jamii

  1. JamiiForums Tanzania Haya ni baadhi ya mashirika ya kikristo yanayotoa huduma mbali mbali kwa jamii zote duniani

    Kumbuka mashirika ya kikristo yapo kwa ajili ya kuwahudumia watu wote bila kujali Imani zao. na mashirika haya yana ajiri watu bila kuangalia misingi ya Imani yako licha ni mashirika ya kikristo. yapo mashirika ambayo bado yanaendeshwa na kanisa na yapo mengine yanajiendesha yenyewe ila mali...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali imetenga jumla ya Tsh: bilioni 899.4 kwa ajili ya kutekeleza mpango wa kuajiri na kuwajengea uwezo Wahudumu wa Afya

    Na. WAF - Dar Es - Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetenga jumla ya Tsh: bilioni 899.4 kwa ajili ya kutekeleza mpango wa kuajiri na kuwajengea uwezo jumla ya Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii wapatao 137,294 katika mikoa yote 26 ya...
  3. JamiiForums Tanzania Tume ya Utumishi wa Umma huwa inafanya uangalizi (auditing) ya public service kila baada ya kida gani? Je kelele katika jamii zinawaita?

    Tanzania tuna Tume ya Utumishi wa Umma. Wakati wa Mzee Ben, Tume hii ilikithiri kwa umahiri. Nadhani Tume hii pia ifufuliwe ili ijibu hoja za uwajibikaji, badala ya kujificha maofisini. Mi mara ngapi wanafanya audit ya public service kila idara? Pengine makelele haya yanayotokea katika...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Jamii health, naomba msaada

    Wataalamu naombeni kuuliza Je madhara yapi ? anayopata mama mjamzito anapokutana kimwili na mtu ambae si mhusika wa huo ujauzito wake mtu huyu anapata madhara gani hasa wakati wa kujifungua??? Na pili je mama huyu akisema atumie kinga kukutana na huyo mtu ambae si mhusika nn madhara ya zile...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali haioni hivi vichwa vilivyopo JamiiForums?

    Kwanza, ninaipongeza kwa kumteua Mkurugenzi wa JF, Maxence Mello kuwa mjumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi. Naamini hawajakosea kumteua mtajwa. Lakini inafahamu kuwa kuna vichwa vingine kibao, tena wanaotumia verified Id hivyo si kazi kuwapata, ambao wangeweza kuwa na mchango...
  6. JamiiForums Tanzania UTAFITI: Ukweli kuhusu watumiaji wa JamiiForums

    Kama mtu ambae napenda kufanya research, Kutokana na utafiti (si utafiti wa kisayansi kwa 100%) nilioufanya nimegundua kuwa wengi wa member wa JF huamini ndivyo sivyo kuhusu member wenzao. Baadhi wamekuwa wakiamini kuwa asilimia kubwa ya member ni watu wa kipato cha chini lakini hujikweza kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Fungieni huu wimbo unahamasisha Umalaya kwenye Jamii

    Kuna wimbo unaitwa "Huu Mwaka". Kiukweli huu wimbo leo ndio mara yangu ya kwanza kuusikia. Nimeshangaa sana kusikia muimbaji akisema "Kudanga Danga sana ila usisahau kujenga kibanda" Wimbo kama huu unawezaje kuachiwa uchezwe kwenye vyombo vya habari na wakati unahamasisha Umalaya/Kudanga...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mastaa wa Bongo wanaisaidiaje jamii? Ubinadamu wa Mane na Ronaldo wanaoufanya sijawahi sikia huku kwa mastaa wetu

    Siwasemi Bongo movie najua ni unga unga unga mwana,nawaongelea hawa wasukuma ndinga ulaya. Siku ile imetokea majanga kule hanang dunia nzima ilifahamu kilichotokea lakini sikuona wachezaji hawa wakituma michango yao ya hali na Mali nikawaza sana mambo haya yangetokea nchini kwakwe mane dunia...
  9. JamiiForums Tanzania Mkaguzi Kata: Mkiwapa Elimu watoto mtatengeneza Jamii isiyo na uhalifu

    Mkaguzi kata Mkiwapa Elimu watoto mtatengeneza Jamii Isiyo na uhalifu, atoa madaftari kwa Salim. Mkaguzi Kata ya Kerege, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Suleiman Ameir amewataka wazazi wa kata hiyo iliyopo Wilaya ya Korogwe Mkoa wa Tanga Kuhakikisha watoto wanapata elimu ambayo itawakomboa kifikra...
  10. JamiiForums Tanzania Namna filamu zinavyotumika kufundisha Jamii kuhusu Matatizo na Ugonjwa.

    Habarini Wanajukwaana na Watanganyika wenzangu kwa ujumla! Ni wakati mwingine kama mmoja wa mwanamaendeleo katika jamii yangu kuleta mjadala mpana kuhusu mambo kadha wa kadha yanayoikumba jamii ya Watanganyika. Ni wazi kuwa filamu ni moja ya sehemu muhimu sana ya Maisha ya jamii ya sasa, kupitia...
  11. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kutafutiwa Mke urudi kwenye jamii?

    Ulimwegu wa sasa umekuwa na Ndoa zinazovunjika kila uchwao na ukiangalia sababu kubwa ni kutofahamiana na kuchunguzana kabla ya Ndoa. Wazee wa zamani walikuwa wanatafutiwa wake na wazazi na ndoa zilidumu kwasababu kulikuwa na uchunguzi wa tabia kabla ya ndoa. Swali : Swala la kijana kutafutiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Jamii za Ulaya na Amerika zimefanikiwa kuua/kuondoa nguvu ya asili ya mwanaume

    Sasa hivi Europe na américa Mwanaume sio chochote île power ya Mwanaume aliyopewa n'a MUNGU ki asili haipo. Mwanaume Amékua kiumbe dhaifu mbele ya mwanamke . Mdogomdogo hiyo hali inaingia Africa kwa kivuli Cha 50/50. Unfortunately this world Will never be the same until watakatambua nguvu ya...
  13. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kimetoweka kabisa kwenye jamii siku hizi?

    Mimi naanza kwa kutaja Wanawake wasiopenda hela Endelea nawewe kutaja
  14. JamiiForums Tanzania Mada zilizopo JamiiForums zinaonesha kama taifa vitu tunavyopenda au ni umri tu?

    Wakuu habari za Jumatatu? Leo nimeamka zangu asubuhi nikiwa nasema kama na TT wa kwenye treni wakinizingua kama wiki ile iliyopita Ati kwamba chenji hakuna niende nikalipie getini nitampa njia sahihi ya kufanya kazi yake. Hii kitu inaniudhi sana sijui ndio kweli sarafu hazipo kwenye mzunguko...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanaume ambaye hujaoa hakikisha unaunga mkono moja kati ya hizi kampaign

    Nazungumzia wanaume ambao hawajaoa sio waliooa au waliopo kwenye ndoa, kuna campaign tatu ambazo nataka kuzipigia debe mimi kama mimi. Kampeni moja tayari imeshaenea na nafurahi vijana wengi wa Jamii Forums wameisapoti kwa kiwango kikubwa, hii inaonyesha muamko wa vijana kwenye kusapoti haya...
  16. JamiiForums Tanzania Jamii ya wazaramo inapotea kwa Kasi

    90% ya wakazi WA mkoa WA pwani ni kutoka mikoa mingine sadly ni jamii ya kizaramu inapotea kabsa.
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali, huku mtaani sio poa

    Habari zenu wakuu Wakuu naombemi kazi yoyote ya halali huku mtaani sio poa. Huku kitaa nimepambana sana huku na kule lakn bado kugumu ila hatukati tamaa. Naombeni kwa yeyote mwenye kazi aniunganishe tafadhali, ata za viwandani sawa tu muhimu kupata chochote kitu. Mwenye connection za saidi...
  18. JamiiForums Tanzania Kuvunjika kwa ndoa siyo sawa, Jamii inapaswa kubadilika

    Ukweli usiopingika....! Kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa miaka hii imekuwa kama kitu cha kawaida sana kwa watu, imekuwa kama fasheni watu hawaoni shida kuoana ndani ya kipindi kifupi wanakuwa washa achana. lakini jambo hili siyo sawa hata kidogo ningependa kuona jamii ikibadilika. Pamoja na...
  19. JamiiForums Tanzania Unafurahia mwaka mpya ukiwa wapi ndugu mwana JamiiForums?

    Wengine mwaka mpya umetukuta hapa small New York, ni mwendo wa kujipongeza kwenda mbele. Nawatakia mwaka mpy wenye mafanikio, baraka na maendeleo ya kweli ndugu mwanaJF mwenzangu.
  20. JamiiForums Tanzania George Mwakalinga: Wazee na Wazazi wasaidie kuwahamasisha Watoto wao kushiriki shughuli za maendeleo kwa Jamii

    Mkurugenzi wa Redio ya Jamii ya Kyela FM iliyopo Mkoani Mbeya, George Mwakalinga ameuomba Umoja wa Wazawa wa Kyela waishio ndani na nje ya Kyela kuwatafuta wazawa wengine ambao bado hawajajiunga ili kuweka umoja wenye nguvu na mshikamano kwa ajili ya kuijenga wilaya yao. Mwakalinga ametoa rai...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…