jamii

  1. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii dhidi ya ukiukwaji wa Haki za Binadamu na utapeli katika vituo vya waathirika wa dawa za kulevya

    Salaam Mheshimiwa. Kwanza nikupongeze kwa juhudi binafsi unazoendelea kuzionyesha katika Wizara yako na Serikali kwa ujumla.Tunaelewa kusudi kubwa la Serikali kuimarisha huduma bora kwa wananchi wake hasa maendeleo ya jamii kiujumla. Lengo kuu la barua ni kukujulisha juu ya mambo ya kipuuzi...
  2. mdeki

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

    Nimekuwa humu kwa kipindi kidogo lakini hili la kuitana 'Mkuu' limekuja tu. Sijui kwanini wakuu?
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kaliba ya Ualimu lazima iheshimiwe

    Maslahi yangu: Mimi ni mwalimu kwa kusomea. Nimefarijika na hatua zilizochukuliwa na uongozi wa JamiiForums kwa kuondoa/kufuta mada zote zinazowadhalilisha walimu na kada nzima ya ualimu na kuwapa adhabu stahiki wale wote waliokuwa vinara kwenye hilo. Kuna mahali tuliyumba na tukakosea sana...
  4. DOMINGO THOMAS

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa kuchangia kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii (NSSF/PSSSF) ni hiyari ya mtu je, ungechangia?

    Ingekuwa kuchangia kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii (nssf/psssf) ni hiyari ya mtu, je unge-changia...!? 1. Kwanini ungechangia...!? 2. Kwanini usinge-changia..!? 3. Hujui nini ungefanya..!?
  5. Bryton25

    JamiiForums Tanzania Kuwepo kwa gape za uchumi Kati ya taifa moja na jingine au ndani ya jamii ni sababu moja ya muhimu ya maisha kuwezekana au Kuwepo na amani

    Uchumi unapolingana Kati ya mataifa mengi au Kati ya watu wengi Katika jamii huibua mashindano ambayo Mara nyingi matumizi ya nguvu huonekana na kusababisha machafuko na vifo
  6. Nelson Jacob Kagame

    JamiiForums Tanzania Afande Kagame: Wanajeshi huwa hawalalamiki?

    Afande Kagame siku nyingine najua unapitia pitia mitandao ya kijamii ya Watanzania iliyoandikwa kwa lugha za Kiswahili ama Kingereza kama Jamii Forums na kadhalika. Afande najua hupendi kuulizwa maswali ila mimi ngoja nikuulize swali, mbona unakuwa muoga wa kurudi frontline kupambana na haya...
  7. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Wizi wa mali za Umma ni reflection ya jamii ya watu wasiostaarabika

    Kwa hasira kabisa ni wafokee wezi wote wa mali za umma. Jamii yoyote iliyostaarabika inatizama mustakabali wa vizazi vijavyo. Unapoiba pesa au mali za umma ni kielelezo cha ubinafsi kama mtu mmoja lakini kwa jamii nzima ni reflection ya kuwa jamii hiyo haijastaarabika. Vipo viashiria vingi...
  8. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Familia zetu na jamii kwa ujumla huchangia yanayoendelea kwa sasa

    By Dr Levy Kitaa ndoa nyingi zina migogoro kwa ‘ishu’ za kukurupuka. Kufanya papara bila kufahamiana vizuri. Kuna vitu vya msingi watu tunapaswa kufanya lakini tunavipuuza. Ujuaji mwingi na kuishi kimazoea au hisia za kipombe pombe tu. Huwezi kuanzisha uhusiano bila kuwepo kwa upendo wa...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Polisi Mbeya ACP Kuzaga afunga "Polisi Jamii Interclasses Super Cup"

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamini Kuzaga Machi 25, 2023 huko katika Kata ya Kisiba iliyopo halmashauri ya Busokelo, Wilaya ya Rungwe, Mkoa wa Mbeya alifunga mashindano ya mpira wa miguu na ngoma za asili yaliyojulikana kama "POLISI JAMII INTERCLASSES SUPER CUP 2023" Akifunga...
  10. DOMINGO THOMAS

    JamiiForums Tanzania Hifadhi za Jamii Tanzania

    Je, uliwahi pata shida yoyote ulipokwenda kufuatilia mafao yako kwenye mifuko ya Hifadhi ya jamii, iwe PSSSF, WCF au NSSF. Tupe Experience yako kidogo.
  11. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Ni ushauri gani umekupa manufaa kupitia JamiiForums?

    Hakuna binadamu ambaye anafanya biashara isiyokuwa na faida kamwe! Basi hata hapa JamiiForums imani yangu kwamba tumejiunga wote na tumepata faida kubwa sasa basi. Ni mwanachama gani ambaye amekuwa akikupa ushauri ukakupatia manufaa? Toa pongezi kwake hadharani.
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Maafisa Polisi Jamii wapewa mafunzo ya kuwajengea uwezo na kujua majukumu yao

    Jeshi la Polisi limetoa mafunzo ya siku moja kwa Maafisa Polisi Jamii na Polisi Kata kutoka Kanda Maalum ya Dar es Salaam pamoja na wengine kutoka Kibaha na Mkuranga. Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, SACP David Misime amesema mafunzo yamefanyika baada ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Ofisa Ustawi wa Jamii jela miaka 30 kwa ubakaji

    Muhtasari: Hakimu Mkazi Mwandamizi wa mahakama ya Wilaya ya Kigoma, Eva Mushi amesema mahakamani hiyo imemtia hatiani baada ya kujiridhisha pasipo na shaka kuwa mshtakiwa alitenda kosa hilo. Habari Kamili: Mahakama ya Wilaya ya Kigoma imemhukumu Ofisa Ustawi wa Jamii, Frank Mabuga kwenda jela...
  14. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Kama Yanga SC atafungwa leo, rasmi najitoa Jamiiforums na mods wanifungie

    Habari zenu mashabiki wote wa mpira JF Leo Yanga sc tunaingia uwanjani na malengo ya kupata ushindi ili tuweze kuwa na uhakika wa kuvuka hatua inayofua ya robo fainali. Mechi tuliocheza kule Tunisia tuliocheza vizuri japo hatuktengeneza nafasi za magoli. Na wapinzani wetu walitumia mipira...
  15. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Mwanangu anaogopa sana wafu

    Mwanangu wa kike anaogopa sana wafu. Hufikia mpaka kuwalazimisha marafiki zake nao waogope wafu. Huyu Binti huwatishia kuwanyima peremende ikiwa rafiki zake hawataogopa mfu. Kuna mfu Mmoja mashuhuri sana. Kila tulianza kumzungumzia basi Binti huyu kukimbilia kubadili mada au kwenda kwa jirani...
  16. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Ishi na jamii tofauti ujue jinsi ya kuishi na watu vizuri. Vifo vitazidi kuongezeka Afrika Kusini sababu tunapeleka ushamba wetu kwao

    Tembea uone/ishi na watu au jamii tofauti ujifunze wabongo wengi au Watanzania kakulia kariakoo ndo hapo mpka mwisho wa tamati. Afu kila siku anaongea mambo yale yale. 👤 Watanzania asilimia kubwa ambao akili zao ni mgando wanachukua tabia zetu za mazoea na kuja nazo south Africa. Uku...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Polisi Mbeya Afunga Ndanto Polisi Jamii Super Cup, 2023

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga, Machi 12, 2023 Wilayani Rungwe amefunga mashindano ya mpira wa miguu yaliyojulikana kwa jina la Polisi Jamii Super Cup 2023. Akifunga mashindano hayo yaliyoshirikisha timu 8 kutoka vijiji viwili vya Ntokela na Nzunda vilivyopo Kata ya...
  18. Msanii

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, hii Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ina ukakasi kidogo

    Amani iwe kwako mkuu wangu wa nchi. Nimeweka heading hiyo kuweza kukuvutia kusoma usuli wa hoja yangu. Sote tunafahamu kwa Mujibu wa Katiba kuwa tasisi unayoiongoza imepewa mamlaka ya kuunda, kupangua ama kufuta wizara mbalimbali za serikali hasa kutokana na mahitaji ya nchi kwa wakati husika...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Watu Wengine katika Jamii ni wa Kawaida tu, ila huhisiwa kuwa ni kutoka TISS au JWTZ?

    Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Comments zenu mkiwa ni Wataalam, Wabobezi na Mangwena. Asanteni.
  20. Msanii

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Diamond Jubilee ni utafunaji wa Bajeti inayotakiwa kwenda kuboresha huduma za jamii

    Muda huu tarehe 10 Machi 2023, ninamuona Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam CPA Amos Makala akiongoza shughuli ya kumpongeza mama Samia kutimiza miaka 2 ya uongozi wake madarakani. Kumpongeza Rais kwa kutimiza miaka miwili madarakani ni jambo la kumpongeza lakini ni muhimu sana kuzingatia usahihi wa...
Back
Top Bottom