Agano la Mungu ilikuwa ni kiumbe kitakachotoka kwenye viuno vya Ibrahimu na Sarah. Ndio maana Ismael aliezaliwa na Ibrahimu na kijakazi wao hakupewa heshima ya agano la nchi ya ahadi ila Ismael alipewa baraka zake binafsi.
Ismael na mama yake waliamrishwa kwenda maeneo ya mbali na sio kukaa...
Nov 01, 2023 12:18 UTC
Eneo la Wapalestina la Ghaza limegeuka kuwa makaburi kwa watoto kwani maelfu wameuawa kufuatia mashambulizi yanayofanywa na utawala haramu wa Israel, huku zaidi ya watoto milioni moja wakikabilwa na uhaba wa mahitaij muhimu na maisha yao ya baadaye yakiwa mashakani...
Hii vita haishi leo wala kesho sisi Waswahili tuendelee na kilimo mvua zimeshaanza.
=====
Tangu shambulio la Oktoba 7, ambapo zaidi ya watu 1,400 waliuawa na wanamgambo wa Hamas, zaidi ya maombi 120,000 mapya ya leseni ya silaha yamewasilishwa na raia wa Israel.
Harakati za kupata bunduki...
Baada ya kufatilia kwa utulivu issue ya migogoro isiyoisha kati ga Palestina na Israel, nimejilidhusha pasi na shakha kuwa Umoja wa Maitafa chini ya azimio lake la mwaka 1947 la kuigawa Palestina ya Uingereza na kutoa nchi mbili yaani ya Wayahudi na Waarabu ndiyo ilikuja kutengeneza tatizo zaidi...
Kikundi cha Houthi kutokea Yemen kimetangaza vita rasmi na Israel katika kuiunga mkono na kimefanya mashambulizi ya makombora ya masafa marefu na kurusha drones za mashambulizi kuelekea Israel kutokea Yemen.
Kikundi hiki kinashikilia maeneo kadhaa ya nchi ya Yemen na kimekua kwenye mapigano pia...
Wanakumbi.
Jeshi la Israel limetoa orodha yake ya wanajeshi ambao wamefariki katika vita vinavyoendelea na Hamas.
Idadi hiyo ya vifo sasa imefikia 326, wakiwemo wanajeshi 11 waliofariki huko Gaza siku ya Jumanne.Wanajeshi hao wote walikuwa na umri wa kati ya miaka 19 na 20.
Jeshi la Ulinzi la...
Kambi yaJabaliya ambayo ipo kaskazini ya Gaza ni moja ya eneo lenye msongamano mkubwa zaidi katika Gaza na mitaa yake si rahisi kupita hata gari.Kambi hiyo ni matokeo ya kufukuzwa wapalestina kutoka maeneo yao jirani na hapo mnamo mwaka 1948.
Katika taarifa yake serikali ya Israel kupitia...
Hii vita inaenda kuwa vita ya Ukanda wote
Yemen imetangaza kuanza vita rasmi na Israel na imetangaza kuanza operesheni maalum ya kuichakaza Israel kwa makombora na Drones
‘Vikosi vyetu vilivyojihami vimerusha makombora ya balestiki na ya kusafiri, pamoja na idadi kubwa ya ndege zisizo na...
Kuna sehemu nilisoma wanatumia aina fulani ya gesi kwenye hayo mahandaki inayofagia kila kiumbe na kuwawahisha kwa mabikira....
GAZA/JERUSALEM, Oct 31 (Reuters) - Israel said its forces attacked Hamas gunmen inside the militants' vast tunnel network beneath the Palestinian enclave of Gaza after...
Salaam ndugu zangu,
Nimeona picha inasambaa ikieleza kuwa Kampuni ya Israeli ya PEPSI imebadilisha muundo wake na kuandika Palestina ili kuepuka kufungiwa na Palestina.
Maandamano ya Waarabu kwenye nchi za wazungu yameshindwa kufanya Israel isitishe vita....
The Israel Defense Forces has “expanded” its operations in the Gaza Strip in recent days, pouring in troops and armored tanks to conduct “coordinated attacks from the ground and the air,” spokesman Daniel...
Hatimaye Watanzania wawili waliotekwa na wapiganaji wa kundi la Hamas mjini Gaza wametambuliwa kuwa ni Joshua Loitu Mollel na Clemence Felix Mtenga.
Uthibitisho huo umetolewa na serikali ya Israel baada ya Watanzania hao na raia wengine takribani 200 kushikiliwa na Hamas tangu Oktoba 7 mwaka...
Baada ya wajapan kuwa na tabia ya kishenzi na kufanya majirani zake karibia wote kutowapenda kutokana na ushenzi aliokuwa anawafanyia ndio alipo jikoroga na kupanda mabega kwenda kuwaoneshea ushenzi wa marekani.
Tukio la kikatili alilofanya marekani juu yao limewafanya wajapan mpaka ule ushenzi...
Israel wanaendelea kuvuka mistari yote inayochorwa na Waarabu na Iran, mistari ya blu, nyekundu inafyatua yote....
Rais wa Iran kaambulia kulalamika kwenye mitandao ya kijamii....
Katukanwa sana huko kwenye comments maana Iran ndio ilikua tegemeo la pekee la watu wa hiyo dini...
Serikali imesema inaendelea kufuatilia kuhusu hali za Watanzania waliopo nchini Israel na kwamba taarifa zaidi zitatolewa pale itakapobidi.
Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam leo, Oktoba 29, 2023 na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi alipozungumza na wahariri na waandishi wa...
Miaka ya nyuma kabla ya kuzaliwa Kristo (BC) kulitokea mapigano kati ya Waisrael na Wakaanani ambao ndio wenyeji wa eneo hilo wa kabila la Wafilisti ambao ndio Wapalestina wa sasa
Waisrael walikuwa wakiaminika kuwa ni wacha Mungu na Wafilisti walidaiwa kuwa wapagani kwa wakati huo
Katika vita...
Kuna hali zikitokea katika nchi au mbali ya miji waislamu humuelekea Allah aliyetukuka ili awape msaada. Na hiyo ina dalili kutoka kwa Mtume swalaLlaahu alayhi wassalam mwenyewe.
Baadhi ya matukio hayo ni pale nchi inapopata ukame mpaka watu wemekata tamaa na uhai wao. Watu hutoka nje ya mji...
Hali ndani ya Gaza imeelezwa kuwa ni balaa na machafuko huku majeshi ya Israel yakiwa yameingia kikamilifu eneo hilo na askari wa IDF wakipigana na watu mpaka kwenye kambi za wakimbizi.
Katika hali ya machafuko kiasi hicho raisi wa Uturuki ameiambia Israel isitishe vita mara moja. Raisi wa...
Njia pekee ya Israel kujilinda kwa sasa ni kutoa DOZI
Nakumbuka siku ya kwanza Israel ilipovamiwa, Hamas waliitwa kila aina ya majina ya kishujaa na shangwe zilipigwa sana kiasi kwamba watu hawa walianza kuota ndoto za mchana kwamba Israel inaenda kumezwa ?
Hali ya sasa ni tofauti kabisa, watu...
Habari wanajukwaa!!
Tujitahidi kuwa makini sana na hawa watu waliochagua upande kwenye hivi vita vinavyoendelea.
Kuna upotoshaji wa wazi wazi na kimakusudi kuhusu vita hivi, mfano mzuri ni mwanajukwaa Kimsboy na wenzake.
Nimejaribu sana kufuatilia habari anazoleta humu jukwaani kwa 97% ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.