Hamas warudisha nyuma jaribio la mwanzo la jeshi la Israel kuingia Gaza kwa miguu

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,183
10,920
Muda mfupi uliopita wanamgambo wa Hamas wamesema wamefanikiwa kuvirudisha nyuma vikosi vya jeshi la Israel vilivyojaribu kuingia kwenye ngome zao.
Wanamgambo hao wamesema waliwarejesha nyuma askari hao wenye mafunzo na vifaa imara pale walipoingia kuanza kuziba uzio waliouvunja wiki iliyopita na kubaki wazi muda wote wa karibu wiki mbili.Shambulio hilo la IDF kwa mujibu wa Hamas lilifanyika kwenye eneo la Khani Yunus.
Kwa mujibu wa wasemaji wa IDF huo ulikuwa ni mtego uliotegwa kwao na walifanikiwa kurudi nyuma haraka.

Israel-Hamas war: Air strikes pound Gaza, Hamas says repelled ground attack

1697993263451.png
 
Wavaa nepi hawawezi vita nchi yao haiwezi vita zaidi.

Uchumi wao umeanguka vibaya sana hata America apeleke mabillion hawawezi kurudisha hasara walio pata na wakiendelea week mbili na hi vita, wengine tutawafanyisha makazi kwenye mashamba hapo kigamboni 😂
 
Sijakuelewa wavaa nepi ndio akina nani?
 
Muda mfupi uliopita wanamgambo wa Hamas wamesema wamefanikiwa kuvirudisha nyuma vikosi vya jeshi la Israel vilivyojaribu kuingia kwenye ngome zao.
Wanamgambo hao wamesema waliwarejesha nyuma askari hao wenye mafunzo na vifaa imara pale walipoingia kuanza kuziba uzio waliouvunja wiki iliyopita na kubaki wazi muda wote wa karibu wiki mbili.Shambulio hilo la IDF kwa mujibu wa Hamas lilifanyika kwenye eneo la Khani Yunus.
Kwa mujibu wa wasemaji wa IDF huo ulikuwa ni mtego uliotegwa kwao na walifanikiwa kurudi nyuma haraka.

Israel-Hamas war: Air strikes pound Gaza, Hamas says repelled ground attack

Hapo zijaelewa , uzio wanaziba wakiwa ndani ya Gaza au wakiwa ndani ya Israel? Sawa kama waliokwenda kuziba wakashambuliwa lazima warudi nyuma wajiandae kupigana na adui alieonekana
 
Muda mfupi uliopita wanamgambo wa Hamas wamesema wamefanikiwa kuvirudisha nyuma vikosi vya jeshi la Israel vilivyojaribu kuingia kwenye ngome zao.
Wanamgambo hao wamesema waliwarejesha nyuma askari hao wenye mafunzo na vifaa imara pale walipoingia kuanza kuziba uzio waliouvunja wiki iliyopita na kubaki wazi muda wote wa karibu wiki mbili.Shambulio hilo la IDF kwa mujibu wa Hamas lilifanyika kwenye eneo la Khani Yunus.
Kwa mujibu wa wasemaji wa IDF huo ulikuwa ni mtego uliotegwa kwao na walifanikiwa kurudi nyuma haraka.

Israel-Hamas war: Air strikes pound Gaza, Hamas says repelled ground attack

ila majengo yao bado yanaendelea kubomolewa, wale walikuwa na nyumba za kupangisha, wakimaliza vita hakuna hata ukuta umebaki.
 
Israel imeanza lini ground offensive?! Hatujasikia kauli yoyote ya waziri wa ulinzi au PM Netanyahu akiafiki kuanza uvamizi wa ardhini.
 
Back
Top Bottom