Israel watapelekwa ICC

Kwa yanayoendelea Gaza, ICC wasipoanza uchukuaji wa vielelezo vya kuwapeleka Netanyahu na kundi lake la kigaidi kwenye mahakama ya kimataifa nchi za Afrika inabidi kujitoa.
Hii ni sababu ya double standard ya mahakama husika.
Nonsense, pelekeni yale magaidi kina haniya huko ICC kwanza ndio mje kuwa gusa watoto wa Yakobo. Mungu yu pamoja na Israel, yeye awalindaye halali wala hasinzii.
 
Wale magaid waliochinja watoto wao watapelekwa wapi? Na wale wauaji wa kiarabu wanaoua watu pale Darfur je?
 
Israel so member wa ICC so ni ngumu kushtakiwa huko coz miaka ya nyuma alishawahi peleka kesi kumshataki palestina akapewa jibu la kwamba hana mamlaka hyo coz so member so its very complicated
 
Nonsense, pelekeni yale magaidi kina haniya huko ICC kwanza ndio mje kuwa gusa watoto wa Yakobo. Mungu yu pamoja na Israel, yeye awalindaye halali wala hasinzii.
Kwani hao unaowaita magaidi hawana baba kama huyo Yakobo? Mandela pia mlimpa lable ya gaidi alipokuwa anataka haki kwa hiyo sishangai
 
Kwa yanayoendelea Gaza, ICC wasipoanza uchukuaji wa vielelezo vya kuwapeleka Netanyahu na kundi lake la kigaidi kwenye mahakama ya kimataifa nchi za Afrika inabidi kujitoa.

Hii ni sababu ya double standard ya mahakama husika.
Israel kama Marekani sio wanachama wa ICC hakuna wa kuweza kuwapeleka

Africa ni wanachama wa ICC ndio.maana huwa tunapelekana huko
 
Kwa yanayoendelea Gaza, ICC wasipoanza uchukuaji wa vielelezo vya kuwapeleka Netanyahu na kundi lake la kigaidi kwenye mahakama ya kimataifa nchi za Afrika inabidi kujitoa.

Hii ni sababu ya double standard ya mahakama husika.
Hiyo ICC imejengwa kwaajili yenu waafrika fumgukeni kwani iyo vita ya wa israel na wapelestina imeenaza leo??
 
Back
Top Bottom