Je, Mkopo wa Benki unaweza kudhaminiwa na Jengo ambalo linaenda kujengwa kwa kutumia mkopo huo?

Bazeng

New Member
Apr 23, 2012
4
0
Habari wana JF,

Ninaomba kupata mawazo au majibu ya swali hili. Ninawazo la kujenga jengo dogo la biashara mkoa mmoja hapa Tanzania. Nina eneo tayari kikwazo ni fedha na option iliyopo ni mkopo kutoka benki yoyote ya biashara.

Je, benki zinaruhusu mkopo kudhaminiwa na jengo ambalo linaenda kujengwa na mkopo unaoombwa? Ningeomba kupata mawazo yenu.

Asante.
 
mbu wa dengue

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
7,312
8,816

Kwa hapo utapewa mkopo kwa dhamana ya kiwanja maana nyumba bado hujajenga.
Hawatakubali huo mchanganuo wako kwamba uchukue pesa yao ujengee nyumba kisha hiyo nyumba ndio iwe dhamana
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
225,358
525,639
Habari wana JF,

Ninaomba kupata mawazo au majibu ya swali hili. Ninawazo la kujenga jengo dogo la biashara mkoa mmoja hapa Tanzania. Nina eneo tayari kikwazo ni fedha na option iliyopo ni mkopo kutoka benki yoyote ya biashara.

Je, benki zinaruhusu mkopo kudhaminiwa na jengo ambalo linaenda kujengwa na mkopo unaoombwa? Ningeomba kupata mawazo yenu.

Asante.
Inawezekana japo inategemea pia na kiwango cha mkopo unachohitaji
 
youngkato

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
3,218
2,811
Habari wana JF,

Ninaomba kupata mawazo au majibu ya swali hili. Ninawazo la kujenga jengo dogo la biashara mkoa mmoja hapa Tanzania. Nina eneo tayari kikwazo ni fedha na option iliyopo ni mkopo kutoka benki yoyote ya biashara.

Je, benki zinaruhusu mkopo kudhaminiwa na jengo ambalo linaenda kujengwa na mkopo unaoombwa? Ningeomba kupata mawazo yenu.

Asante.
Kiwanja cha thamani ya millioni tano utapewa milioni tatu tu
 
T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
8,175
24,699
Habari wana JF,

Ninaomba kupata mawazo au majibu ya swali hili. Ninawazo la kujenga jengo dogo la biashara mkoa mmoja hapa Tanzania. Nina eneo tayari kikwazo ni fedha na option iliyopo ni mkopo kutoka benki yoyote ya biashara.

Je, benki zinaruhusu mkopo kudhaminiwa na jengo ambalo linaenda kujengwa na mkopo unaoombwa? Ningeomba kupata mawazo yenu.

Asante.
Hiyo ni mortgage. Unachukua mkopo unajenga nyumba mara nyingi ya kibiashara, wewe unakuwa mwendeshaji na unafanya marejesho kwa benki. Hilo jengo ulilojengea huo mkopo linakuwa mali ya benki siku zote hizo za marejesho na usipolipa hata kama ulibakiza deni 5% benki haikupi umiliki.

Mortgage ya hivyo hutolewa na mabenki yenye uwezo mkubwa na hupewa taasisi au kundi linaloeleweka. Sijajua huku kwetu inakuaje
 
Bazeng

New Member
Apr 23, 2012
4
0
Kwa hapo utapewa mkopo kwa dhamana ya kiwanja maana nyumba bado hujajenga.
Hawatakubali huo mchanganuo wako kwamba uchukue pesa yao ujengee nyumba kisha hiyo nyumba ndio iwe dhamana
Asante sana Mkuu kwa mawazo yako.
 
Bazeng

New Member
Apr 23, 2012
4
0
Hiyo ni mortgage. Unachukua mkopo unajenga nyumba mara nyingi ya kibiashara, wewe unakuwa mwendeshaji na unafanya marejesho kwa benki. Hilo jengo ulilojengea huo mkopo linakuwa mali ya benki siku zote hizo za marejesho na usipolipa hata kama ulibakiza deni 5% benki haikupi umiliki.

Mortgage ya hivyo hutolewa na mabenki yenye uwezo mkubwa na hupewa taasisi au kundi linaloeleweka. Sijajua huku kwetu inakuaje
Asante sana kwa ufafanuzi.
 
Samtee

Member
May 2, 2018
84
84
Habari wana JF,

Ninaomba kupata mawazo au majibu ya swali hili. Ninawazo la kujenga jengo dogo la biashara mkoa mmoja hapa Tanzania. Nina eneo tayari kikwazo ni fedha na option iliyopo ni mkopo kutoka benki yoyote ya biashara.

Je, benki zinaruhusu mkopo kudhaminiwa na jengo ambalo linaenda kujengwa na mkopo unaoombwa? Ningeomba kupata mawazo yenu.

Asante.
Hapo dhamani ya kiwanja au labda liwe li mjengo la kufaa
 
Financial Freedom

JF-Expert Member
Nov 14, 2016
1,122
1,965
Mfano ni tegeta complex mmiliki alikopeshwa hela bank crdb akajenga na crdb ikapanga pale,ujenzi kama huo wenye tija bank in support percent kadhaa ya ulichonacho sio full mkopo Chini mpaka juu
 
Frank mtanganyika

JF-Expert Member
Aug 10, 2018
366
558
Mfano ni tegeta complex mmiliki alikopeshwa hela bank crdb akajenga na crdb ikapanga pale,ujenzi kama huo wenye tija bank in support percent kadhaa ya ulichonacho sio full mkopo Chini mpaka juu
yes ni kweli bank nyingi zinafanya hivyo kuna tajiri moja aliingia mkataba na benk ya exim km sijakosea na ground floor nzima ilikuwa ni kwa ajili ya matumizi ya benk ila hiyo ni mortgage na umiliki wote unakuwa chini ya benk mpk pale utakapo maliza mkopo wako
 
May Day

JF-Expert Member
May 18, 2018
6,121
8,644
Kama hicho kiwanja ni cha pesa ndefu na kiwe kwenye eneo ambalo Benki watajiridhisha kwamba incase utakwama basi kitauzika.

Kwa hiyo kama kitakuwa na thamani ya milioni 100 kuna uwezekano wa kukupa kati ya 20m, 30m...Benki wagumu.
 
Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
13,083
22,202
Eneo lako lipo wapi?!

Maana bank wanatazama faida yao tu hawana time na malengo yako. Ndio maana ukiwa na kipato aidha ni biashara au mshahara mkubwa jamaa wanakutafuta wao wenyewe maana wameshaona mkondo wa pesa wanataka kuchota.

Vijamaa vinatumia akili ya kidangaji kwenye biashara. Wanakupa unachotaka ukiwapa uhakika wa wanachotaka kwanza.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom