jengo

  1. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali ijenge jengo litakalokuwa na vizimba 500,000 Karume

    Ipo haja Kwa Serikali yetu tukufu kujenga soko la kisasa Karume litakalojumuisha, vizimba, stoo, maeneo ya mama lishe Kwa hesabu maalumu ili kukidhi haja za wafanyabiashara wote waliokuwepo hapo, vizimba vyote viwe na namba maalum za utambulisho ili kila muhitaji apatiwe kwa namba maalum...
  2. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazawa Wakenya waliohusika kwenye usanifu wa jengo refu kuliko majengo yote Afrika Mashariki na Kati

    Mababu zetu waliopigania uhuru wa Mwafrika pale walipo kama wana uwezo wa kuyaona haya kweli watafarijika kwa kujua jitihada zao zilizaa matunda, wajukuu wao, wazawa wa nchi hii leo wanahusika pakubwa kusanifu miundo mbinu ambayo inaipaisha nchi kwa mwendo kasi. A file image of the Global...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Goba, Dar: Wanne wafariki dunia, 17 wajeruhiwa baada ya jengo kuangukia nyumba za jirani

    Watu wanne (Wanawake 2 na Wanaume 2) wameripotiwa kufariki dunia huku wengine 17 wakijeruhiwa baada ya jengo lililokuwa linajengwa eneo la Goba kwa Awadhi Jijini Dar es Salaam kuangukia nyumba za jirani Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kheri James amesema wanaendelea kuangalia iwapo kuna wengine...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mhandisi na mjenzi wamehitajika kwa jengo la flat

    Nina mteja wangu ambao anauza nyumba za ghorofa na jengo la flat (building with appartments) Ameshapata wanunuaji wawili kwa ajili ya mradi . Alikubaliana nao kuhusu bei. Mteja wangu anataka kujenga jengo la ghorofa mbili. Level ya kawaida itakuwa na biashara ya takriban 90 sqm, upande mwingine...
  5. Ms Billionaire

    JamiiForums Tanzania Pale soko la Karikaoo panajengwa foundation from the scratch au ni ukarabati gani unaofanywa?

    Habari ya saizi waungwana. Nimekutana na hizi taarifa mitandaoni nimeona nije niulize maswali nijiridhishe. Kwa wataalamu wa ujenzi. Pale soko la karikaoo panajengwa foundation from the scratch au ni ukarabati gani unaofanywa? Wa Bilioni 32. Jamani zaidi ya rangi na partition sijui kama kuna...
  6. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Serikali kuwajengea wamachinga jengo jipya Kariakoo

    Rais Samia amerudi leo kutoka Scotland na ameingia kazini moja kwa moja. Alipotoka kukagua ujenzi wa Daraja la Tanzanite (Lile la juu ya Bahari pale Salenda) alienda kuongea na wananchi wanaofanya biashara pale Coco Beach. Akiwa hapo ameeleza nia njema ya Serikali katika zoezi la kuwapanga...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Jengo hili liko Moscow lilijengwa 2009 mbunifu akiwa Oleg Carlson

  8. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Jengo la TANESCO alilobomoa Magufuli, mpaka leo sielewi!

    Mpaka leo sielewi kwa nini hili jengo lilibomolewa. Nimefika hata nchi za nje, barabara inakatiza hadi katikati ya jengo, na jengo hili hata kwa barabara iliyopo Ubungo haijafikia liliko jengo lililobomolewa. Kama si uhujumu sijui? Mi nachokoza tu, wataalam tuambieni!
  9. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Jengo la ofisi ya CHADEMA Bunda lavunjwa

    Nchi kila kukicha tunazungumzia kujenga ustawi wa demokrasia na kupunguza chuki na uhasama ili kulinda amani ya taifa. Kwa kiburi cha hali ya juu kabisa DC wa Bunda akijiita Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama amevuja jengo la Ofisi ya CHADEMA Wilaya ambalo wananchi alijitolea michango...
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Jengo la TANESCO Chato, kubwa kuliko la Wilaya Temeke lenye wateja milioni na nusu

    Jengo la TANESCO Chato, wilaya yenye mji wa wakazi 28,000 tu, ni kubwa kubwa kupitiliza. Wilaya ya Temeke ina wakazi milioni moja na nusu, lakini hakuna jengo la kutisha na huduma inaendelea. Hizo ndio zilikuwa sera za upendeleo maalum Chato, alizoanzishwa na Mwendazake na henchman Kalemani...
  11. Magonjwa Mtambuka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jengo laporomoka huko Kisumu

    Jengo lingine lililokuwa linajengwa limeporomoka leo na kujeruhi watu kadhaa huko Mamboleo, Kisumu. Ufisadi na janjajanja vitawamaliza hawa nyang'au, yaani sasa imekuwa kama fasheni. Building under construction collapses in Kisumu. Nyanza By Harold Odhiambo A two-storey building under...
  12. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Jengo laporomoka Uganda na kuua na kujeruhi watu wengi

    Watu wasiopungua 6 wamethibitishwa kupoteza maisha na wengine wengi wanaaminika bado wako chini ya kifusi baada ya jengo moja lililokuwa linajengwa kuporomoka huko Kisenyi nchini Uganda. Salim Uhuru, mkuu wa timu ya uokoaji amesema kuwa, miili ya watu sita imetolewa kwenye kifusi na kupelekwa...
  13. eliakeem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jengo laporomoka na kuua watu watatu

    Kama ilivyo kawaida, kwa mara nyingine tena jengo lamoromoka kenya na kuua watatu. Majirani, mtaacha mpaka wafe wangapi ndiyo mdhibiti majanga haya? Wanasema hilo jengo ni jipya kabisa. Tangu liishe halina hata mwezi mmoja. Swali langu, kwa mara nyingine, hali hii itasubiriwa mpaka iue...
  14. Bipolar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jengo la ghorofa 5 laporomoka leo Kiambu

    Jengo lingine la ghorofa 5 laporomoka huko Kiambu. Majirani poleni na muongeze juhudi kusimamia ubora wa majengo kuepusha vifo. Source: https://www.the-star.co.ke/news/2021-08-30-five-storey-building-collapses-in-gachie/
  15. Burnaboy

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kujenga jengo refu zaidi Afrika Mashariki na kati, kubeba hoteli kubwa zaidi kwenye kanda

    Ni jengo refu zaidi Afrika Mashariki na kati na linatarajiwa kubeba hoteli kubwa zaidi kwenye ukanda huu. Kampuni ya kitanzania ya AICL na Edinburgh Crowland wameingia makubaliano na msanifu wa majengo, xCassia kuja na jengo la ghorofa 70. Jengo hilo litaitwa 'Zanzibar Domino Commercial Tower...
  16. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania TRA kodi ya jengo na Withholding Tax zinatakiwa ziwe na uamuzi sawa

    Withholding Tax ni kodi anayolipishwa mpangaji kwa niaba ya mwenye nyumba kwa kigezo cha urahisi wa kuikusanya kupitia mpangaji! Na TRA ikimshauri mpangaji amdai mwenye nyumba ili amrejeshee alicholipa! Je, hili linawezekana? Hapana, huku ni kuporwa kwa kulazimishwa. TRA inapokuja na kauli...
  17. yello masai

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Jengo au Kodi ya Mita ya LUKU?

    Binafsi sina jengo, ila kuna sehemu nimeweka umeme kwa ajili ya kazi zangu. Lakini sio kwenye jengo maana kazi hii nafanya sehemu ya wazi. Sasa bwana leo nikasema ngoja ninunue umeme wa 2,200 nione kama nitakatwa kodi ya jengo wakati sina jengo. Sijaamini kilichotokea, umeme wa 2,200...
  18. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Wapangaji waijulishe TRA kuwa nyumba si zao ili TRA isifanye kosa kuwatoza kodi ya jengo

    Ili kuondoa mgogoro kati ya mwenye nyumba na mpangaji TRA iwatake wapangaji wapeleke namba zao za mita na kuiwezesha TRA iwaondoe kwenye kulipishwa kimakosa. Hata hivyo tatizo litabaki pale mwenye nyumba na mapangaji wanatumia mita moja ambapo mwenye nyumba atalazimisha wapangaji walipe kodi ya...
  19. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Nataka kufungua kesi kupinga kodi ya jengo kupitia Luku lakini sioni wa kunitetea mahakamani

    Haki yangu ya msingi naona imeporwa, nataka kufungua kesi dhidi ya malipo ya kodi ya jengo kupitia Luku ila shida iliyopo ni hao ninaowategemea wana maslahi na nafuu waliyoipata, wakili ananyumba anapangisha yeye mzigo wa kuilipia kodi wamemtua na hakimu naye nyumba yake anapangisha naye mzigo...
  20. MZALENDO TZ

    JamiiForums Tanzania Mara: Wawekezaji wakabidhi Jengo la Ofisi ya Serikali ya Mtaa kwa Joshua Nasari

    Bunda, Mara 08/08/2021. Siku ya Tarehe 8/8/2021 kundi la wadau wa maendeleo Mkoa wa Mara wanaoishi na kufanya kazi sehemu mbali mbali hapa nchini (Mara Investors) limekabidhi jengo kwa ajili ya ofisi ya Serikali ya Mtaa ili kusaidia huduma za kiutawala kwa wakazi wa mtaa wa Serengeti Kata ya...
Back
Top Bottom