Nahitaji Suppliers wa iPhone/ Android Phones hapa Dar

blackhawk

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
262
573
Refer to the heading wakuu

Kwa yeyote anajua link ya mahala hapa Tanzania nawezapata suppliers wa simu hasa iphone nataka kuwa nunua jumla nauza reja.

Maana nafanya hii biashara ila nannua kwa maduka ya kawaida nauza napata faida kidogo kwa mwenye linkup aniunge naweza anza kwa hata pc 20.
 
+86 183 3717 3935 achn n masuplier wa bongo mcheki uyu jmaa anauza bei y china jumla bei nafuu kutok Guangzhou nimefany nae business san is aanajiita @twenzetu_china
 
Shukrani mkuu yeye ni mtu ana mzigo tayari mimi ni kwenda kuchagua na kulipia ?

au wa kuagiza yani hadi niweke order nilipie nisubiri ? maana hawa wa kuagiza wengi ni scammers ni risk sana
 
Utakuwa unachukua pc ngapi? Tufunge mkataba na Mimi niwe naagiza kwa fedha yangu mzigo ukifika unanilipa?
 
Refer to the heading wakuu

Kwa yeyote anajua link ya mahala hapa Tanzania nawezapata suppliers wa simu hasa iphone nataka kuwa nunua jumla nauza reja.

Maana nafanya hii biashara ila nannua kwa maduka ya kawaida nauza napata faida kidogo kwa mwenye linkup aniunge naweza anza kwa hata pc 20.

Ndugu yangu vipi jambo Lako ulifanikiwa kwenye hili jambo lako?
 
Refer to the heading wakuu

Kwa yeyote anajua link ya mahala hapa Tanzania nawezapata suppliers wa simu hasa iphone nataka kuwa nunua jumla nauza reja.

Maana nafanya hii biashara ila nannua kwa maduka ya kawaida nauza napata faida kidogo kwa mwenye linkup aniunge naweza anza kwa hata pc 20.

Mrejesho wa uzi wangu Nimepata supplier waarabu wapo hapa dar simu zao ni za dubai ni nzuri wana warehouse yao hapa dar na nimeshapakua mzigo wa kwanza umeisha

Hilo chimbo sikuipata humu jf humu walikuja wale wa tuma hela tukutumie n stuffs ila mimi hizo njia sifanyagi najua vzr cybercrime so niliwapa masharti yangu wakashindwa

Nashukuru sana kwa waliokuja PM ku advice pia
 
Funguka ututoe tongotongo na sisi wengne
 
Mrejesho wa uzi wangu Nimepata supplier waarabu wapo hapa dar simu zao ni za dubai ni nzuri wana warehouse yao hapa dar na nimeshapakua mzigo wa kwanza umeisha

Hilo chimbo sikuipata humu jf humu walikuja wale wa tuma hela tukutumie n stuffs ila mimi hizo njia sifanyagi najua vzr cybercrime so niliwapa masharti yangu wakashindwa

Nashukuru sana kwa waliokuja PM ku advice pia
blackhawk wana mizigo ya aina yote android na iphone au ni iphone tu?
 
Mrejesho wa uzi wangu Nimepata supplier waarabu wapo hapa dar simu zao ni za dubai ni nzuri wana warehouse yao hapa dar na nimeshapakua mzigo wa kwanza umeisha

Hilo chimbo sikuipata humu jf humu walikuja wale wa tuma hela tukutumie n stuffs ila mimi hizo njia sifanyagi najua vzr cybercrime so niliwapa masharti yangu wakashindwa

Nashukuru sana kwa waliokuja PM ku advice pia
hongera mkuu.
 
Refer to the heading wakuu

Kwa yeyote anajua link ya mahala hapa Tanzania nawezapata suppliers wa simu hasa iphone nataka kuwa nunua jumla nauza reja.

Maana nafanya hii biashara ila nannua kwa maduka ya kawaida nauza napata faida kidogo kwa mwenye linkup aniunge naweza anza kwa hata pc 20.
Mkuu naomba namba zako ili na mimi unielekeze
 
Back
Top Bottom