DR-Congo: Maafisa wa Jeshi walioagiza Askari kuua Waandamanaji wakamatwa

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
1693913941692.png


Wizara ya Mambo ya Ndani imewataja waliokamatwa ni Mike Mikombe, Mkuu wa Kikosi cha Walinzi na Donat Bawili, Kiongozi wa Jeshi katika mji wa Goma, wote wawili wanadaiwa kuagiza Wanajeshi kuwaua Waandamanaji.

Kwa mujibu wa Ripoti ya Wizara, Vikosi vya Usalama viliingilia maandamano ya Waumini wa Madhehebu ya Dini dhidi ya Walinda Amani wa Kimataifa na kuamsha Vurugu zilizosababisha Watu 43 kuuawa na wengine 56 kujeruhiwa.

Aidha, Umoja wa Mataifa (UN) umeitaka Serikali kufanya uchunguzi huru na wenye uwazi kuhusu mauaji hayo na wahusika wafikishwe kwenye vyombo Haki na Sheria.

=============

Two senior military officials in the Democratic Republic of Congo have been arrested after allegedly ordering that lethal force be used against a banned protest.

The security forces intervened when the demonstration against international peacekeepers went ahead last Wednesday and 43 people were killed and 56 others were injured.

The protesters were from a religious sect and were demanding the withdrawal of UN and East African Community peacekeeping forces.

The officers arrested are Mike Mikombe, head of the Republican Guard in Goma, and Donat Bawili, leader of the military based in the city, according to Interior Minister Peter Kazadi.

It is not clear what charges they will face.

The minister promised that investigations into the killings, which prompted national and international outrage, would be transparent.

BBC/UN
 
Back
Top Bottom