Kwanini Masoud Kipanya hapewi PhD ya heshima? Napendekeza apewe Udaktari wa sayansi ya jamii. Hii katuni imebeba uhalisia wa jamii yote ya Watanzania

happyxxx

JF-Expert Member
Nov 14, 2020
568
1,847
20230306_083912.jpg

Masoudi Kipanya ana uwezo wa kuwasilisha fikra za Watanzania na jinsi wanavyohisi kuhusu maisha yao ya kila siku.

Hata hivyo, anaeleza kwa lugha rahisi kwamba Watanzania wamechoka na siasa kutokana na uwongo, unafki, ufisadi, wizi, na ulaghai ambao unafanywa na wanasiasa wa nchi hiyo. Kwa kutoa pesa, wanasiasa wa Tanzania wanaweza kugeuka na kuwa watumishi wa serikali.

Tumeshuhudia watu wanaodai kuwa na msimamo mkali lakini wakishinda uchaguzi hawafuati ahadi zao. Pia tumeshuhudia watu wakikaa kimya baada ya kupewa pesa na serikali, na wengine wakija kutoka nje ya nchi kufaidika na ruzuku. Masudi Kipanya anajua jamii ya Watanzania vizuri, ingawa hajapewa heshima inayostahili.

Masoudi Kipanya hapewi heshima inayostahiki. Anaijua vizuri jamii ya watanzania.
 
View attachment 2538940

Kwa Tanzania hata wewe unaweza kumpa. You alone ,Just confer him the "thing"
 
Sio kwa ubaya ila kuna baadhi ya mambo ni bora kuyawaza kimya kimya tena kichwani tu.
 
View attachment 2538940

Masoudi Kipanya ana uwezo wa kuwasilisha fikra za Watanzania na jinsi wanavyohisi kuhusu maisha yao ya kila siku.

Hata hivyo, anaeleza kwa lugha rahisi kwamba Watanzania wamechoka na siasa kutokana na uwongo, unafki, ufisadi, wizi, na ulaghai ambao unafanywa na wanasiasa wa nchi hiyo. Kwa kutoa pesa, wanasiasa wa Tanzania wanaweza kugeuka na kuwa watumishi wa serikali.

Tumeshuhudia watu wanaodai kuwa na msimamo mkali lakini wakishinda uchaguzi hawafuati ahadi zao. Pia tumeshuhudia watu wakikaa kimya baada ya kupewa pesa na serikali, na wengine wakija kutoka nje ya nchi kufaidika na ruzuku. Masudi Kipanya anajua jamii ya Watanzania vizuri, ingawa hajapewa heshima inayostahili.

Masoudi Kipanya hapewi heshima inayostahiki. Anaijua vizuri jamii ya watanzania.
Kikitokea chuo kikampa udaktari wa heshima wananzengo hao hao watarudi na maneno udaktari wa mchongo, wa kununua, nk
 
Back
Top Bottom