jeshi

  1. J

    JamiiForums Rais Samia: Kijana aliyeongoza Uokoaji atafutiwe nafasi Jeshi la uokozi

    Ni agizo kutoka kwa Rais Samia, Amiri Jeshi Mkuu, ameagiza Waziri wa Mambo ya Ndani Masauni kuanza mchakato wa ajira ya huyo kijana mara moja. Kijana huyu ndiyo alizamia na kwenda kufungua mlango wa ndege na hatimaye abiria 24 wa Precision Air iliyozama kuokolewa. Source: TBC ====== Waziri...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kama Jeshi la nchi Moja ni Goi Goi katika Kukabiliana na Majanga je, litaweza Kupambana na Jeshi lenye Uweledi na Uzalendo la Rwanda?

    Ujumbe wangu muhimu kwa hilo Jeshi ( nimelisahau ) kwa sasa ni kwamba liachane na Kujimwambafai kwa kufanya Mazoezi ya Ardhi na Anga Ili Kuitisha Rwanda ya Shujaa Rais Paul Kagame. Na pia niwaombe Wakufunzi wa Makomandoo wa hilo Jeshi ( nililolisahau kwa sasa ) kuwa liachane na Utoto wa kila...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Ni wakati sasa Jeshi la Wananchi lifanyiwe Maboresho makubwa upande wa Kamandi ya Wanamaji

    Kipindi cha Majanga ndicho kipindi sahihi zaidi cha kupima uwezo wa jeshi husika katika ubora na vifaa Zimetokea ajali nyingi za maji hapa Tanzania kuanzia Mv Bukoba, Vivuko Kigamboni, Zanzibar , Mwanza na sasa imetokea ajali ya ndege ziwani Bukoba Napenda tu kusema tuna jeshi la maji lisilo...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Jeshi la wapiganaji limezidiwa vibaya mno, tunakoelekea litampa adui mgongo.

    Kwema Wakuu! Tathmini yangu inaniambia katika mapambano yanayoendelea Jeshi la wapiganaji limepigwa vibaya mno na Kama Hali itaendelea hivi basi wapiganaji watamuachia Adui Yao mgongo. Kuna namna nyingi ya kupigana na adui yako lakini namna nzuri zaidi ni kumpiga kiongozi Mkuu, huyo...
  5. BARD AI

    JamiiForums Jeshi la Zimamoto lakanusha Ndege ya Precision Air kuangushwa kwa ajili ya mazoezi

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kutoka Mkoa wa Kagera limethibitisha kuwa Ndege ya Shirika la Precision Air imepata ajali na kuanguka kwenye Ziwa Victoria wakati ikijaribu kutua na tukio hilo ni kweli. Zimamoto zimekanusha taarifa za uvumi kuwa ndege hiyo imeangushwa kwa majaribio ya mazoezi ya...
  6. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Kwanini jeshi la Kenya linajiunga na mzozo wa DRC

    Zaidi ya watu 100,000 wamekimbia makazi yao na makumi ya wengine wameuawa baada ya mapigano kuzuka kati ya wanajeshi wa Jamhuriya Kidemokrasia yaCongo na kundi la waasi wa M23, katika moja ya migogoro mirefu na mbaya zaidi duniani. Sasa, vikosi vya Kenya vinajiunga na vita kusaidia jeshi la...
  7. 5

    JamiiForums Ndege 8 za Shaheed zaangushwa na jeshi la Ukraine

    Mkuu wa jimbo la Dnepropetrovsk Valentin Reznichenko amesema kwamba, mifumo ya kulinda anga ya Ukraine iliangusha ndege nane zisizo na rubani za shaheed , katika jimbo la Dnepropetrovsk . Kulingana na Reznichenko, zote ziliangushwa katika eneo la Nikopol.
  8. J

    JamiiForums Waziri Bashungwa alipongeza Jeshi kwa zoezi la Dragon Fly

    WAZIRI BASHUNGWA ALIPONGEZA JESHI KWA ZOEZI LA DRAGON FLY Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Bashungwa Mb) amepongeza mafanikio Zoezi la Kamandi ya Jeshi la Anga lijulikanalo kama ‘Dragonfly’ linalofanyika eneo la Mitwero mkoani Lindi. Ameyasema hayo wakati...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Morogoro: Mauaji ya wakulima na wafugaji, IGP Wambura aagiza askari wapishe uchunguzi

    IGP Camillus Wambura ametoa maagizo hayo kutokana na watu wawili kuuawa kwa silaha za moto na wawili kujeruhiwa wakati Polisi wakizuia vurugu Kijiji cha Ikwambi Kata ya Mofu, Wilaya ya Kilombero, Oktoba 23, 2022. IGP Wambura amesema “Nimeunda Tume Huru kuchunguza vurugu zinazotokea, lengo kujua...
  10. M

    JamiiForums Naomba ushauri kuhusu kujiunga na kazi ya jeshi

    Habari za kazi wapendwa... Mimi ni binti nna umri wa miaka 24 Elimu yangu nina Degree ya maendeleo ya jamii. Natamani kujiunga na jeshi kwasababu napenda kua mwanajeshi sana Kabla sijajiunga nna hofu kutokana na story za mitaani kuhusu kazi au mafunzo ya jeshi kuwa magumu wengine wanasema...
  11. Webabu

    JamiiForums Jeshi la Ukraine limekwama tena, waomba silaha

    Katika hotuba yake ya usiku wa kuamkila leo raisi Zelensky amesema jeshi lake liko kwenye mapambano makali karibu na njia za kuelekea Sloviansk na Kramatosk eneo la Bakhmut, ambalo ni jimbo la viwanda la Donbas. Kabla ya tangazo hilo hapo juzi askari hao wa Zelensky walikuwa wakilalamika...
  12. 5

    JamiiForums Jeshi la Ukraine sasa waingia Luhansky kwa mara kwanza tokea Urusi avamie

    Hizi ndio miongoni mwa habari za leo Majeshi ya Ukrean waingia Luhansk kukomboa kwa mara ya kwanza toka Urusi ivamie nchi hiyo. Itakumbukwa juzi Jumamosi walichukua Mji wa Lyman ambao ndio Hub ya usafiri Russia walikuwa wanautumia kupitisha vifaa vyao mbali mbali kwa ajili ya vita, silaha...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Waziri Bashungwa alivyoanza kazi Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Lugha Bashungwa ameripoti rasmi Wizarani na kulakiwa na Watumishi wa Wizara, wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara, Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe. Mapokezi hayo yamefanyika tarehe 04 Oktoba, 2022, mbele ya Jengo Kuu eneo la Mtumba. Mara baada ya...
  14. NetMaster

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Kenya imejitosheleza kijeshi kukabiliana na mikwara ya jeshi la Uganda? Can KDF supress the Ugandan forces??

    Hatutaki vita na Wala si jambo jema Kwa stability ya East Africa. Lakini itakuwa vipi ngoma ikivuma sana na mwishowe kupasuka, Kenya itaweza kuuzima mziki wa Uganda ? Naona wazi kabisa huyu kijana wa Mu7 akiachiwa madaraka ananaweza kutesti mitambo. Tanzania walishamalizana nao mpaka leo hii...
  15. ankai

    JamiiForums, JamiiForums Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba ni dhahiri sasa amelewa madaraka. Ni kweli kwamba hajui madhara ya kauli aliyotoa kuhusu kuivamia Kenya?

    Yaaani nimeshindwa kuelewa mshauri wa masuala ya usalama katika nchi analeta utoto kama huu duuh
  16. Obimbo

    JamiiForums Jeshi la Zimamoto na Vibali vya Ujenzi

    Asalam Alekum ndugu zangu, Naombeni ufafanuzi juu ya uhisika wa mamlaka ya Jeshi la Zimamoto katika taratibu za uombaji wa kibali cha ujenzi. Nimekuwa nikisimamia ujenzi katika nyumba ya ibada mahala flani lakini watu hawa wamekuwa hawakauki katika eneo hili huku tukipigwa faini juu ya...
  17. Planet Data bundles

    JamiiForums Takwimu hizi zinamaana gani kwa sera zetu za kijeshi. Tumekua kama Ujerumani?

  18. BARD AI

    JamiiForums Mexico yathibitisha kudukuliwa taarifa za afya za Rais pamoja na Jeshi

    Kundi lililofanya udukuzi kwenye nchi za Amerika Kusini limetajwa tena kuhusika na udukuzi na wizi wa data, ikiwemo taarifa za ya hali ya moyo wa Rais Andres Manuel Lopez Obrador pia yaliibwa. Mexico imethibitisha kwamba ilikumbwa na udukuzi mkubwa wa data zinazotunzwa na jeshi, ikiwa ni pamoja...
  19. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Polisi Iringa yawaua majambazi saba

    Good work 👇
  20. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tuwache lawama juu ya jeshi la polisi. Safisha safisha ya wahalifu wanaotumia silaha hufanyika hivi dunia nzima

    Huko Ufilipino Rodrigo Durtete alitembeza vyuma mpaka uhalifu ukapungua. Huko Nigeria Polisi hawana mswalie Mtume juu ya wahalifu wanaotumia Siraha. Huko South Afrika ukijulikana unatumia Siraha kufanya uhalifu ni chuma tu. Tuwaache polisi wasafishe wahalifu wanaokata watu mapanga, wanapiga...
Back
Top Bottom