Jengo Jipya la Makao Makuu ya ACT Wazalendo Ngome ya Maendeleo na Amani

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,917
30,259
JENGO JIPYA MAKAO MAKUU YA ACT WAZALENDO NGOME YA MAENDELEO NA AMANI

Naangalia picha ya jengo la Makao Makuu ya ACT Wazalendo lililoko Magomeni Mikumi.

Jengo hili limepewa jina la Maalim Seif Sharif Hamad.
Hakika ni jengo la kisasa linalovutia sana.

Nina kawaida kila nionapo jambo basi mimi huingia Maktaba kuangalia kama ninacho kitu katika historia kinachofanana na hicho nilichokiona.

Imetokea katika kufanya hivi nikakuta mambo ambayo yanasomesha na kutoa picha watangulizi wetu walikuwa watu wa aina gani katika historia ya nchi yet.u.

Nimefungua kitabu cha Abdul Sykes kuangalia nini nimeandika kuhusu ujenzi wa jengo la African Association lililojengwa kati ya mwaka wa 1929 - 1933.

Mwanzo tu wa kitabu nimeeleza uasisi wa African Association mwaka wa 1929 chama kilichokuja kuunda TANU chama kilichopigania uhuru wa Tanganyika katika ya mwaka wa 1954 - 1961.

Nimekuta picha ya jengo la African Association.

Picha hii ilipigwa mwaka wa 1933 siku ya ufunguzi wa jengo la ofisi ya African Association na wanachama wake wako nje ya jengo kupiga picha wakiwa na Gavana wa Tanganyika Donald Cameron aliyealikwa kufungua ofisi hiyo

Pamoja na picha hii nimeandika historia ya ujenzi wa nyumba hiyo:

‘’Mapema mwaka wa 1930 katika juhudi za kukiimarisha chama, Kleist Sykes alisimamia ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya African Association, New Street (sasa Lumumba Avenue) na Kariakoo ambalo wananchi walikuwa wakijenga kwa kujitolea.

Hili ndilo jengo ambalo TANU ilikuja kuzaliwa tarehe 7 Julai, 1954.

Jengo la African Association lilijengwa kwa chokaa, udongo na mawe kama ilivyokuwa desturi ya ujenzi wa wakati ule.

Chokaa ndiyo iliyokuwa ikitumika badala ya sementi.’’

Sasa ni miaka 93 toka wazee wetu waliokuwa chini ya ukoloni wa Mwingereza walipofungua ofisi yao ili jengo hilo liwe ngome yao kwa ajili ya kupigania haki zao katika wakati wao na wakati ujao wao wakiwa hawapo.

Nakumbuka siku nilipoiona picha hiyo ya ufunguzi wa jengo la African Association na kuwaona hawa watangulizi, wazee wetu waliokita mambo za ujenzi wa jengo lile ardhini.

Nilimuomba Ally Sykes aliyenionyesha picha hiyo majina ya wazalendo wale wa African Association.

Niliweza kupata majina matatu tu.

Ally Sykes alinionyesha katika picha ile baba yake, Kleist Sykes, Ramadhani Mashado Plantan ambae ni baba yake pia katika ukoo na mwalimu wake Mdachi Shariff ambae alimsomesha Shule ya Kitchwele.

Katika picha ile wakati mimi naiona miaka ya 1980 Bwana Ally aliniambia wote wametangulia mbele ya haki na mtu ambae angeweza kuwatambua wale waliokuwa katika ni Sheikh Hussein Juma ambae yeye ndiye alikuwa hai.

Sikubahatika kuonana na Sheikh Hussein Juma.

Yako maneno ningependa kuyaweka hapa kuhitimisha.

Maneno haya yaliandikwa katika barua aliyoandika Mzee Bin Sudi Rais wa African Association akimwandikia Katibu wake Kleist Sykes mwaka wa 1933:

‘’Tupambane kwa nguvu zetu zote… haidhuru kitu ikiwa hatukamilishi kila kitu wale watakaokuja baada yetu watakamilisha yatakayobaki.’’

Wakati Mzee bin Sudi anaandika maneno haya hakuna katika wakatri ule alikuwa anawaza kuwa Tanganyika itakuja kuwa taifa huru.

Mzee bin Sudi, Ramadhani Mashado Plantan, Sheikh Hussein Juma na wengine wengi waliuona uhuru wa Tanganyika mwaka wa 1961.

Lakini wako wazee wetu waliojenga jengo la African Association wengi wao hawakuuona uhuru wa Tanganyika.

Mzee bin Sudi alisoma risala na kumkaribisha Rais wa Sudan Jaffar Nimieri katika ofisi ya TANU Lumumba akiwa kaongozana na mwenyeji wake Rais wa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

MIezi michache baadae Mzee bin Sudi alifariki dunia.

ACT Wazalendo wana mengi ya kujifunza kutoka kwa wazalendo hawa waliotutangulia.

1666982658006.png
1666982986362.png
 
View attachment 2400739View attachment 2400745
Chadema wao vp? Mwaka wa 30 bado wanaishi kwenye yale mapango ya ufipa Street
 
Tofauti shehe ni kwamba hili la Leo ,limejengwa na pesa zilizotapakaa damu za serikali ya CCM.Halina credibility yoyote.Damu ya Mwangosi,damu ya Ben saa8,damu ya Tundu Lissu ,damu ya Mahammed Mtoi na wengine ndo zimejenga jengo hili.
 
Kama hilo jengo limejengwa au kukarabatiwa na pesa iliyojaa damu ya tundu lissu, Mohammed Mtoi, na wengine hata hizo pesa za inazotumia katika harakati zaqke za siasda zimejaa damu ya Tundu Lissu, Mohhammed Mtoi, na wengine. In fact, kila chama kinachpokea ruzuku ruzuku imejaa damu za uliyowataja. Mimi binafsi ninachojuwa hizo pesa ni pesa halali za walipa kodi wa Tanzania, na hazina damu ya mtu yoyote. Kama msemayo ni kweli basi zirudisheni.
 
JENGO JIPYA MAKAO MAKUU YA ACT WAZALENDO NGOME YA MAENDELEO NA AMANI

Naangalia picha ya jengo la Makao Makuu ya ACT Wazalendo lililoko Magomeni Mikumi.

Jengo hili limepewa jina la Maalim Seif Sharif Hamad.
Hakika ni jengo la kisasa linalovutia sana.

Nina kawaida kila nionapo jambo basi mimi huingia Maktaba kuangalia kama ninacho kitu katika historia kinachofanana na hicho nilichokiona.

Imetokea katika kufanya hivi nikakuta mambo ambayo yanasomesha na kutoa picha watangulizi wetu walikuwa watu wa aina gani katika historia ya nchi yet.u.

Nimefungua kitabu cha Abdul Sykes kuangalia nini nimeandika kuhusu ujenzi wa jengo la African Association lililojengwa kati ya mwaka wa 1929 - 1933.

Mwanzo tu wa kitabu nimeeleza uasisi wa African Association mwaka wa 1929 chama kilichokuja kuunda TANU chama kilichopigania uhuru wa Tanganyika katika ya mwaka wa 1954 - 1961.

Nimekuta picha ya jengo la African Association.

Picha hii ilipigwa mwaka wa 1933 siku ya ufunguzi wa jengo la ofisi ya African Association na wanachama wake wako nje ya jengo kupiga picha wakiwa na Gavana wa Tanganyika Donald Cameron aliyealikwa kufungua ofisi hiyo

Pamoja na picha hii nimeandika historia ya ujenzi wa nyumba hiyo:

‘’Mapema mwaka wa 1930 katika juhudi za kukiimarisha chama, Kleist Sykes alisimamia ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya African Association, New Street (sasa Lumumba Avenue) na Kariakoo ambalo wananchi walikuwa wakijenga kwa kujitolea.

Hili ndilo jengo ambalo TANU ilikuja kuzaliwa tarehe 7 Julai, 1954.

Jengo la African Association lilijengwa kwa chokaa, udongo na mawe kama ilivyokuwa desturi ya ujenzi wa wakati ule.

Chokaa ndiyo iliyokuwa ikitumika badala ya sementi.’’

Sasa ni miaka 93 toka wazee wetu waliokuwa chini ya ukoloni wa Mwingereza walipofungua ofisi yao ili jengo hilo liwe ngome yao kwa ajili ya kupigania haki zao katika wakati wao na wakati ujao wao wakiwa hawapo.

Nakumbuka siku nilipoiona picha hiyo ya ufunguzi wa jengo la African Association na kuwaona hawa watangulizi, wazee wetu waliokita mambo za ujenzi wa jengo lile ardhini.

Nilimuomba Ally Sykes aliyenionyesha picha hiyo majina ya wazalendo wale wa African Association.

Niliweza kupata majina matatu tu.

Ally Sykes alinionyesha katika picha ile baba yake, Kleist Sykes, Ramadhani Mashado Plantan ambae ni baba yake pia katika ukoo na mwalimu wake Mdachi Shariff ambae alimsomesha Shule ya Kitchwele.

Katika picha ile wakati mimi naiona miaka ya 1980 Bwana Ally aliniambia wote wametangulia mbele ya haki na mtu ambae angeweza kuwatambua wale waliokuwa katika ni Sheikh Hussein Juma ambae yeye ndiye alikuwa hai.

Sikubahatika kuonana na Sheikh Hussein Juma.

Yako maneno ningependa kuyaweka hapa kuhitimisha.

Maneno haya yaliandikwa katika barua aliyoandika Mzee Bin Sudi Rais wa African Association akimwandikia Katibu wake Kleist Sykes mwaka wa 1933:

‘’Tupambane kwa nguvu zetu zote… haidhuru kitu ikiwa hatukamilishi kila kitu wale watakaokuja baada yetu watakamilisha yatakayobaki.’’

Wakati Mzee bin Sudi anaandika maneno haya hakuna katika wakatri ule alikuwa anawaza kuwa Tanganyika itakuja kuwa taifa huru.

Mzee bin Sudi, Ramadhani Mashado Plantan, Sheikh Hussein Juma na wengine wengi waliuona uhuru wa Tanganyika mwaka wa 1961.

Lakini wako wazee wetu waliojenga jengo la African Association wengi wao hawakuuona uhuru wa Tanganyika.

Mzee bin Sudi alisoma risala na kumkaribisha Rais wa Sudan Jaffar Nimieri katika ofisi ya TANU Lumumba akiwa kaongozana na mwenyeji wake Rais wa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

MIezi michache baadae Mzee bin Sudi alifariki dunia.

ACT Wazalendo wana mengi ya kujifunza kutoka kwa wazalendo hawa waliotutangulia.

View attachment 2400739View attachment 2400745
Kar
 
Katika bandiko la ACT sijaona kama wanasema wamejenga jengo jipya. Wamesema wanafungua jengo la makao makuu. Kama ni la Sefu, au wamelinunua toka kwa Sefu, au Wamepewa na Sefu, au Wamepanga, ukweli unabaki palepale wamefungua makao makuu yao (ACT).
 
Tofauti shehe ni kwamba hili la Leo ,limejengwa na pesa zilizotapakaa damu za serikali ya CCM.Halina credibility yoyote.Damu ya Mwangosi,damu ya Ben saa8,damu ya Tundu Lissu ,damu ya Mahammed Mtoi na wengine ndo zimejenga jengo hili.

Acha uzushi jengo limejengwa na wapemba
 
Back
Top Bottom