jamii

  1. Roving Journalist

    Elimu ya Uraghbishi na jinsi inavyosaidia jamii kujikomboa katika maendeleo

    Maana ya Uraghbishi Si rahisi kuwa na maana moja kamili ya Uraghbishi, hii ni kwa sababu Uraghbishi ni falsafa, mtazamo na namna ya kuwachochea Wananchi washiriki kwa pamoja katika kujiletea maendeleo yao. Uraghbishi ni mtindo wa maisha. Lengo la Uraghbishi Kuwahamasisha wanajamii katika ngazi...
  2. N

    Mambo 10 yaliyofanywa na Rais Samia yanayowagusa Walimu na Jamii kwa ujumla

    Siku ya jana katika kuadhimisha siku ya walimu Duniani, nimekutana na jumbe nyingi zinazoonyesha uelewa wa Watanzania juu ya kazi ya utekelezaji wa miradi katika Elimu inayofanywa kwa weledi chini ya Uongozi wa serikali ya awamu ya sita, tuangazie baadhi ya mambo; 1.Ujenzi wa Shule mpya za...
  3. L

    Haki na Usawa: Wito wa China wa kuwa na jamii yenye haki zaidi yenye mustakabali wa pamoja

    Haki na Usawa: Wito wa China wa kuwa na jamii yenye haki zaidi yenye mustakabali wa pamoja NA BRYAN OTIENO "Muunganiko na muunganiko, hufuatana umbali wa maili elfu moja." Matukio sawa ya kihistoria na ujumbe sawa wa kihistoria umeunganisha kwa karibu China na Afrika, na China na Afrika...
  4. B

    Bachelor of Science in Housing and Infrastructure Planning ikoje?

    Naulizia kuhusu kozi ya bachelor of science in housing and infrastructure planning ndo ikoje yaan inahusu nini na je unawezq jiajiri, mwenye ujuzi msaada wakuu
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Makosa/dhambi ambazo tukifanya tunatakiwa Tuuawe ili kuondoa Uovu kwenye Jamii

    MAKOSA/DHAMBI AMBAZO TUKIFANYA TUNATAKIWA TUUAWE ILI KUONDOA MAOVU KWENYE JAMII. Anaandika, Robert Heriel Tunalalamika Kwa nini dunia ya sasa maovu yameongezeka, matukio ya kikatili na unyama yameshamiri. lakini muda huohuo tunasahau kuwa mbinu namba moja ya kuondoa Uovu kwenye jamii yoyote...
  6. think tank01

    Usimamizi bora wa fedha za Miradi ya maendeleo ya Jamii 🇹🇿

    Hapa nchini tangu zamani tumekuwa tukisikia, kushiriki au kuona (kushuhudia) MIRADI mbalimbali inayoanzishwa na kusimamiwa na Serikali kwa lengo la kuleta maendeleo kwenye Jamii husika. Mfano: Miradi ya Maji, Umeme, Barabara, Shule, Vyuo na Vituo vya Afya n.k Miradi hii baadhi imekuwa...
  7. DMmasi

    Tamaduni zetu za kisasa kwenye jamii na madhaifu yake

    SEHEMU YA KWANZA Habari zenu wana jamii wenzangu natumai muwazima wa afya, kwa walio na changamoto mbalimbali poleni sana niseme tuu ikiwa tunaishi tumaini lipo tusikate tamaa. Baada ya salamu ningependa kutoa ufafanuzi mfupi juu ya uzi ninaokwenda kuushusha. Kwanza huu ni mtizamo binafsi...
  8. APPROXIMATELY

    TAJA SHULE ULIYESOMA YA MSINGI,ikiwemo mwaka uliyoanza na kumaliza,ili upate mtu uliyesoma nae hapa jamii mpige story....

    Kama kichwa kinavyojieleza.. Naanza nimesoma shule ya msingi sanawari primary school,shule ipo arusha. Mwaka (1998-2004)..nawakumbuka walimu waliokuwa wanachapa hatari sana,kuna mwalimu mdee,mwalimu mollel,hawa sitawasahau kwa kichapo heavy. Nawakaribisha tukumbushane ya zamani...
  9. BARD AI

    Spika Tulia aitaka Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kuwalipa wastaafu hata kama waajiri hawajapeleka michango

    Dkt. Tulia Ackson ameihoji Serikali akitaka kujua nani anapaswa kuhakikisha michango ya mafao inayokatwa kwa wafanyakazi inapelekwa katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Pia ameitaka Mifuko kufatilia fedha kwa waajiri kwasababu sio wajibu wa mfanyakazi kujua michango imepelekewa au haijapelekwa...
  10. Crocodiletooth

    Jamii ya viumbe toka Nibiru waliokuja duniani

    Anak, viumbe kutoka nibiru waliokuja duniani na kukutana na dunia iliyokuwa imejaa sokwe weupe na weusi, na jitihada zao katika kuunganishi genie zao na za viumbe ilivyovikuta duniani ili kuoata kiumbe bora kitakacho endana na vizuri na mazingira ya dunia, hadithi NZURI zaidi inapatikana...
  11. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Ulinzi Shirikishi/ Polisi Jamii ni kuwasumbua Wananchi

    Katika mambo ya kipuuzi ambayo jeshi letu la polisi linayafanya ni hiki kitu kinaitwa ulinzi shirikikishi. Sote tunajua maisha ya watanzania yalivyo, unakuta kijana anayejishughulisha na shughuli za kilimo jioni anarudi nyumbani hoi halafu unamtaka aingie mtaani eti kufanya doria ili kukomesha...
  12. BARD AI

    Panya Road waua mtu mmoja Kawe na kujeruhi wengine watatu

    Kundi la Vijana wanaojihusisha na Uhalifu Maarufu kama 'Panya road' wamevamia nyumba moja Kawe mtaa wa Mzimuni usiku wa kuamkia leo Septemba 14, 2022 na kujeruhi watu watano na Kumsababishia kifo Binti aliyetambulishwa kama Maria paschal Basso mwenye umri wa miaka 24. Eneo la tukio na...
  13. N

    SoC02 Inaanza na wewe - Afya ya Akili

    Lipo shinikizo la kijamii kwamba mwanadamu anayeweza kukubalika na kuaminika ni yule aliye na ‘akili timamu’. Kwasababu hiyo kila mmoja hupenda kujitazama kuwa yu timamu pengine dhidi ya, au kuliko wengine wote wanaomzunguka. Huona kuwa changamoto za kiakili hazimhusu yeye; ni matatizo ya...
  14. Let_Clarity

    SoC02 Kuthamini Sanaa ya Tanzania kwa ajili ya maendeleo ya Jamii na Uchumi

    Mwaka 2019 ulionesha ya kwamba asilimia 13.6 ya pato la Tanzania (Kitomari, 2019) lilitokana na sekta ya sanaa na burudani. Hii ni kujumulisha sanaa ya kuigiza, muziki, uchoraji na michezo. Katika robo ya kwanza ya mwaka huo huo wa 2019, nchi ya Nigeria ilipata asilimia 0.27% ya pato la taifa...
  15. P

    Ukitaka uchukiwe na jamii ya wapumbavu, ni kuwaambia ukweli. Hayati Magufuli alichukiwa kwa sababu ya kuwaambia ukweli

    Nasema hivyo Kwa sababu, Vilaza na wafoji vyeti, mpaka Leo bado wanamachungu na hayati JPM Mpaka sasa bado wanalisakama jina lake, licha kwamba aliwasaidia ili warudi shule kuongeza marifa Bado wangali wanahasira naye, na hatuelewi tuwasadie nini ili waondokana na upumbavu walionao Mpaka Leo...
  16. Lady Whistledown

    Jaji Mkuu Mstaafu, Chande Othman amewataka majaji wa Mahakama Kuu kumaliza haraka kesi wanazopangiwa, ili kuondoa wasiwasi kwa jamii

    Jaji Mkuu mstaafu, Chande Othman amewataka majaji wa Mahakama Kuu kumaliza haraka kesi wanazopangiwa, ili kuondoa wasiwasi kwa jamii na wao kujiweka huru. Amesema ucheleweshaji wa kesi zikiwamo zenye mvuto huku akiitolea mfano kesi ya wabunge- Halima Mdee na wenzake 18 wanaopinga kuvuliwa...
  17. Ndu o Ruwa

    SoC02 Dini na athari zake hasi katika uchumi wa jamii na taifa na namna ya kuzikabili

    Utangulizi Tanzania ni nchi isiyokuwa na dini, lakini watu wake wana dini. Hili ni jambo zuri kwani katika ulimwengu huu wa Sayansi na Teknolojia wapo wengi ambao hawaoni tena umuhimu wa dini maishani mwao. Licha ya hilo, zipo athari nyingi hasi za wazi na zisizo za wazi zinazoweza kuathiri...
  18. N

    SoC02 Makala-bajeti, ustawi wa jamii

    BAJETI,USTAWI WA JAMII Na Emmanuel Ndaki 0747093133 DIRA na mwelekeo wa nchi inahusisha makadirio,mapato na matumizi,yaani tunategemea kusanya kiasi gani, tunatumia kiasi gani kujenga miundombinu ya uchumi na huduma za kijamii. Makadirio,makusanyo na Matumizi inamuhusisha mlipa kodi,haijalishi...
  19. Green Beret

    Mwanaume nguzo ya jamii

    Ni kasumba iliyozoeleka kwa jamii kuwa mwanaume anayelala na wanawake wengi ndiye rijali. Ila ni vyema tukafahamu na kutafakari haya; Mit 6:32 SUV Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
  20. Willima

    Wanawake ni viongozi na wasimamizi bora wa jamii na nchi

    Kumekuwa na mtazamo wa kimazoea hasa Katika nchi za Afrika, Kuwa mwanamke hawezi kusimamia jamii na nchi kwa ujumla, maranyingi mwanamke huonekana kama mtu ambaye uwezo wake wa kusimamia hutegemea muongozo wa mwanaume na Kuwa mwanamke mwenyewe hawezi kusimamia na kufanya maamuzi hata Katika...
Back
Top Bottom