israel

  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Misri, Jordan na Syria waipe muda (ultimatum) Israel kuacha misaada iingie Gaza wakati watu wanaanza kufa kwa njaa na kiu. Wavunje mikataba baina yao

    Kiubinadamu wakati umefika wa kuacha kufikiria waisrael wangapi walikufa wakati wa shambulio la Hamas na wapalestina wangapi wameshakufa tangu Israel ianze kulipiza kisasi. Au majengo mangapi yamegeuzwa kifusi. Kinachotakiwa sasa ni kufikiria watu wanaokufa njaa na kiu kwa kunyimwa chakula na...
  2. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Ukristo Afrika unajifunza nini juu ya vita inayoendelea Israel?

    Historia yoyote itokeayo Duniani huacha fundisho. Kutokujifunza kutokana na historia ni tatizo binafsi. Leo Afrika madhehebu mengi yanaamini katika Mungu wa Israel. Sala nyingi humtaja Mungu wa Israel " Mungu wa Wayahudi".. Kipindi tunakazana huku Afrika kuomba na kuombewa huku tukiamini...
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Najib Mikati, Waziri Mkuu wa Lebanon: Jeshi la Lebanon ni nguzo ya muundo wa taifa

    Kaimu waziri mkuu wa Lebanon, Najib Mikati hapo jana alifanya ziara ya kushtukiza kusini ya nchi yake na mpakani na Israel.Katika ziara hiyo aliambatana na kamanda mkuu wa majeshi ya nchi hiyo, Joseph Auon. Katika ziara hiyo alikagua vikosi vya UNIFIL na kusema alifika eneo hilo pendwa la...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Israel yaufyata mkia

    Rais Isaac Herzog wa Israel amedai kuwa, utawala huo wa Kizayuni hauna azma ya kuingia vitani na Harakati ya Hizbullah ya nchini Lebanon katika upande wa kaskazini, siku chache baada ya viongozi wa Marekani kuwatahadharisha watawala wa Israel kuhusu ugumu na hatari ya kuendesha vita viwili kwa...
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Emir wa Qattar asema Israel isipewe leseni ya kuendelea kuua. Israel yamtaka katibu mkuu UN ajiuzulu kwa kuwatetea Wapalestina wanaoangamizwa

    Kwa mara ya mwanzo tangu mashambulizi ya Hamas nchini Israel amiri wa Qattar ameitahadharisha jumuiya ya kimataifa kuwa isiendelee kuiacha Israel iuwe watu kama inavyopenda huko Gaza. Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani aliyasema hayo mapema leo alipokuwa akifungua kikao cha baraza la shura la nchi...
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Makomando wa Israel wamkamata mmojawapo wa wakuu wa HAMAS

    Taratibu tutaongea lugha moja humu..... https://twitter.com/i/status/1716646861572849818 A senior leader of the Palestinian group Hamas has been arrested in the occupied West Bank following an Israeli night raid of his home, according to news reports. A video clip posted by Al Jazeera Arabic...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mvua nzito, mafuriko na upepo mkali vyachelewesha Israel kuivamia Gaza

    Wakati Israel ikijiandaa kuivamia Gaza, kulitokea kimbunga kikali sana na mvua kubwa iliyoahirisha mipango ya Israel kuingiza majeshi yake Gaza. Hali hiyo imeweka presha kubwa kwa serikali ya Netanyahu kwanza kudeal na janga hilo la ndani kabla ya kupeleka majeshi Gaza. Wakati huohuo Hizbollah...
  8. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Israel VS Gaza. Kosa dogo tu likifanyika kama halijapangwa nyumba ya pazia, tunaingia WWIII (Nuclear War)

    Baada ya Marekani kupeleka meli zake za kivita zenye thamani ya matrillioni. China na yeye anapeleka karibu na Gaza meli zake za kisasa z kivita nne. Baada ya israel kuharibu uwanja wa ndege wa Damascus na Allepo. Leo dege kubwa la Iran limetua Syria likiwa na shehena za silaha kutumia uwanja...
  9. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Sakata la Israel na Palestina anaetafutwa na Marekani ni Saudi Arabia. Gaza wanazuga tu

    Kuvamiwa kwa Isael ni mpango uliosukwa ukasukika kama ulivyosukwa mpango wa 9/11. Kinachotafutwa ni Saudi Arabia siyo Gaza wala Palestina wala Iran. Naamini kuwa Israel na Palestina na yanayoendelea huko Gaza ni uwakala (proxy) tu wa kutafutwa Saudi Arabia. MBS wa Saudi Arabia" alimtowa nishai"...
  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania Jordan na Misri zimeonesha nguvu zao kushinda silaha zote za Marekani na Israel

    Mafanikio makubwa yamepatikana siku ya Ijumaa ya juzi ikiwa umebaki muda mfupi wapalestina wa Gaza waanze kufa kwa njaa na kiu. Siku hiyo ilitanguliwa na kikao cha pamoja kati ya viongozi wa nchi za Jordan,Saudi Arabia na Umoja wa falme za kiarabu. Ni siku hiyo hiyo ambayo katibu mkuu wa umoja...
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hamas warudisha nyuma jaribio la mwanzo la jeshi la Israel kuingia Gaza kwa miguu

    Muda mfupi uliopita wanamgambo wa Hamas wamesema wamefanikiwa kuvirudisha nyuma vikosi vya jeshi la Israel vilivyojaribu kuingia kwenye ngome zao. Wanamgambo hao wamesema waliwarejesha nyuma askari hao wenye mafunzo na vifaa imara pale walipoingia kuanza kuziba uzio waliouvunja wiki iliyopita na...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Mbona wengi huwa hawakujifunza kwa ile operesheni ya Israel, almaarufu kama Wrath of God

    Waisraeli wanaamini ukiua mmoja wao, hata ujifiche wapi kwa namna moja au nyingine watakukuta tu hata kama itachukua miaka hamsini, watakuwinda kwenye pembe zote za dunia. Kwa mfano ma-NAZI waliohusika kwenye maamuzi ya kuua Wayahudi, pindi baada ya Hitler kupigwa halafu Ujerumani kuangushwa...
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel wapiga bomu handaki la magaidi lililokua ndani ya msikiti wa Al-Ansar

    Hii misikiti yaani ni balaa sana, sijui kwanini watu wasiabudu miungu yao kwa amani bila kulea chokochoko........... The Israeli military said it launched a "preemptive strike" on an underground compound on the grounds of the Al-Ansar mosque in Jenin on the West Bank. Details: According to the...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel leo yapiga vibaya Gaza, Ukingo wa Magharibi na Syria huku Marekani ikipeleka ndege 45 za silaha nchini humo

    Nguvu ya mashambulizi ya Israel imeonekana hapo jana na mapema leo, ambapo mashambulizi ya ndege za kivita yameendelea usiku kucha huko Gaza ambako tayari eneo kubwa limekuwa kifusi. Sambamba na Gaza shambulio jengine limetokea tena leo huko ukingo wa Magharibi ambapo kombora limeua zaidi ya...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel yavamia nyumba ya mkuu wa HAMAS na kukamata familia yake

    Ukiamua kusababisha wenzako wasiishi kwa amani, na wewe pia tegemea familia yako iishi kwa tabu.... Ramallah, Palestinian Territories: Israeli troops on Saturday raided the West Bank home of a senior Hamas leader and detained members of his family, witnesses said. Saleh al-Aruri is the deputy...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Mandamano Israel hawataki vita

    Kuna mandamano I srael hawataki vita, chezea na Missile za Hamasi https://youtu.be/fpu6s1U1LJA?si=Z4GIsWUFtJC-ty1L
  17. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Israel haina mpango wa kuifuta Hesbullah kama Hamas?

    KIMSINGI Hesbullah ndio tishio kubwa. Hamas ni kama genge flani ambalo wakiamua kulifuta hata kwa gharama ya maisha ya raia wasiohusika wanaweza. Ila hawa Hesbullah naona ni watat zaidi. Ni jeshi la kisasa na ndio hatarishi kwa usalama wao kuliko Hamas. Na leo nimemsoma kamanda wa IDF...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mwaka 1973 Misri na Syria walipigana na Israel na hawakushindwa

    Imezoeleka kusikia kuwa Israel ni taifa kali lisiloshindwa kwenye vita. Hata hivyo historia inaonesha mwaka 1973 nchi za Syria na Misri pekee zilipigana kijeshi kwa siku chache kabla kusitishwa vita kwa njia za kidiplomasia baada ya madhara yake kuenea mpaka Marekani na Netherlands. Katika vita...
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mfalme Abdallah wa Jordan na Rais El Sisi wa Misri waitaka Israel ifungue mpaka haraka

    Juhudi za kuwafikishia raia wa Palestina misaada kwa haraka zimepata nguvu baada ya washirika wawili muhimu wa Israel kupaza sauti zao kwa pamoja. Mfalme Abdallah hapo juzi Alkhamis alitua Cairo bila mwaliko akitokea Italia,Uiengereza na Ujerumani kushauriana na viongozi wa nchi hizo kuhusiana...
  20. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Kitengo cha maudhui ya mitandaoni cha Israel kinaongozwa na wahuni au watu wasiojitambua

    Toka huu mzozo wa Israel na Palestine kushika kasi kwa sasa. Kuna baadhi ya mambo ya nimeyang'amua yanayo onesha upuuzi wa idara mbalimbali au vitengo mbalimbali katika taifa la Israel. Moja ya kitu kinacho nishangaza na kunipa mashaka juu ya utimamu wa kiakili wa watu wanaongoza utoaji wa...
Back
Top Bottom