jeshi

  1. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Prof Kitila unataka Jeshi lipindue nchi ndio tujue kuwa Mkataba wa Dp world ni mbovu?

    Impliedly
  2. Chale david

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kozi ipi inafaa kwa Certificate kwa matokeo haya?

    Kozi ipi inamanufaa kwa ngazi Certificate kwa hay matokeo PHYS D CHEM D BIO C GEO C HIST C KISW C CIV D ENG D MATH F
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama katika Mazoezi ya Kawaida Ndege za Jeshi zinaanguka hivi Ziwani je, zikiwa Vitani si zitaanguka zote na Tanzania Kushambuliwa vilivyo na Adui?

    NDEGE ya Jeshi imeanguka Ziwa Victoria mapema leo Julai 20,2023 karibu na Uwanja wa Ndege wa Bukoba.  Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Blasia Chatanda amesema ndege hiyo ya jeshi yenye namba JW 9127, imeanguka wakati marubani wake wawili walipokuwa kwenye mazoezi ya...
  4. X

    JamiiForums Tanzania Ajira jeshi la polisi Tanzania

    Nawasogezea hii vijana , Mpya kabisa . kila la kheri
  5. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza tofauti ya Army Corps na Marine Corps ndani ya jeshi la Marekani

    Kwa wale wadau wa mambo ya medani wanijuze kuhusu hivi vitengo ndani ya jeshi la marekani vina tofauti gani maana kwa ufupi nimeona hata drill instructors wao wakiwa na personalities tofauti. Naomba kuwasilisha kwa wapenzi wa mambo ya jeshi kwenu
  6. R

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Jeshi la Polisi kuwaanika wahalifu kwenye Televisheni kwa nini ulifutwa?

    Miaka ya nyuma jeshi la polisi lilikuwa linawaleta wahalifu mbele ya televisheni. Jambo hili nililipenda sana maana ile ni adhabu tosha kuliko hata kumuweka mhalifu gerezani ambapo Serikali itagharimika kumtunza. Kwa nini utaratibu uliondolewa kwa kisingizio cha kukiukwa haki za binadamu...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lapiga marufuku watu kuvaa nguo zinazofanana na Majeshi ya Ulinzi na Usalama

    Jeshi la Polisi Tanzania limepiga marufuku uvaaji wa nguo zinazofanana na majeshi ya ulinzi na usalama kwa watu binafsi. Atakayekiuka atachukuliwa hatua kali za kisheria kwa kufikishwa mahakamani mara moja.
  8. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linachunguza kifo cha mtu mmoja aliyekutwa ameuawa ndani ya gari

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetangaza kuwa linachunguza tukio la kifo cha mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Felix Josephat Mgeni (47) anayedaiwa kuuawa na mwili wake kukutwa ndani ya gari ukiwa na baadhi ya vitu vingine vya jinsia ya kike. Akizungumza leo SACP Jumanne...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wakili Boniface Mwabukusi aitikia wito wa Jeshi la Polisi, afika kituoni

    Wakili Boniface Mwabukusi ambaye ni mmoja wa mawakili wanaowawakilisha walalamikaji kwenye kesi ya kupinga mkataba wa bandari iliyofunguliwa mkoani Mbeya, ameitikia wito wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya baada ya kuitwa (kwa njia ya simu na maandishi) na polisi siku chache...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vijana waliopita JKT wanapaswa kubeba uzalendo wa Nchi moyoni na sio mdomoni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho va Miaka 60 ya JKT katika Uwanja wa Jamhuri - Dodoma leo terehe 10 Julai, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema vijana wanaopita JKT wanapaswa...
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuongoza Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), yatakayofanyika kesho. Kwa mujibu wa taarifa kwenye maadhimisho kumeandaliwa mambo mbalimbali...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Faida yoyote ya Jeshi lolote la Afrika Kuficha Taarifa za Kuuwawa kwa 'Ambush' kwa Wanajeshi wake

    Majeshi ya Bara la Ulaya, America, Mashariki ya Kati na Mashariki ya mbali huwa hayana Upuuzi wa Kuficha au Kuwaficha Wananchi wa Nchi zao Taarifa za Kuuwawa kwa Wanajeshi wake katika Ambush wakiwa Vitani au katika Misheni za AU au UN. Ila kwa Bara la la Afrika Majeshi yao hupenda sana kuficha...
  13. Lidafo

    JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi jeshi la Magereza na Jamii kwa ujumla zinavyopelekea wafungwa kurudia uhalifu pindi wanapomaliza vifungo vyao

    Tatizo la wahalifu waliohukumiwa wanapomaliza vifungo na kurudi mitaani kisha kuendelea na uhalifu ni moja ya changamoto katika jamii zetu pamoja na kazi nzuri inayofanywa na jeshi la magereza ya kuwarekebisha wafungwa waliohukumiwa ili watoke wakiwa raia wema lakini bado jukumu hili...
  14. JET SALLI

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Trafiki na Polisi wanaotumia pikipiki Sumbawanga wanawatesa wamiliki wa vyombo vya usafiri kwa rushwa iliyokithiri

    Ndugu zangu Watanzania serikali yetu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania inapaswa kutambua kwamba katika majeshi ambayo ni shida na mateso kwa Watanzania hususani wenye vyombo vya usafiri Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani na polisi wanaotumia pikipiki ni tatizo kubwa kwa Watanzania...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ufaransa: Askari wa Jeshi la Rwanda afungwa Jela Maisha kwa mauaji ya Kimbari

    Mahakama ya Paris imemhukumu Askari polisi wa zamani wa jeshi la Rwanda baada ya kumkuta na hatia ya mauaji ya halaiki na uhalifu dhidi ya ubinadamu wakati wa mauaji ya mwaka 1994 nchini mwake na kumhukumu kifungo cha maisha jela. Mahakama ilisema imempata Philippe Hategekimana, 66, na hatia ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

    Wapiganaji wa Wagner waelekea Moscow kuuondoa utawala wa kijeshi unaoongozwa na SERGEI SHOIGRU. Kiongozi wa Wagner anadai kwamba majeshi ya urusi yamekuwa yakishambulia kambi zao nchini UKRAINE. Huu Uzi nitatoa update ya kila kinachoendelea. ===== Update: Maafisa wa Ukraine wasema watatumia...
  17. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kuwapa bandari DP World tumetafakari kuhusu usalama wa nchi yetu?

    Watanzania, Bunge letu, Bandari ni zaidi ya tunavyofikiria. Usidhani kwamba ni kupokea containers za mizigo ya kawaida tu. Yapo mambo mengi mno ya kijasusi ambayo hatujayafanyia upembuzi yakinifu. 1. Asilimia kubwa ya zana zetu za KIVITA hupitia Bandarini. Je, tukiwapa DP kutakuwa Tena na...
  18. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Bandari na Usalama wa Taifa, Rais Samia hujui hata hili?

    Uzi huu hauhusiani na uzi mwingine, ni alert mahsusi kwa Rais Samia. Mh Rais inamaana wewe na wabunge hamfahamu kuwa vifaa vingi vya ulinzi na usalama huingia nchini kupitia bandari? Vipi endapo kampuni itakayopewa kuendesha bandari ikiajiri bila kujua majasusi wa nchi jirani kuwa watumishi...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Orodha ya mataifa yenye jeshi lenye nguvu kubwa duniani

    Mataifa tano yenye jeshi lenye nguvu duniani: 1. USA 2. Israel 3. Russia 4. China 5. India https://healthygeorge.com/trending/a-list-of-the-worlds-strongest-military-powers-strongestmilitaries-misha-gemini-3/38
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Wagner wamkamata mateka mojawapo wa wakuu wa jeshi la Urusi, yanafurahisha

    Vita vyaanza baina ya wanajeshi wa Urusi na wapiganaji wa Wagner, mbwa kala mbwa, yajayo yanafurahisha... The head of the Wagner Group, Yevgeny Prigozhin, has indicated the Russian army has killed some of his mercenaries. In what the British Ministry of Defence (MoD) called a feud of "an...
Back
Top Bottom