israel

  1. MK254

    JamiiForums Tanzania HAMAS walalamika kuhusu vifo vya Wapalestina 2,329 vilivyosababishwa na Israel

    Kwamba wao wapige maroketi yao ila wasijibiwe maana itasababisha vifo kwa Wapalestina.... SCREENSHOT Hamas has claimed that the death toll among Palestinians in a massive Israeli air strike on the Gaza Strip has risen to 2,329, the Gaza Health Ministry said on Sunday, 15 October. Source...
  2. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Iran ikiishambulia Israel Uarabuni wataruhusu maandamano ya kujiunga mkono Israel?

    Iran ndiyo tishio na miongoni mwa madui wa Israel huko Mashariki ya Kati. Israel imevamiwa na kulipa kisasi dhidi ya Palestina kwa siku kadhaa sasa. Nchi za Magharibi zinashutumiwa kuiunga mkono Israel dhidi ya Palestina, lakini kwenye nchi hizo hizo za Magharibi (isipokuwa Ufaransa)...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kazi chafu: Hamas wanategeshea mabomu wanaohama Gaza Kaskazini ili kuwatisha wabaki, wanawasingizia Israel kuwalipua wanaohama

    Hamas wanategesha mabomu kwenye magari yanayohamisha watu Gaza kaskazini, Hamas hawaoni taabu kuua wapalestina kwa lengo la kutengeneza propaganda kuwasingizia Israel ndio wanafanya haya mashambulizi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wakurd hawajaandamana kuipinga Israel dhidi ya Hamas

    Mzuka wanajamvi! Licha ya wakurd kuwa waislam wa madhehebu tmya Sunni hawajaandama kabisa kupinga taifa takatifu teule la Israel katika operesheni yake ya kutokomeza na kusafisha ugaid na magaidi ya Hamas. Wakurd hawajali kabisa yanayotokea palestina kwasababu wanachuki na waarabu, waajemi na...
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Iran yaiambia Israel isitishe vita haraka kabla haijachelewa

    Kwa mara nyengine viongozi wa Iran wameionya Israel iache unyama wake inaoufanya huko Gaza haraka kabla haijakumbwa na tetemeko la upinzani. Kauli hiyo imetolewa na Iran huku wanamgambo wa Hezbollah wakisema wameshajirayarisha vya kutosha kupigana na Israel muda utakapokuwa sawa. Kundi hilo...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa kamisheni ya Ulaya afika Israel, alaani ugaidi

    Bi. Ursula von der Leyen rais wa Kamisheni ya Ulaya European Commission https://m.youtube.com/watch?v=Y8VWXACReew Atembelea maeneo ya Kfar Azza kusini mwa Israeli katika moja ya Kibbutz yaliyovamiwa na magaidi wa HAMAS, na kuelezea mambo ya kutisha dhidi ya haki ya kuishi waliotendewa...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuwarejesha nyumbani raia wake waliopo Israel

    Serikali ya Tanzania imetangaza kuwa inapanga kuwarejesha nyumbani raia wake waliopo Israel ili kuwanusuru na athari za Mgogoro unaoendelea baina ya Israel na Palestina.
  8. Mtu Alie Nyikani

    JamiiForums Tanzania Wakristo: Vita ya Israel inayoendelea ni ishara tosha kuwa wakati wa kuja kwake mwana wa Adamu (YESU) umekaribia. Tuamke

    Kutoka mitandaoni... TAIFA LA ISRAEL NA UNABII WA SIKU ZA MWISHO. Na Joshua Ntagala Taifa la israel ni taifa takatifu la Mungu, utakatifu wake sio katika matendo ya kiuungu lakini ni takatifu kwa maana ya kwamba limetengwa kwa ajili ya matumizi ya Mungu(ardhi yake,watu wake, wametengwa kwa...
  9. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Rais wa Israel Bw. Isaack Herzog asema 'In Gaza Everyone is Guilty until proven Innocent' including civilians

    Katoka hali ya kushangaza Rais wa Israel bwana Isaac amenukuliwa akisema kila mtu anaeishi Gasa ni mhalifu bila kujali ni rais ama wanamgambo wa Hamas hadi pale itakapokuja kuthibitishwa tofauti hivyo jeshi la Israel halitaacha mtu yeyote kwa sababu wote ni wahalifu. Binafsi hua najua kisheria...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Maelfu watii amri ya kuondoka Gaza huku Israel ikiandaa wanajeshi 300,000 kuanza fagia fagia

    Israel inataka kufanya operesheni ambayo haijashuhudiwa siku nyingine, wanajeshi 300,000 watafanya uvamizi ambao utahusu kufagia choko choko zote za huo ukanda. Raia waliamrishwa wahamie Kusini ili atakayebaki hapo ataonwa kama mpiganaji, hivyo itamhusu. Kitu wengi wasichokifahamu, hao...
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Taleban yazitaka Palestina na Israel kutafuta amani kwa njia ya mazungumzo. Yatamka kuwa haiungi mkono ugaidi

    Baada ya siku za hivi karibuni kuhusishwa na mpango wa kutuma wanajeshi kwenda kujiunga na Hezbollah kuipiga Israel, uongozi wa Taleban umejitokeza na kukanusha tuhuma hizo. Taleban imetamka wazi kuwa haiungi mkono vitendo vya kigaidi na kuzitaka pande zote kuketi chini na kutafuta amani kwa...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Mateka 250 waokolewa, HAMAS 60 wauawa na 26 kukamatwa

    Mkiambiwa makomando wa Israel ni moto wa kuotea mbali, yaani hapa kama movie, jamaa wameicheza kiaina aki ya nani nimefurahi hadi naumwa, hii itaandikwa kwenye vitabu na movie zitakua shot nyingi, makamu wa magaidi pia amekamatwa hai Abu A'ali the Deputy Commander of the Hamas. The Flotilla 13...
  13. Konseli Mkuu Andrew

    JamiiForums Tanzania Vita ya Palestina na Israel imekuja kuifunika suala la Urusi na Ukraine kwa makusudi

    Wazungu wanajua kucheza na akili za watu duniani, yaani wanaunda matatizo wenyewe ili kufunika matatizo mengine. Kuanzia mwaka 2019 dunia nzima kulitokea janga la Corona virus🦠😷 watu akili na masikio havikutaka kuona wala kusikia chochote tofauti na habari ya Corona na walifanikiwa kupitia...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Pendekezo kumaliza mzozo wa Israel na Palestina: UN itafute kipande cha ardhi hapa duniani, iwahamishie Wapalestina

    Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Afrika tunaomba Mungu wa Israel atulinde. Israel inalindwa na mitambo ya teknolojia ya hali ya juu kuzuia mashambulizi ya anga

    Iron Dome ni mfumo wa ulinzi wa kisasa wa anga ambao ni bora na mathubuti kwa dunia ya leo uliotengenezwa na Israel kwa msaada kiasi kutoka Marekani kwa lengo la kulinda dhidi ya makombora yaliyofyatuliwa kutoka kwenye maeneo ya adui. Mfumo huu ulianza kutumika rasmi mwaka 2011 na umekuwa...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Israel kuishangaza Dunia tena

    Baada ya mashambulizi mabaya kabisa ktk history ya Israel kufanyika kelele zimekuwa ni nyingi sana kushindwa kwa intelligence ya Israel ambayo siku zote imekuwa ikiheshimika. Ila jambo lakushangaza lina taka kutokea na uwenda Hamas na wasaidizi wake wakabaka midomo wazi. Hivi Nina andika tayari...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania UN: Israel inataka watu Milioni 1.1 waondoke Gaza ndani ya Saa 24

    Umoja wa Mataifa (UN) umedai kuwa umejulishwa na Jeshi la Israel kuwa Wakazi wa Gaza Kaskazini wanatakiwa kuwa wameondoka eneo hilo ndani ya Saa 24. UN imesema jambo hilo ni gumu kutekelezeka kwa kuwa idadi hiyo ni nusu ya watu wote waliopo Gaza. Israel imekuwa ikijiandaa kwa mashambulizi ya...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hivi Marekani haioni haya wala kujua hatari ya wanachokifanya Israel

    Kujiamini kwa kupitiliza kwa Marekani na Israel ndiko kunakokaribisha chuki kutoka kila upande duniani.Huwa wanafanya kile kisichopendeza kwa wenzao na wakifanyiwa wao inakuwa ni nongwa kubwa. Raisi Biden tangu siku ya mwanzo bila kupata picha kamili ya vita vilipoanza akasema Israel inastahiki...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Palestina Nchini aomba Dunia ipaze sauti kulaani vita dhidi ya Israel

    Watanzania wameombwa kupaza sauti zao kulaani mashambulizi yanayofanywa na Taifa la Israel kwenye Ukanda wa Gaza eneo la Palestina. Rai hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam na Balozi wa Palestina Nchini Tanzania, Hamdi Mansour Abuali wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya machafuko...
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano kwamba Israel ilijiruhusu kuvamiwa ili ipate sababu ya kutoa dozi nzito bila kulalamikiwa inatumia nguvu kubwa kukabiliana na mgambo?

    Tunasikia Egypt walitoa habari juu ya shambulio hili ila huenda Israel wakaona wakidhibiti mapema mambo yatakuwa yale yale ya kuruhusiwa kumchapa Hamas na Chelewa wakitaka kurusha ngumi wanazuiwa (cease fire), itakuwa walifumba jicho kuwatoa sadaka baadhi ya waisrael kwa lengo ya kupata go...
Back
Top Bottom