israel

  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Taleban yazitaka Palestina na Israel kutafuta amani kwa njia ya mazungumzo. Yatamka kuwa haiungi mkono ugaidi

    Baada ya siku za hivi karibuni kuhusishwa na mpango wa kutuma wanajeshi kwenda kujiunga na Hezbollah kuipiga Israel, uongozi wa Taleban umejitokeza na kukanusha tuhuma hizo. Taleban imetamka wazi kuwa haiungi mkono vitendo vya kigaidi na kuzitaka pande zote kuketi chini na kutafuta amani kwa...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Mateka 250 waokolewa, HAMAS 60 wauawa na 26 kukamatwa

    Mkiambiwa makomando wa Israel ni moto wa kuotea mbali, yaani hapa kama movie, jamaa wameicheza kiaina aki ya nani nimefurahi hadi naumwa, hii itaandikwa kwenye vitabu na movie zitakua shot nyingi, makamu wa magaidi pia amekamatwa hai Abu A'ali the Deputy Commander of the Hamas. The Flotilla 13...
  3. Konseli Mkuu Andrew

    JamiiForums Tanzania Vita ya Palestina na Israel imekuja kuifunika suala la Urusi na Ukraine kwa makusudi

    Wazungu wanajua kucheza na akili za watu duniani, yaani wanaunda matatizo wenyewe ili kufunika matatizo mengine. Kuanzia mwaka 2019 dunia nzima kulitokea janga la Corona virus🦠😷 watu akili na masikio havikutaka kuona wala kusikia chochote tofauti na habari ya Corona na walifanikiwa kupitia...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Pendekezo kumaliza mzozo wa Israel na Palestina: UN itafute kipande cha ardhi hapa duniani, iwahamishie Wapalestina

    Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Afrika tunaomba Mungu wa Israel atulinde. Israel inalindwa na mitambo ya teknolojia ya hali ya juu kuzuia mashambulizi ya anga

    Iron Dome ni mfumo wa ulinzi wa kisasa wa anga ambao ni bora na mathubuti kwa dunia ya leo uliotengenezwa na Israel kwa msaada kiasi kutoka Marekani kwa lengo la kulinda dhidi ya makombora yaliyofyatuliwa kutoka kwenye maeneo ya adui. Mfumo huu ulianza kutumika rasmi mwaka 2011 na umekuwa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Israel kuishangaza Dunia tena

    Baada ya mashambulizi mabaya kabisa ktk history ya Israel kufanyika kelele zimekuwa ni nyingi sana kushindwa kwa intelligence ya Israel ambayo siku zote imekuwa ikiheshimika. Ila jambo lakushangaza lina taka kutokea na uwenda Hamas na wasaidizi wake wakabaka midomo wazi. Hivi Nina andika tayari...
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania UN: Israel inataka watu Milioni 1.1 waondoke Gaza ndani ya Saa 24

    Umoja wa Mataifa (UN) umedai kuwa umejulishwa na Jeshi la Israel kuwa Wakazi wa Gaza Kaskazini wanatakiwa kuwa wameondoka eneo hilo ndani ya Saa 24. UN imesema jambo hilo ni gumu kutekelezeka kwa kuwa idadi hiyo ni nusu ya watu wote waliopo Gaza. Israel imekuwa ikijiandaa kwa mashambulizi ya...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hivi Marekani haioni haya wala kujua hatari ya wanachokifanya Israel

    Kujiamini kwa kupitiliza kwa Marekani na Israel ndiko kunakokaribisha chuki kutoka kila upande duniani.Huwa wanafanya kile kisichopendeza kwa wenzao na wakifanyiwa wao inakuwa ni nongwa kubwa. Raisi Biden tangu siku ya mwanzo bila kupata picha kamili ya vita vilipoanza akasema Israel inastahiki...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Palestina Nchini aomba Dunia ipaze sauti kulaani vita dhidi ya Israel

    Watanzania wameombwa kupaza sauti zao kulaani mashambulizi yanayofanywa na Taifa la Israel kwenye Ukanda wa Gaza eneo la Palestina. Rai hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam na Balozi wa Palestina Nchini Tanzania, Hamdi Mansour Abuali wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya machafuko...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano kwamba Israel ilijiruhusu kuvamiwa ili ipate sababu ya kutoa dozi nzito bila kulalamikiwa inatumia nguvu kubwa kukabiliana na mgambo?

    Tunasikia Egypt walitoa habari juu ya shambulio hili ila huenda Israel wakaona wakidhibiti mapema mambo yatakuwa yale yale ya kuruhusiwa kumchapa Hamas na Chelewa wakitaka kurusha ngumi wanazuiwa (cease fire), itakuwa walifumba jicho kuwatoa sadaka baadhi ya waisrael kwa lengo ya kupata go...
  11. Gol D Roger

    JamiiForums Tanzania Who is the real owner of the Israel land according to historical facts

    If you love history, please make time to read this👇 The following are historical facts and nothing less, it was written without religious bias and the information given here is factual; Zionist movement; "Zion" means "Land of Israel" or "City of holiness" or "City of refuge" How minorities...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, na Wanajeshi Wastaafu wa nchi nyingine Barani Afrika nao wako 'Fiti' Kiafya na Kiukakamavu kama hawa wa Israel?

    Kuna wa nchi moja Barani Afrika (kwa sasa nimeisahau) nina uhakika Taifa hilo likiingia Vitani na kuita/kuwaita Wanajeshi wake Wastaafu watakaorudi wote watakuwa ni Wagonjwa wa Kisukari, Figo, Ini, TB, HIV na BP, wanywa gongo maarufu vilingeni na wapiga debe vituoni.
  13. Green Beret

    JamiiForums Tanzania Yerusalemu: Kikombe Kinachowalevya Mataifa

    Jerusalemu Katika Siku za Mwisho “Zekaria 12:2 Angalia, mimi nitafanya Yerusalemu kuwa kikombe cha kuyumba-yumba kwa watu wa kabila zote, wazungukao pande zote; tena kitakuwa juu ya Yuda pia wakati wa kuhusuriwa Yerusalemu. 3 Tena itakuwa siku hiyo, nitafanya Yerusalemu kuwa jiwe la kuwalemea...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Marekani yaionya Iran kuhusu kinachoendelea Israel, inabidi Iran iendelee kukaa kimya

    Iran inapaswa iendelee kufyata mdomo na isiongee chochote huku mabomu yakishuka Palestina kama mvua. Kuna ripoti zimejitokeza kwamba hata Iran wameshtukizwa kwenye hili shambulio, inaonekana HAMAS hawakushirikisha mabwana zao wao wa kidini na ugaidi. =========== WASHINGTON — President Joe...
  15. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Vita Ukanda wa Gaza: Msimamo wa Tanzania wakati wa Rais Nyerere, Magufuli na sasa

    Mataifa ya Ulaya na Marekani hayawezi kuja na msimamo wenye kauli ya kuitaka Israel kuacha mashambulizi wala mataifa ya Waarabu hayawezi kukiambia kikundi cha Hamas kuja na kauli ya kutaka wafanye mazungumzo ya amani kwa kuwa hata wao wangeguswa kama ilivyoguswa Israel na Gaza wangefanya kitu...
  16. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Papa Francis asihi waliotekwa waachiwe huko Israel na Palestina

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, katika matamshi yake makali tangu kuanza kwa mzozo kati ya Palestina na Israel, ametoa wito wa kuachiliwa kwa Mateka wote waliochukuliwa na wanamgambo wa Hamas na kusema Israel ina haki ya kujilinda. Mtandao wa DW Swahili umeripoti kuwa...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Floyd Mayweather asema "Nasimama na Israel"

    Baada ya mashambulizi makali ya kundi la wanamgambo wa Kipalestina la Hamas dhidi ya Israel, ambayo yamezua mshtuko katika eneo zima, bingwa wa ngumi wa kimataifa Floyd Mayweather ameonesha mshikamano wake na watu wa Israel. Bingwa huyo wa zamani, anayejulikana kwa jitihada zake za kutoa...
  18. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Msanii Usher Raymond asikitishwa na mauaji ya Israel na Palestina, na kisha badae kufuta post hiyo huko Instagram

    Msanii kutokea nchini Marekani Usher Raymond katika mtandao wa Instagram ameonesha wasiwasi wake juu ya mambo yanayoendelea huko Israel na Palestina ikiwemo vifo vya watu zaidi ya 1000, utekaji wa wanaume, wanawake na watoto huku akisisitiza kuhusu kuzingatia uhai wa Bindamu, katika maelezo...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Drake na DJ Khaled kwenye mgogoro wa Israel na Palestina wawakera Mastaa

    DJ huyo amehoji sababu za Mastaa hao wa Hip Hop kutozungumza chochote kuhusu Mapigano yanayoendelea kati ya Majeshi ya Israel na Kundi la HAMAS ambayo yamesababisha vifo vya zaidi ya Watu 2,000 na majeruhi wanaokadiriwa kufikia 10,000 Vlad ameandika kupitia X "Je, kuna mtu yeyote aliyeona...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa HAMAS apoteza mwanaye na ndugu baada ya bomu la Israel kupiga kwake

    Maafa yamemfikia mkuu wa HAMAS baada ya bomu kupiga kwake nyumbani na kuua wote waliokuwemo, nashangaa sana kwamba yeye aliamrisha makombora kwenda Israel halafu hakutorosha familia yake wakaishi kwenye mafichoni, kawaanika tu kizembe, haya wamewahishwa mbele za haki. Israeli wanaendelea...
Back
Top Bottom