linajiunga na mzozo wa DRC

    Zaidi ya watu 100,000 wamekimbia makazi yao na makumi ya wengine wameuawa baada ya mapigano kuzuka kati ya wanajeshi wa Jamhuriya Kidemokrasia yaCongo na kundi la waasi wa M23, katika moja ya migogoro mirefu na mbaya zaidi duniani. Sasa, vikosi vya Kenya vinajiunga na vita kusaidia jeshi la...
  2. 5

    JamiiForums Tanzania Ndege 8 za Shaheed zaangushwa na jeshi la Ukraine

    Mkuu wa jimbo la Dnepropetrovsk Valentin Reznichenko amesema kwamba, mifumo ya kulinda anga ya Ukraine iliangusha ndege nane zisizo na rubani za shaheed , katika jimbo la Dnepropetrovsk . Kulingana na Reznichenko, zote ziliangushwa katika eneo la Nikopol.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa alipongeza Jeshi kwa zoezi la Dragon Fly

    WAZIRI BASHUNGWA ALIPONGEZA JESHI KWA ZOEZI LA DRAGON FLY Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Bashungwa Mb) amepongeza mafanikio Zoezi la Kamandi ya Jeshi la Anga lijulikanalo kama ‘Dragonfly’ linalofanyika eneo la Mitwero mkoani Lindi. Ameyasema hayo wakati...
  4. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Mauaji ya wakulima na wafugaji, IGP Wambura aagiza askari wapishe uchunguzi

    IGP Camillus Wambura ametoa maagizo hayo kutokana na watu wawili kuuawa kwa silaha za moto na wawili kujeruhiwa wakati Polisi wakizuia vurugu Kijiji cha Ikwambi Kata ya Mofu, Wilaya ya Kilombero, Oktoba 23, 2022. IGP Wambura amesema “Nimeunda Tume Huru kuchunguza vurugu zinazotokea, lengo kujua...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kujiunga na kazi ya jeshi

    Habari za kazi wapendwa... Mimi ni binti nna umri wa miaka 24 Elimu yangu nina Degree ya maendeleo ya jamii. Natamani kujiunga na jeshi kwasababu napenda kua mwanajeshi sana Kabla sijajiunga nna hofu kutokana na story za mitaani kuhusu kazi au mafunzo ya jeshi kuwa magumu wengine wanasema...
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Ukraine limekwama tena, waomba silaha

    Katika hotuba yake ya usiku wa kuamkila leo raisi Zelensky amesema jeshi lake liko kwenye mapambano makali karibu na njia za kuelekea Sloviansk na Kramatosk eneo la Bakhmut, ambalo ni jimbo la viwanda la Donbas. Kabla ya tangazo hilo hapo juzi askari hao wa Zelensky walikuwa wakilalamika...
  7. 5

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Ukraine sasa waingia Luhansky kwa mara kwanza tokea Urusi avamie

    Hizi ndio miongoni mwa habari za leo Majeshi ya Ukrean waingia Luhansk kukomboa kwa mara ya kwanza toka Urusi ivamie nchi hiyo. Itakumbukwa juzi Jumamosi walichukua Mji wa Lyman ambao ndio Hub ya usafiri Russia walikuwa wanautumia kupitisha vifaa vyao mbali mbali kwa ajili ya vita, silaha...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa alivyoanza kazi Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Lugha Bashungwa ameripoti rasmi Wizarani na kulakiwa na Watumishi wa Wizara, wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara, Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe. Mapokezi hayo yamefanyika tarehe 04 Oktoba, 2022, mbele ya Jengo Kuu eneo la Mtumba. Mara baada ya...
  9. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya imejitosheleza kijeshi kukabiliana na mikwara ya jeshi la Uganda? Can KDF supress the Ugandan forces??

    Hatutaki vita na Wala si jambo jema Kwa stability ya East Africa. Lakini itakuwa vipi ngoma ikivuma sana na mwishowe kupasuka, Kenya itaweza kuuzima mziki wa Uganda ? Naona wazi kabisa huyu kijana wa Mu7 akiachiwa madaraka ananaweza kutesti mitambo. Tanzania walishamalizana nao mpaka leo hii...
  10. ankai

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba ni dhahiri sasa amelewa madaraka. Ni kweli kwamba hajui madhara ya kauli aliyotoa kuhusu kuivamia Kenya?

    Yaaani nimeshindwa kuelewa mshauri wa masuala ya usalama katika nchi analeta utoto kama huu duuh
  11. Obimbo

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Zimamoto na Vibali vya Ujenzi

    Asalam Alekum ndugu zangu, Naombeni ufafanuzi juu ya uhisika wa mamlaka ya Jeshi la Zimamoto katika taratibu za uombaji wa kibali cha ujenzi. Nimekuwa nikisimamia ujenzi katika nyumba ya ibada mahala flani lakini watu hawa wamekuwa hawakauki katika eneo hili huku tukipigwa faini juu ya...
  12. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Takwimu hizi zinamaana gani kwa sera zetu za kijeshi. Tumekua kama Ujerumani?

  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mexico yathibitisha kudukuliwa taarifa za afya za Rais pamoja na Jeshi

    Kundi lililofanya udukuzi kwenye nchi za Amerika Kusini limetajwa tena kuhusika na udukuzi na wizi wa data, ikiwemo taarifa za ya hali ya moyo wa Rais Andres Manuel Lopez Obrador pia yaliibwa. Mexico imethibitisha kwamba ilikumbwa na udukuzi mkubwa wa data zinazotunzwa na jeshi, ikiwa ni pamoja...
  14. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Polisi Iringa yawaua majambazi saba

    Good work 👇
  15. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tuwache lawama juu ya jeshi la polisi. Safisha safisha ya wahalifu wanaotumia silaha hufanyika hivi dunia nzima

    Huko Ufilipino Rodrigo Durtete alitembeza vyuma mpaka uhalifu ukapungua. Huko Nigeria Polisi hawana mswalie Mtume juu ya wahalifu wanaotumia Siraha. Huko South Afrika ukijulikana unatumia Siraha kufanya uhalifu ni chuma tu. Tuwaache polisi wasafishe wahalifu wanaokata watu mapanga, wanapiga...
  16. kyagata

    JamiiForums Tanzania Inawezekana vipi Mtanzania akawa mwanajeshi wa jeshi la Marekani?

    Wakuu, Ebu nifumbueni macho, nahisi huyu cousin wangu ananipiga kamba. Iko hivi, alimaliza form 6 hapa bongo mwaka 2009 akaitwa na dada zake wako huko Texas marekani, lengo alitakiwa akasome chuo huko masuala ya IT. So chuo alimaliza ila hakurudi bongo tena, akawa anafanya kazi kwenye kampuni...
  17. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Mara: Kuuawa kwa majambazi 3 Serengeti, wananchi wawapongeza Polisi

    Wananchi mbalimbali mkoani Mara wamejitokeza kulipongeza Jeshi la Polisi kudhibiti vikali vitendo vya ujambazi ambavyo vilianza kushamiri mkoani humo hivi karibuni. Wananchi hao wameelezea namna vitendo vya uhalifu wa silaha za moto ambavyo hutekelezwa na baadhi ya ndugu na wanafamilia wenzao...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Serengeti: Tabitha Mwise asimulia jinsi Polisi walivyovamia nyumbani na kuvuliwa nguo mbele ya baba yake na kulazimisha afanye naye Mapenzi

    Binti asimulia polisi alivyomvua nguo mbele ya baba yake Serengeti By Beldina Nyakeke Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za ujambazi amesimulia tukio la polisi kuvamia nyumbani kwao kumtia...
  19. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Ukraine laweka hadharani picha ya mwanajeshi wake alitoka matekani Urusi.

    Aiseeh kuna watu wanajua kutesa.
  20. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Tanga: Afisa Upelelezi ashikiliwa na Polisi kwa kudaiwa kuwaachia huru Watuhumiwa wa uhujumu uchumi

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba amesema Afisa Upelelezi Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga anashikiliwa na Polisi kwa kudaiwa kuwaachia huru Watuhumiwa wa uhujumu uchumi waliokamatwa na mali za magendo zenye thamani ya zaidi ya Tsh. Bilioni 1.2. RC Mgumba amesema September 09,2022 akiwa na...
Back
Top Bottom