Jeshi la Israel (IDF) lakanusha kuhusika na Shambulio la hospitali huko Gaza

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,866
Jeshi la Israel kupitia ukurasa wao wa mtandao wa X wameweza kukanusha taarifa juu ya shambulio la kombora lililoangukia Hospitali huko mjini Gaza na kuua zaidi ya watu 500 na kujeruhi wengine kadhaa.

Jeshi hilo limesema, shambulio hilo halikufanywa na Israel bali ni kundi la Kigaidi lenye mlengo wa kidini wa kiislamu baada ya kujaribu kurusha kombora kwenda Israel lakini kombora hilo likashindwa kupata muelekeo na kuangukia eneo la hospitali lililokuwa na mamia ya watu wakiwa wamejihifadhi kukwepa Vita huku likiua wengi na kujeruhi wengine.

Screenshot_20231018-093758.jpg

Hata hivyo mpaka sasa hakuna taarifa rasmi ya kukanusha au kukubali iliyotoka upande wa HAMAS juu ya tukio hilo. Jeshi la Israel limekuja na taarifa hiyo ya kukanusha baada ya watu kuanza kutuhumu jeshi hilo la IDF (Israel Defensive Force) kufanya shambulio hilo. Mpaka sasa watu wanasubiri taarifa rasmi kutoka HAMAS juu ya kuhusika na shambulio hilo.
 
Islael inauwa watu hadi muda huu wameua watu 4000 ndani ya siku 30 nusu ya vita ya urusi na ukraine waliua watu 9500 miaka miwili ina maan wakiongeza miez miwili washavuka mgogoro wa Urusi na Ukraine.

Mbaya zaidi islael anaua watoto.

Israel ni taifa la hovyo.
 
Islael inauwa watu hadi muda huu wameua watu 4000 nusu ya vita ya urusi na ukraine ina maan wakiongeza miez miwili washavuka mgogoro wa urusi na ukraine

Islael ni taifa la hovyo.
Vipi kuhusu Hamas walioanza kuua kwa kushambulia raia uraiani na kwenye tamasha la mziki na kuteka nyara wengine. Na kuendeleza mashambulizi. Hao nao hawana makosa, hapa mwenye kosa ni Israel tu?
 
Siyo rahisi hivyo israel ifanye shambulio kama hilo ukizingatia kuna ujio wa biden hapo Tel Aviv, nina wasiwasi kama sio bahati mbaya (misfire) ya Hamas basi kuna uhuni umefanyika kutibua ziara za biden hapo middle east.
True... Uwenda Hamas wali-misfire au kuna propaganda... Lakini HAMAS wamekaa kimya juu ya hili tukio
 
Jeshi la Israel kupitia ukurasa wao wa mtandao wa X wameweza kukanusha taarifa juu ya shambulio la kombora lililoangukia Hospitali huko mjini Gaza na kuua zaidi ya watu 500 na kujeruhi wengine kadhaa.

Jeshi hilo limesema, shambulio hilo halikufanywa na Israel bali ni kundi la Kigaidi lenye mlengo wa kidini wa kiislamu baada ya kujaribu kurusha kombora kwenda Israel lakini kombora hilo likashindwa kupata muelekeo na kuangukia eneo la hospitali lililokuwa na mamia ya watu wakiwa wamejihifadhi kukwepa Vita huku likiua wengi na kujeruhi wengine.

View attachment 2785118

Hata hivyo mpaka sasa hakuna taarifa rasmi ya kukanusha au kukubali iliyotoka upande wa HAMAS juu ya tukio hilo. Jeshi la Israel limekuja na taarifa hiyo ya kukanusha baada ya watu kuanza kutuhumu jeshi hilo la IDF (Israel Defensive Force) kufanya shambulio hilo. Mpaka sasa watu wanasubiri taarifa rasmi kutoka HAMAS juu ya kuhusika na shambulio hilo.
HAMAS wanafurahishwa na huu uchochezi kwa hiyo hata kama ni kweli wao ndo wamehusika hawatoweza kukubali
ili tu Israel aonekane mbaya
 
Siyo rahisi hivyo israel ifanye shambulio kama hilo ukizingatia kuna ujio wa Biden hapo Tel Aviv, nina wasiwasi kama sio bahati mbaya (misfire) ya Hamas basi kuna uhuni umefanyika kutibua ziara za biden hapo middle east.
Wamefanya,waliweka na video huko x kuisingizia Islamic jihad,baada ya mchambuzi wa video wa CNN kusema video si ya kweli, waisrael wakashusha video wamebakiza maandishi, roketi moja la kipalestina haliwezi ua watu 500 na kubomoa hospital completely,na kabla walipost video ya shambulio Hilo la ndege wakijisifia,wakaiondoa baada ya kupata matokeo ardhini
 
Naona mpaka nyinyi wenyewe mmeanza kuona aibu kwa mambo ya hovyo yanayo fanywa na taifa lenu teule.

Hamas imetoa wapi silaha zenye uwezo wa kuuwa watu wengi kiasi hicho?
 
Uwezo wa roketi kuua watu 500 hai justify muhusika ni nani, hizo silaha za Hamas unafahamu zinakotokea?
 
Jeshi la Israel kupitia ukurasa wao wa mtandao wa X wameweza kukanusha taarifa juu ya shambulio la kombora lililoangukia Hospitali huko mjini Gaza na kuua zaidi ya watu 500 na kujeruhi wengine kadhaa.

Jeshi hilo limesema, shambulio hilo halikufanywa na Israel bali ni kundi la Kigaidi lenye mlengo wa kidini wa kiislamu baada ya kujaribu kurusha kombora kwenda Israel lakini kombora hilo likashindwa kupata muelekeo na kuangukia eneo la hospitali lililokuwa na mamia ya watu wakiwa wamejihifadhi kukwepa Vita huku likiua wengi na kujeruhi wengine.

View attachment 2785118

Hata hivyo mpaka sasa hakuna taarifa rasmi ya kukanusha au kukubali iliyotoka upande wa HAMAS juu ya tukio hilo. Jeshi la Israel limekuja na taarifa hiyo ya kukanusha baada ya watu kuanza kutuhumu jeshi hilo la IDF (Israel Defensive Force) kufanya shambulio hilo. Mpaka sasa watu wanasubiri taarifa rasmi kutoka HAMAS juu ya kuhusika na shambulio hilo.
Kuhusu hili ni IDF wamehusika na msemaji wao alitweet, baada ya mda mfupi akaifuta tweet.

Source:Al jazeera.
 
Hili ni swali la kijinga sana ulilouliza... Silaha ziko sehemu nyingi sana Duniani, kupata silaha sio shida... Al-shabab tu hapo wanapata Silaha, Sembuse Hamas ambao wanasapotiwa na IRAN na nchi zote za uarabuni.

Sio swali la kijinga islael anawaua sana wapalestina ni vile tu swahiba wake marekan vinginevyo ingekuwa story tofauti hizo siraha zote ni za islael wanaogopa na kuona aibu wanatengeneza script waonekane ni hamas
 
Naona mpaka nyinyi wenyewe mmeanza kuona aibu kwa mambo ya hovyo yanayo fanywa na taifa lenu teule.

Hamas imetoa wapi silaha zenye uwezo wa kuuwa watu wengi kiasi hicho?
Wewe ni mwana Hamas na unafahamu wanakozitoa hizo silaha.
 
Back
Top Bottom