Kituo cha polisi Chang'ombe temeke kimulikwe, huyu kijana mnayemfuga (Kadoda) analitia doa sana jeshi la polisi

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,463
21,185
Kuna kijana yupo hapo kituo Cha polisi Chang'ombe temeke, anaitwa Kadoda, yeye si askari ila anashirikiana na maaskari wa hapo kubambikizia watu kesi na wakishindwa kutoa hongo ili waachiwe mwisho wa siku wanaishia jera.

Kwa kifupi huyu kijana alikuwa ni jambazi na alikaa jela kwa miaka isiyopungua saba cha ajabu alipoachiwa polisi wakaanza kushirikiana naye kwa kigezo Cha kuwafichua wahalifu lakini mwisho wa siku imekuwa ndivyo sivyo.

Huyu kijana amekuwa akishirikiana na mapolisi kubambikizia watu kesi kukamata Kamata hovyo na kutaka wapatiwe pesa ili wasikufikishe kituoni usipowapa hawaoni shida kukupa kesi yoyote watakayojiskia kukupa.

Mamlaka husika kimulikeni hichi kituo haswa huyu kijana, kuna mengi maovu kuhusu huyu kijana inabidi yachunguzwe imefika mahala anashikishwa mpaka .......... hali ya kuwa yeye sio askari.
 
Hiko kituo ni cha kipumbavu San. Can you imagine nimemkata mwiz ambae anahusik kw namna moja kw sbb chomb cha usafiri kilichotumik kuiba Mali zang zeny thaman ya 1.8M namkutanacho namkamata nampelek then nakuj Sik ya 3 wanamuachia bila kunip taarif na kithibit au chomb wanampa. Nilishindw kuwaelew wale polisi mafala kbs. Yan waniambia sio yey Yule hajaib so nawauliz yuk wapi nipen MTU Wang wananz kuniuliz Mim eti nikamtafut dah nikasem usenge huu. Na nikawat siku ya pili nikawaambia nikichukua Sheria mkononi msinikamate kw sbb nyie mumeshindw kaz kabis wanasm Mim jeuri. My friend usipelek MTU polic malizan nae kimy kimya now days Nd formula Yang hio maan polisi NAO kumbe ni wez. Incase labda fany hiv ukikama Tandika peleka Mbagala au ukonga au ukimkamat mwiz ostabei peleka Centra au Kilw road hio kidg inawez kuwafany wasijuane San na mwiz . Wezi WA kariakoo usiwapelk msimbasi polisi au central wapelek ukonga au Kilw road mbagal .
 
Pana ujinga mwingi sana kituo Cha chang'ombe
 
Ulikuwa una hoja nzuri sana ila mwandiko daah
 
Dah,huu uandishi wako mkuu mbona haujakaa poa kabisa.
 
ww ni mjinga kiasi gani::=umeona wapi uharifu utendeke ilala, afu kesi uipeleke mbezi au temeke... Kesi za kilwa road ni za huko huko, kesi za ukonga stakishari haziwezi kupelekwa kituo polisi mbezi.

Ikitokea umepeleka kesi eneo tofauti na ulipo basi ombi limefanyika kuwa hutofika kituo mahala uhalifu ulipotendeka, huenda ikawa ni sababu za majukumu uliyonayo kwa wakati huo
 
Lk 3:14 SUV

Askari nao wakamwuliza, wakisema, Sisi nasi tufanye nini? Akawaambia, Msidhulumu mtu, wala msishitaki kwa uongo; tena mtoshewe na mshahara wenu.
 
Hiko kituo ni cha kipumbavu San. Can you imagine nimemkata mwiz ambae anahusik kw namna moja kw sbb chomb cha usafiri kilichotumik kuiba Mali zang zeny thaman ya 1.8M namkutanacho namkamata nampelek then nakuj Sik ya 3 wanamuachia bila kunip taarif na kithibit au chomb wanampa. Nilishindw kuwaelew wale polisi mafala kbs. Yan waniambia sio yey Yule hajaib so nawauliz yuk wapi nipen MTU Wang wananz kuniuliz Mim eti nikamtafut dah nikasem usenge huu. Na nikawat siku ya pili nikawaambia nikichukua Sheria mkononi msinikamate kw sbb nyie mumeshindw kaz kabis wanasm Mim jeuri. My friend usipelek MTU polic malizan nae kimy kimya now days Nd formula Yang hio maan polisi NAO kumbe ni wez. Incase labda fany hiv ukikama Tandika peleka Mbagala au ukonga au ukimkamat mwiz ostabei peleka Centra au Kilw road hio kidg inawez kuwafany wasijuane San na mwiz . Wezi WA kariakoo usiwapelk msimbasi polisi au central wapelek ukonga au Kilw road mbagal .
Pole mkuu
Waziri wa mambo ya ndani auone huu uzi na ashughulike na hao askari matapeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kijana yupo hapo kituo Cha polisi Chang'ombe temeke, anaitwa Kadoda, yeye si askari ila anashirikiana na maaskari wa hapo kubambikizia watu kesi na wakishindwa kutoa hongo ili waachiwe mwisho wa siku wanaishia jera.

Kwa kifupi huyu kijana alikuwa ni jambazi na alikaa jela kwa miaka isiyopungua saba cha ajabu alipoachiwa polisi wakaanza kushirikiana naye kwa kigezo Cha kuwafichua wahalifu lakini mwisho wa siku imekuwa ndivyo sivyo.

Huyu kijana amekuwa akishirikiana na mapolisi kubambikizia watu kesi kukamata Kamata hovyo na kutaka wapatiwe pesa ili wasikufikishe kituoni usipowapa hawaoni shida kukupa kesi yoyote watakayojiskia kukupa.

Mamlaka husika kimulikeni hichi kituo haswa huyu kijana, kuna mengi maovu kuhusu huyu kijana inabidi yachunguzwe imefika mahala anashikishwa mpaka .......... hali ya kuwa yeye sio askari.
ukiibiwa vitu vya thamani ya sh milioni moja, ukienda polisi unaishia kutoa hela kidogo kidogo ili mwizi akamatwe, ukijakushtuka ukipiga hesabu umeshatoa zaidi ya milioni moja na mwizi hajakamatwa. Mwizi kaiba milioni, polisi kala milioni, yaani hasara juu ya hasara.
 
Hiko kituo ni cha kipumbavu San. Can you imagine nimemkata mwiz ambae anahusik kw namna moja kw sbb chomb cha usafiri kilichotumik kuiba Mali zang zeny thaman ya 1.8M namkutanacho namkamata nampelek then nakuj Sik ya 3 wanamuachia bila kunip taarif na kithibit au chomb wanampa. Nilishindw kuwaelew wale polisi mafala kbs. Yan waniambia sio yey Yule hajaib so nawauliz yuk wapi nipen MTU Wang wananz kuniuliz Mim eti nikamtafut dah nikasem usenge huu. Na nikawat siku ya pili nikawaambia nikichukua Sheria mkononi msinikamate kw sbb nyie mumeshindw kaz kabis wanasm Mim jeuri. My friend usipelek MTU polic malizan nae kimy kimya now days Nd formula Yang hio maan polisi NAO kumbe ni wez. Incase labda fany hiv ukikama Tandika peleka Mbagala au ukonga au ukimkamat mwiz ostabei peleka Centra au Kilw road hio kidg inawez kuwafany wasijuane San na mwiz . Wezi WA kariakoo usiwapelk msimbasi polisi au central wapelek ukonga au Kilw road mbagal .
Achana na visungura vinaharibu ulimi.
 
Siyo kwa ubaya,lakini kwa uandishi wako huu umenitia mashaka kama aliyeandika ana uwezo wa kumiliki mali zenye thamani ya 1.8mill.

Au ndugu wewe ni yule Bambo wa Kaole Sanaa Group?
 
Back
Top Bottom