Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,036
- 20,337
Apple imeamua kuchukua hatua ya kusitisha design ya iPhone mimi na kuweka focus katika iPhone SE mpya ambayo itakuwa na chip ya A15 Bionic (chip inayotumika katika iPhone 13).
Apple inalenga soko la chini kwa kutoa iPhone SE ambayo ni toleo la bei nafuu lakini inakuwa na Chip kubwa (best chip kwenye market), Kioo cha kawaida (itakuwa LCD) ; itakuwa na uwezo wa 5G.
iPhone SE ya 2022 itakuwa maalum kutoa soko la iPhone XR na iPhone 11. Itakuwa na design ya iPhone za zamani na Touch ID katika Home Button.
Inategemewa itakuwa na gharama chini ya laki 9.
Je, Apple itafanikiwa kulenga soko la simu za bei ya chini?