iphone

  1. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Iphone 6s gb 128, iko Mbezi

    Iphone 6s storage gb 128 battery health 100% Support 4G LTE ina kreki kidogo kwenye upande wa camera ya mbele, haina madhara bei, 320,000 mbezi kimara, Dar. 0713096076 DEADLINE: 5.3.2022 USIPIGE SIMU KUULIZIA BAADA YA HIO TAREHE
  2. Lunatics fringe 5

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale iPhone Bei ya nyanya

    iPhone 6s 64Gb Battery 100% Fingerprint ✓ Camera ✓ Charger ✓ Cover✓ BEI : fixed 150k tuu LOCATION: KIMARA MWISHO 0757402662
  3. Website design

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kiufundi kwenye iPhone 7

    Habari Kwenye iphone kuna kitu kinaitwa switch control sasa kimetokea na sasa simu imeshaji lock nahitaji kuingia kwa passcode ila nashindwa ukitaka kuanza kuandika passcode tu inatokea mistari ya blue kama inavyoonekana hapo chini imezunguka passcode na nikubonyeza namba ina pop up kitu kama...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Iphone 14 ya mwaka 2022 kuja na notch punch hole front camera badala ya notch.

    Kuna fununu kwamba mwaka huu, 2022 Apple atatoa simu za Iphone 14 pro yenye punch hole camera cutout kama zilivyo simu nyingine za Android tofauti na notch ama dirisha kwenye simu zake za sasa. Mtindo huo mpya utakua kwenye simu za Pro ila nyingine zitabaki na notch. Kwenye design ama mitindo...
  5. Kasomi

    JamiiForums Tanzania iPhone SE toleo la 3 inategemewa itatoka mwaka 2022 mwanzoni

    iPhone SE toleo la 3 inategemewa itatoka mwaka 2022 mwanzoni na itakuwa na chip mpya ya iPhone. Apple imeamua kuchukua hatua ya kusitisha design ya iPhone mimi na kuweka focus katika iPhone SE mpya ambayo itakuwa na chip ya A15 Bionic (chip inayotumika katika iPhone 13). Apple inalenga soko...
  6. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Apple inaacha kutengeneza iPhone Mini

    Apple inaacha kutengeneza iPhone mini na katika iPhone 14; haitatengeneza iPhone mini size ya inch 5.4. iPhone 14 zitakuwa na size ya 6.1 inch (size ya iPhone ya kawaida na iPhone Pro ndogo) na size ya inch 6.7 (size ya iPhone Pro Max).
  7. instagram

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyonusurika kutapeliwa iPhone yangu

    Ilikuwa 2010 enzi hizo ninauza iphone 3 Gs yangu kupitia mtandao wa gazeti la Advertising Dar, jamaa moja kapiga simu anadai yeye anafanya kazi Barclays Mbeya yupo likizo Dar. Sharp tukapatana bei laki sita basi jamaa tumepanga tukutane Mwenge. Kufika mwenge jamaa katokea na teksi akadai twende...
  8. 6321

    JamiiForums Tanzania Hili jambo limenitatiza na kufanya niwe na wasiwasi za vijana wa iPhone

    Nawasalimu kwa JMT Katika mizunguko ya duniani nikichomwa n jua maeneo ya magomeni mwembechai, nikiwa dukani alikuja rafiki yangu niliyesoma nae O'level akiwa na mwanamke wa umri kidogo kuliko yeye, niliwahudumia vitu vya jumla kama 100k+. Basi tukabadilisha mawasiliano, akaniambia yeye...
  9. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Iphone X Gb 256 inauzwa, at Dsm

    iPhone X gb256 Face ID ✅ Battery 100% 850,000 Clean as new, used for 6 months colour: black sinza kwa remi, Dar es salaam Piga 0713096076
  10. Richard

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Kuanzia tarehe 1 November WhatsApp kuacha kutumika kwenye baadhi ya simu za iPhone na Android

    They are doing it again! WhatsApp moja ya mitandao maarufu duniani ya kijamii, kuanzia jumatatu ijayo ya tarehe 1 November itasitisha kutumika kwake kwenye baadhi ya simu za iPhone na zimu za Android. Simu zote za Android zenye toleo la OS 4.0.4 hazitaweza kutumia WhatsApp ikiwa ni pamoja na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kutambua ikiwa simu ya Apple iphone 12 (mini, pro, promax) ni feki au orijino

    ...am editing
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania iPhone 13 imeshaingia, 11 si habari ya mjini tena

    Kama ulikua unajiandaa kununua iPhone 11 basi fahamu kuwa 13 sasa hivi imeshatoka.
  13. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Utengenezaji wa movie umerahisishwa sana na hii iphone 13

    Mimewahi cheki movie moja imetengenezwa na iphone 6 kama sijasahau. Huwezi jua ni movie ya simu kama hujaambiwa. Sasa nilikuwa naangalia uzinduzi wa products za apple uliofanyika jana. Hii iphone 13 wameiunda kwaajili ya movie hasa. Utengenezaji wa movie umekuwa rahisi kabisa. Pia niulize...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Hakuna tofauti kati ya Iphone 12 na Iphone 13

    Kuna watu wanasema Steve Jobs alikufa na Ubunifu wake pale Apple. Hii inaweza kuwa kweli. Angalia, leo Apple wamezindua simu mpya ya Iphone 13, ukiiangalia simu na hata matangazo yake yameionyesha hakuna tofauti na Iphone 12 ya mwaka jana. Watu wengine wanasema ni bora Apple wangeiita Iphone...
  15. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Unamiliki iPhone ya macho matatu wakati hata kiwanja huna, wewe ni bure tu

    Unakuta kijana anamiliki Iphone ya macho 3 wakati hata kiwanja hana mjini hii ni aibu nyingine na janga la hatari sana. Unakuta wengine ni mtu nzima kabisa anamiliki Iphone ya macho 3 halafu analala kwa shemeji yake na kula mikate na watoto asubuhi wakati wanapata kifungua kinywa ili...
  16. AA TANCH TRADING COMPANY

    JamiiForums Tanzania Tovuti 10 zinazoongoza kwa mauzo ya simu za iphone Tanzania. Kwa bei nzuri na uhakika

    Mauzo ya simu kwa sasa yameongezeka sana. Kutokana na uwepo wa ushindani mkubwa katika soko. Pia tukiangalia na kazi ya simu za mkononi. Zipo kukurahisishia upatikanaji wa taarifa. Na upatikanaji wa huduma nyingine nyingi ambazo zinatuwezesha. Kuongeza ufanisi katika kazi zetu na masomo yetu...
  17. Tronics guru

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kurudisha pesa niliyokatwa App Store?

    Wakuu habari leo nimekatwa pesa AppStore pasipo kutaka ,wataalam wa iPhone nawezaje kuirudisha pesa hii 33 USD app yenyewe niliyolipia pasipo kutaka hiyo hapo
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Apple yasogeza mbele mipango yake ya kuachia mfumo wa kukagua picha

    Kampuni ya Apple imesema mipango ya Teknolojia yake ya kukagua picha zenye maudhui ya unyanyasaji wa kingono kwa Watoto kwa Watumiaji wa simu za iPhone imesogezwa mbele Hatua hiyo imekuja kufuatia ukosoaji mkubwa wa Teknolojia hiyo kutoka Makundi mbalimbali ambayo yaliibua wasiwasi kuwa mfumo...
  19. Mtalebani Mweupe

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung S8 Inauzwa

    Nauza Samsung Galaxy S8 Edge Ina 4GB Ram 64GB Storage Battery health 100% Inakuja na Original Fast Charger na Kava lake. Haina crack wala mchubuko wowote. Imetumika miezi 2. Bei 390,000 maelewano yapo. Contact 0623464795
  20. blackhawk

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Suppliers wa iPhone/ Android Phones hapa Dar

    Refer to the heading wakuu Kwa yeyote anajua link ya mahala hapa Tanzania nawezapata suppliers wa simu hasa iphone nataka kuwa nunua jumla nauza reja. Maana nafanya hii biashara ila nannua kwa maduka ya kawaida nauza napata faida kidogo kwa mwenye linkup aniunge naweza anza kwa hata pc 20.
Back
Top Bottom