jeshi

  1. HERY HERNHO

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel laua Wapalestina 10 huko Ukingo wa Magharibi

    Vikosi vya Israel vimewauwa Wapalestina tisa, wakiwemo watatu waliojihami kwa silaha, raia watatu, na kuwajeruhi wengine zaidi ya 90, katika Ukingo wa Magharibi. Watu walioshuhudia na madaktari wamesema kuwa mauaji hayo yamefanyika katika operesheni iliyoendeshwa kwenye eneo tete, lenye...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kadyrov wa Chechnya ana mpango wa kuanzisha Jeshi binafsi kwa kuwa Wegner wamemkosha

    Kiongozi wa Chechnya ambaye ni kipenzi mkubwa wa Putin amepongeza na kusema kuwa shughuli za jeshi binafsi la Wegner zimemfurahisha hivyo anasema ataanzisha jeshi maka hilo pale atakapotoka madarakani Chechnya's Kadyrov plans mercenary group, praises Wagner Story by dw.com • Sunday 248218 The...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nchi iko kwenye mikono salama, Jeshi la Wananchi limeleta utulivu mkubwa baada ya mtikisiko uliotokea Jumamosi

    Pongezi nyingi ziende kwa wapambanaji wote kuanzia mashabiki, viongozi, benchi la ufundi na wanachama wote wa Dar es Salaam Young Africans kwa ushirikiano mkubwa wa kuisapoti timu yao. Walistahili ushindi kwakuwa wameupiga mwingi mpaka ukamwagika, Master Nabi ni bingwa wa kumsoma mpinzani na...
  4. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Meja Jenerali Francis Takirwa: Msiwatibu mashoga kwenye hospitali zetu za jeshi

    ========== Don’t treat homosexuals in our facilities, says Maj Gen Takirwa The Deputy Commander Land Forces Maj Gen Francis Takirwa has asked health workers to stop treating homosexuals in public health facilities. Maj Gen Takirwa made the statement on Sunday when the Uganda People’s Defence...
  5. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Jeshi lakanusha tuhuma za kufanya mapinduzi kabla ya Uchaguzi Mkuu

    Jeshi la Nigeria limejibu tuhuma hizo zilizotolewa na Chama tawala kuwa kuna mpango wa kuvuruga Uchaguzi wa Urais unatarajiwa kufanyika Februari 25, 2023 Chama cha APC kilidai kuna viongozi wa juu wa Jeshi walikutana kwa siri na mgombea Urais wa Chama Kikuu cha upinzani, PDP, Atiku Abubakar...
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Marafiki wengi wa Anthony Mtaka ni wanachadema, akiacha arrogance (ujivuni/ujuaji) ni kiongozi mzuri

    Kuna watu tunahoji nini kilimshinda Anthony Mtaka mpaka akahamishiwa Njombe huko kwenye mashamba ya mbao na parachichi, kutoka katika Jiji kuu la kisiasa? . Dodoma ni mahala ambapo angeweza kun'gaa lakini ameporomoka. Anthony Mtaka anashinda kutwa katika makundi ya wasap ya wanachadema...
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latoa tahadhari kuhusu ajira za SGR

  8. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hii ni ngome ya underground Yenye uwanja wa ndege chini ya Ardhi ya Jeshi la iran.

    Iran imeonyesha pic picha za Uwanja wa ndege wa chini ya ardhi .
  9. Doctor Ngariba

    JamiiForums Tanzania Kuna nini barabara ya Nyerere daraja la Mfugale?

    Habari za asubuhi waungwana na wapendwa wa Jamii Forums. Bila kupoteza muda, mimi ni mdau na mtumiaji wa barabara ya Mwalimu Nyerere takribani miaka saba sasa. Kuna jambo ambalo kwa siku za hivi karibuni linanikera na naamini wapo pia wengine ambao linawakera nalo si jingine bali ni foleni...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Jeshi la Polisi linaendeshwa Kikoloni ndio maana wanafikiria kupiga na kuonea watu

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema muundo wa jeshi la polisi unapaswa ufumuliwe na sheria ya kuanzishwa kwake irekebishwe ili lilinde raia na haki zao. Lissu alitoa kauli hiyo juzi nyumbani kwake Tegeta, jijini Dar es Salaam, katika mahojiano maalumu na Mwananchi, ambapo alisema...
  11. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Shehena ya silaha za Iran zakamatwa na Jeshi la wanamaji la Ufaransa, zilikuwa zikipelekwa kwa waasi wa houth

    Jeshi la ufaransa limekamata shehena ya kutisha ya silaha zilizokuwa zikielekea kwa waasi wa huthi nchini Yemen. ============================ French forces seize shipment of weapons headed from Iran to Yemen Officials say the seizure happened in January, with the weapons set for Yemen’s Houthi...
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mauaji Uvinza: Afisa Misitu na Askari wa Jeshi la Akiba wauawa wakiwa doria. Serikali ioneshe makucha haraka

    Hello JF Habari za kuaminika toka Uvinza Kigoma kuna mauaji hatari yametokea maafisa misitu na Askari wa jeshi la akiba wameuawa vibaya, wahusika hasa TFS, jeshi la Polisi, Mamlaka ya Wilaya ya Uvinza na Mkoa wa Kigoma tafadhari onesha nguvu ya Serikali. Ni hatari sana ni hatari sana...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Samia: 70% wanalinyooshea kidole jeshi la polisi

    Tumpongeze rais Mama Samia kwa kuwa na ujasiri wa kulisemea hili. Hii ni 180° tofauti na mtangulizi wake aliyekuwa akiwamwagia sifa wasizokuwa nazo kinyume cha matarajio ya wengi. Taasisi isiyokubalika kwa kiwango hiki ni ya nini? Kwanini taasisi hii isivunjwe ikasukwa upya na ikibidi...
  14. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kenya lililopelekwa nchini Congo linatia aibu

    Kwema wakuu, Wengi tulijua tu kwamba jeshi la Kenya halitaweza hata kurusha jiwe kwa kundi hilo la waasi wa M23, kutokana na jeshi hilo kuliogopa vibaya kundi hilo. Sasa hali inazidi kuwa mbaya na kundi hilo linazidi kuteka maeneo mbele ya macho ya jeshi la Kenya huku Wakenya wakiangalia tu...
  15. Mr Putin

    JamiiForums Tanzania M23 wakamata mji FARDC na washirika wak wakimbia

    M23 wakamata mji wa Kishanga tena, Jeshi la Congo na washilika wake FDLR,MAIMAI NYATULA,CODECO,MAIMAI YAKUTUMBA NA WAZUNGU MERCENARIES waliopewa kazi na DRC wakimbia. M23 yatangaza vita rasmi kupambana na hivo Vikosi kwa kuwa wanafanya Mauaji ya kuwalenga Watusi,Hema na wanaozungumza...
  16. NASIRIYA

    JamiiForums Tanzania Marufuku Mtanzania kujiunga Jeshi la nchi nyingine

    Tax apiga marufuku kwa watazania kujiunga na la Jeshi la nchi nyengine. Alisema kwa mujibu wa sheria zao Mtanzania yoyote haruhusiwi kujiunga na Jeshi la nchi yoyote isipokuwa Jeshi la Tanzaia tu na kufanya hivyo kuvunja sheria za nchi. --- SERIKALI: ‘Fuateni sheria na taratibu mkiwa nje ya...
  17. Tanzania Nchi Yetu Sote

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi waongoza msafara wa viongozi wakuu asubuhi hii walipowasili uwanja wa ndege wa Mwanza.

  18. D

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi hivi mnauhakika wale Trafiki pale mwenge (bagamoyo road) wanafanya kazi ya usalama barabarani?

    Nahisi kuna matumizi mabaya ya sare za jeshi la polisi trafiki pale Mwenge mataa, tank bovu, interchik n.k (bagamoyo road) Ukiwatazama utafikili wapo siliazi kabisa kufanya kazi ya jeshi la polisi, wanasimama na vimashine na vikaratasi vyao kukamata madaladala. Kinachonishangaza ni vile wako...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Wagner na jeshi la Urusi waanza kugombania sifa

    Kila upande unasema unapambana wenyewe bila usaidizi. Russia's defence ministry says its forces are taking part in the battle for Soledar, a town north of Bakhmut in east Ukraine which has been the focus of recent fighting. It comes after the head of Russia's notoriously brutal Wagner...
  20. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania M23 waendelea kuachia maeneo kwa jeshi ya EAC

    Hongera EAC kwa kulichukua hili....... Congolese rebels M23 say they will on Thursday pull out of Rumangabo, a military camp in Rutshuru, North Kivu, they had occupied, in adherence to calls for a ceasefire under the regional arrangement. This will become the second occupied territory the...
Back
Top Bottom