JWTZ kuwatesa raia wanaovaa nguo za Jeshi ni ukatili

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,013
12,281
Hivi kwa huu unyama unaotendeka hapa chini hili linafaa liitwe jeshi la Wananchi wa Tanzania au jeshi la Maharamia dhidi ya wananchi wa Tanzania?

CDF haya ndio mafunzo mnaowapa vijana wenu dhidi yetu Watanzania wenzao?

Ni sheria gani ya nchi na hapo jeshini inaruhusu huu upuuzi unaofanywa na hawa makamanda dhidi ya huyu mtu ?

Hivi hawa askari wanatengeza chuki gani kati ya jeshi na wananchi?

Naomba hatua za kisheria zichukuliwe kwa hawa makamanda wote waliofanya huu upuuzi.

 
Low IQ, Majeshi mengi Duniani hufanya IQ testing kabla ya kuajiriwa Jeshini lkn Tanzania hakuna IQ testing matokeo yake ndiyo hayo Una Jeshi ambalo halijui hata jukumu lake ni lipi, hawajui hata kazi yao katika nchi ni ipi wanaishi kuleta ubabe kwa dala dala kwa raia wakati wamekuwa trained kuilinda nchi.

Mimi nimetembea nchi nyingi hata za Kiafrika hata hapo Kenya tu huwezi kuona Mwanajeshi anazurura mjini ukiona Mwanajeshi mjini wako kwenye gari na wana kitu wanafanya wakimaliza wanatokeamea hawana stori na mtu raia, Tanzania kila siku ugomvi na raia wanagombania wanawake, wakitoka mafunzoni wanaingia mtaani kupiga raia ambao walipaswa kuwalinda …
 
Kwahyo kwenye uzi ule hujatosheka umeamua kuanzisha uzi mpya angalia dogo walishatoa katazo na epuka hisia kali kwenye jambo kama hili ambalo wafanye wasifanye ww hautapungukiwa na kitu cha msingi kama una ndugu anashobo na gwanda mwambie akazisotee asivae kizembe atapata tabu sana
 
Back
Top Bottom