Joka la vichwa viwili ndani ya msingi wa jengo lililoanguka na kuua watano Marangu

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Kwema ndugu yangu Mshana Jr mwandishi nguli wa habari za watu wa kuzimu.

Tafadhali naomba ufafanuzi wa hili...

Juzi kuna jengo la ghorofa lilidondoka na kupelekea kupoteza maisha ya vijana wetu wasiopungua 5 kwa mujibu wa ripoti za uchunguzi. Sikubahatika kufika kwa eneo la tukio lazima nikiri ya kuwa kila ninachokiandika hapa nimekisia kwa majirani.

Niliyoyasikia, mwenye jengo baada ya kupata taarifa ya kuwa jengo lilidondoka alikwea ndege na kukimbilia mkoani Kilimanjaro kuja kuokoa, Sina shida nae mie maana kama alikuja na akawa anazunguka nami kwenye gari huku nikiwa nimemficha wananchi wasimuone sina kosa mie.

Jingine hapo hapo palipo na ghorofa kunalo jingine huwezi amini lililopo hapo mwenye jengo huwa anakuja Kila tarehe 31 /12/2022 na kufanyiwa sherehe, uzuri wake kKila tarehe hiyo mwananchi yeyote ambaye huwa anaenda kumtembelea mwenye jengo ukiwa kabla ya saa kumi na mbili huwa anapewa 30,000 chap, ikifika saa moja unapewa 20,000 kunywa kulewa na kula juu yake bwana mkubwa

Mwaka huu alikuwa anajenga jengo jingine la kulia bata na wanakijiji wenzake.
Jengo limekataa kujengwa limedondoka na kuua watano, swali hapa majirani wanadai wakati wakiokoa watu walikutana na JOKA KUBWA chini ya msingi wa jengo. JOKA hilo la vichwa viwili, wakazi wa Kilimanjaro wanadai hawajawai kuyaona zaidi waliyaona kwenye TV.

Swali je ni nani aliliweka JOKA hilo na kwa lengo gani?

Mshana Jr popote ulipo naomba ufafanuzi
 
Kwema ndugu yangu mushana Jr mwandishi nguli wa habari za watu WA kuzimu?
Tafadhali naomba ufafanuzi wa Ili
Juzi Kuna jengo la ghorofa lilidondoka Nina kupelekea kupoteza maisha ya vijana wetu wasio punguza 5, Kwa mujibu wa ripoti za uchunguzi.
Sikubahatika kufika Kwa eneo la tukio lazima nikili yakuwa Kila ninachokiandika hapa nimekisia Kwa majirani.
Niliyoyasikia,mwenye jengo baada ya kupata taarifa yakuwa jengo lilindoka alikwea ndege na kukimbilia mkoani Kilimanjaro kuja kuokoa, Sina shida nae mie maana kama alikuja na akawa anazunguka NAMI kwenye gari uku nikiwa nimemficha wananchi wasimuueee Sina kosa mie.

Jingine hapo hapo palipo na ghorofa kunalo jingine uwezi amini liliopo hapo mwenye jengo uwa anakuja Kila tarehe 31 /12/2022
Na kufanyiwa sherehe,uzuri wake Kila tarehe hiyo mwananchi yoyote ambae uwa anaenda kuntembelea mwenye jengo ukiwa kabla ya saa kumi na mbili uwa anapewa 30,000 chap,ikifika saa Moja unapewa 20,000 kunywa kuelewa na kula juu yake bwana nkubwa
Mwaka huu alikuwa anajenga jengo jingine la kulia Bata na wanakijiji wenzake.
Jengo limekataa kujengwa limedomdoka na kuua watano, swali hapa majirani wanadai wakati wakiokoa watu walikutana na JOKA KUBWA chini ya msingi wa jengo JOKA ILo la vichwa viwili, wakazi wa Kilimanjaro wanadai hawajawai kuyaona zaidi waliyaona kwenye TV swali je ni nani aliliwekaa JOKA ILo?Kwa lengo gani?
Mshana Jr popote ulipo naomba ufafanuzi
Kipenyo na uafisa ni dam dam😀
 
mi niko eneo la tukio tangu tarehe 17/12 likizo ya kula bata, hakuna kitu kama joka lilioonekana eneo hilo ni uzushi na uzandiki
 
Hakuna picha iliyopigwa ya mnato au video ya hilo joka? Au hakukua na mwananchi mwenye simu eneo hilo? Porojo za kufungia mwaka hizi Pole tajiri kwa kupoteza jengo lako yatapita.
 
Back
Top Bottom