Mtoto mkubwa wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni anasema kuwa atastaafu kutoka jeshi mwaka huu, baada ya karibu miongo mitatu ya kuhudumu ndani ya Jeshi.
Muhoozi Kainerugaba, jenerali wa jeshi, alitoa tangazo hilo katika chapisho la Twitter.
"Nitastaafu UPDF mwaka huu," alitweet.
Alitoa tangazo...
Wasaalam wanajamvi naendelea na namna maskari Eli eli, afande zawadi na mgambo ajulikanae kwa jina Samwel wanavyoharibu sifa nzuri ya jeshi la polisi wilayani Bunda.
Huyu mgambo ambaye vijana wa mjini wanamuita "Mundu" wa afande li eli kapewa mamlaka ya kutembea na pingu ambazo amekuwa...
Kwa muda wa majuma matatu tu, imetosha Kwa majeshi ya kikanda kundi la Burundi kuwakimbiza M23.
Ikiwa Awali kundi la Kenya lilianza na kuendesha operation katika maeneo kadhaa kabla ya lile la Burundi kuwasili mnamo March5 2023.
Baada ya kuwasili Kwa vikosi vya Burundi na kuanza operation Sasa...
Irani imefanya mashambulizi ya Drone na Rocket kwenye Kambi za Jeshi la Marekani Usiku wakuamkia leo. Taarifa zinasema Ile mifumo ya Ulinzi wa Anga Ulilala Fofofo.
Dunia Inako Elekea Nipatamu sana
The main air defense system at a coalition military base in northeast Syria was “not fully...
Tume ya Kitaifa ya Haki za Kibinadamu ya Kenya, (KNCHR) imeitaka Serikali kuchunguza Vitendo vya Ukiukwaji wa Haki za Binadamu vilivyofanyw ana Polisi kupitia Uharibifu, Ukamataji, Kujeruhi na Matumizi ya Risasi za Moto dhidi ya Waandamanaji.
Taasisi ya KNCHR inayofadhiliwa na Serikali imesema...
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, SACP David Misime
Akitoa darasa kwa Maafisa Polisi Jamii na Polisi Kata kutoka Kanda Maalum ya Dar es Salaam pamoja na wengine kutoka Kibaha na Mkuranga, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, SACP David Misime amezungumzia utapeli wa mitandao unaofanyika...
Maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) wamemtembelea kiongozi huyo wa kiroho wa Kanisa la New Jerusalem Sect, Eliud Simiyu maarufu ‘Yesu wa Tongaren’ anayeishi Kaunti ya Bungoma ambaye anajinasibu yeye ni Yesu ambaye yupo kwenye mchakato wa kuiokoa Dunia.
Kumekuwa na Wakenya wengi...
Japo kamji kenyewe ka chumvi na hakana maana yoyote, lakini kwa namna Warusi wamejitoa mhanga ili kukateka, imeibua maswali, maana wanajeshi wa Urusi wanapukutika kwa mamia kila siku ila bado wanataka hako kamji, mkuu wa jeshi la nchi kavu amezuru ili kuandaa mikakati ya kuendelea kuua...
Nguvu zilizotumika kulinda wanawake zielekezwe pia kwa watoto wa kiume
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Agnes Marwa amelipongeza jeshi la polisi Mkoa wa Mara kwa kazi nzuri na ushirikiano mkubwa kwa jamii katika kutokomeza Ukatili wa kijinsia kwa Wanawake na watoto Mkoani Mara.
Ameyasema...
Kamishna Hamad alitaja sababu tatu za kutokukubaliana na tendo hilo ndani ya polisi; kinyume cha sheria, maadili na linalomwondolea ukakamavu askari.
Kutokana na mkasa huo, Kamishna Hamad aliyeonekana kukereka nalo, aliiambia Nipashe kwamba ofisi yake ina mpango maalum wa kuwasaka askari wake...
Iran inapumuliwa kote, kwa sasa inafuatiliwa kwa makini, meli yoyote yenye silaha za Iran ni halali ya wababe wa dunia hii....
The British navy seized anti-tank missiles and fins for ballistic missile assemblies during a raid on a small boat heading from Iran likely to Yemen, authorities said...
Vikosi vya Israel vimewauwa Wapalestina tisa, wakiwemo watatu waliojihami kwa silaha, raia watatu, na kuwajeruhi wengine zaidi ya 90, katika Ukingo wa Magharibi.
Watu walioshuhudia na madaktari wamesema kuwa mauaji hayo yamefanyika katika operesheni iliyoendeshwa kwenye eneo tete, lenye...
Kiongozi wa Chechnya ambaye ni kipenzi mkubwa wa Putin amepongeza na kusema kuwa shughuli za jeshi binafsi la Wegner zimemfurahisha hivyo anasema ataanzisha jeshi maka hilo pale atakapotoka madarakani
Chechnya's Kadyrov plans mercenary group, praises Wagner
Story by dw.com • Sunday
248218
The...
Pongezi nyingi ziende kwa wapambanaji wote kuanzia mashabiki, viongozi, benchi la ufundi na wanachama wote wa Dar es Salaam Young Africans kwa ushirikiano mkubwa wa kuisapoti timu yao.
Walistahili ushindi kwakuwa wameupiga mwingi mpaka ukamwagika, Master Nabi ni bingwa wa kumsoma mpinzani na...
==========
Don’t treat homosexuals in our facilities, says Maj Gen Takirwa
The Deputy Commander Land Forces Maj Gen Francis Takirwa has asked health workers to stop treating homosexuals in public health facilities.
Maj Gen Takirwa made the statement on Sunday when the Uganda People’s Defence...
Jeshi la Nigeria limejibu tuhuma hizo zilizotolewa na Chama tawala kuwa kuna mpango wa kuvuruga Uchaguzi wa Urais unatarajiwa kufanyika Februari 25, 2023
Chama cha APC kilidai kuna viongozi wa juu wa Jeshi walikutana kwa siri na mgombea Urais wa Chama Kikuu cha upinzani, PDP, Atiku Abubakar...
Kuna watu tunahoji nini kilimshinda Anthony Mtaka mpaka akahamishiwa Njombe huko kwenye mashamba ya mbao na parachichi, kutoka katika Jiji kuu la kisiasa? . Dodoma ni mahala ambapo angeweza kun'gaa lakini ameporomoka.
Anthony Mtaka anashinda kutwa katika makundi ya wasap ya wanachadema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.